We Unazan Mpaka Wanasoma Havard Familia Zao Zinahitaji Msaada Kweli? Labda Waisaidie Serikali Tu
Mkuu,kwani mtu anasoma Harvard kama mwanafunzi tayari unaanza ku-earn anything ukiwa bado unasoma?
I know Harvard student from Moshi,hana hela yoyote,anapata allowance ya scholarship yake,sometimes hata ndugu zake wanamtumia Western Union mzee....mwanafunzi ni mwanafunzi tu hata uwe unasoma MIT.
Akimaliza shule ndio walao anaanza ku-earn na kama kweli ni talented kwa kazini ndio anavuta hela,na kodi wanakata kiuhakika,US hakuna shortcuts...Tena akipitia employment path ndio kabisa itamchukua zaidi ya 10 years walao huko kwao waone kaweka nyumba walao tena ya kawaida tu...
Akitumia path ya kua entrepreneur akafungua start-ups zenye akili huko silicon valley akawa one of the owners early on,hapo labda anaweza akawa Bilionaire....wana 25 years now,Zuckerberg na Gates waliacha shule wakiwa 17-19years wakawahi mara moja ku-change the world....
Nilidhani kwa 25yrs wangekua tayari wana start-up yao ina make buzz huko Palo Alto,wapo kwenye funding,na wana ship products worldwide,hao ni game changers....
Hawa ni wasomi wazuri tu,academicians wa kutakata,ambao most def'ly wataajiriwa huko Silicon Valley ambapo sana sana kwa mwaka watajenga 100,000USD per year each..ambayo Trump akikata chake,nyingine akalipia rent na gari,medical,etc..huwezi niambia huyu mtu ataweza hata jenga TZ hii nyumba ya dola 800,000....hawawezi...Hiyo misaada ya unayosemea haipo kiukweli..
Mimi rai yangu ni watu watuletee akili na uzoefu wa huko USA watusaidie kwenye mifumo yetu hapa tupate maendeleo..