Watanzania mapacha wenye miaka 25 wanachukua PhD Harvard

Watanzania mapacha wenye miaka 25 wanachukua PhD Harvard

Lugeye

JF-Expert Member
Joined
Apr 18, 2011
Posts
1,679
Reaction score
2,917
ni vijana mapacha wawili wa kitanzania wana miaka 25 na wanachukua PhD huko Harvard university
IMG_20171229_120359.jpg
IMG_20171229_120332.jpg
 
Jaman kumbe KAA-KOBE anajua anachokitumikia,dah
SIO KWA POVU LILE!!!!????

kuna kipindi alitabiri kuwa Mrema akikosa urais basi yeye ni nabii wa uongo. matokeo kweli alikosa urais. acha idadi ya waumini ishuke. hatimaye na michango kanisani kwake nayo ikashuka.
 
Ngoja warudi kitaa tuone kama Phd zao kama zitakuwa na manufaa yoyote, wamuulize Lipumba amekuwa professor akiwa na miaka 23, mpaka naandika hana hata pakulala analala ofisini Buguruni, pia watakutana na utawala wa CCM ambao unajua kuwashughulia hawa wanaojiita wasomi.
 
ni vijana mapacha wawili wa kitanzania wana miaka 25 na wanachukua PhD huko Harvard universityView attachment 662563 View attachment 662564


Unfortunately,watabaki huko kumsadia Mzungu kazi...hata wakifanikiwa huko ughaibuni,kusaidia Africa kutatua matatizo yake ni ndoto...

Shida ndio hapo tu..otherwise I really wish these guys all the best..wafanikiwe wasaidie walao hata familia zao basi..
 
Back
Top Bottom