Watanzania mapacha wenye miaka 25 wanachukua PhD Harvard

Watanzania mapacha wenye miaka 25 wanachukua PhD Harvard

mkuu hili ni jambo LA kheri hata kwa vijana wetu watoto wetu inawapa au tuwape motisha ya kutia bidii kwenye masomo,acha wivu mkuu utakonda,kumbuka Harvard university uko hakunaga kulilia coursework wala makeup
You don't get my point, kuchukua PhD ni jambo moja na kupata PhD ni lingine, unaweza ukaanza kuchukua PhD ukiwa na miaka 10 ukamaliza ukiwa na miaka 50. I have no issue with those brilliant kids pursuing their studies, so what the JF family stand to benefit?
 
Unfortunately,watabaki huko kumsadia Mzungu kazi...hata wakifanikiwa huko ughaibuni,kusaidia Africa kutatua matatizo yake ni ndoto...

Shida ndio hapo tu..otherwise I really wish these guys all the best..wafanikiwe wasaidie walao hata familia zao basi..

waache tu wabaki huko, bcoz we don't have capacity to use those brains.
mkumbuke balali yuko wapi? huku sisi tuachie wenyewe.
resources (both human and natural) hatujui kuzitumia.
 
Biology ya ordinary level iko brief sana mkuu, sidhani kama inakidhi mtu kuibukia MD moja kwa moja

kwa ulaya na marekani ni kubwa SANA. maana huku tunachosoma advanced level kule ni cha first year bachelor. kama umesoma physics advanced level unakumbuka kitabu kinachoitwa university physics (up). kule wanatumia first year university.
 
Wenye PHD Tanzania ni akina Mohamed Dewji, Reginald Mengi, Bakheresa, Yusuph Manji, Mathias Manga, Kishimba, Sabodo, Zackaria, Lowasa, Seth, Rugemalira, Rosatam Azizi, wengine wote ni magumashi tupu.

teh teh teh teh tihiii
tafsiri mpya ya PhD hiyo kwa bongo.
 
Wenye PHD Tanzania ni akina Mohamed Dewji, Reginald Mengi, Bakheresa, Yusuph Manji, Mathias Manga, Kishimba, Sabodo, Zackaria, Lowasa, Seth, Rugemalira, Rosatam Azizi, wengine wote ni magumashi tupu.
kwa kipindi phd hazina umuhimu wowote, kipindi hiki ng'ang'ana kupata pesa baaaasi
 
waache tu wabaki huko, bcoz we don't have capacity to use those brains.
mkumbuke balali yuko wapi? huku sisi tuachie wenyewe.
resources (both human and natural) hatujui kuzitumia.

Nakusoma ila umeangalia kwa lenzi ingine labda..

Kwa lenzi yangu ni kwamba,wao kubaki huko na baadae kufanya technology transfer to their motherland is what I meant..Tatizo ni kua hua hawafanyi...Wanafanya kazi huko mpaka wanazeeka,wana-assimilate huko huko hata giving back to their poor countries hua hawafanyi..Hiyo ndio concern yangu...

Wao kubaki huko waweza kuwaiga wazungu and then wafanye transfer back here ndio ombi langu..

Balali ishu yake inajulikana,ni tatizo la "maadili" yake tu,haina uhusiano na usomi wake....Maadili na honesty kwa nchi yake ndio ilikua tatizo lake....

Kutokujua kutumia resources zetu ndio ni kosa,ila hawa wamepata mwanga wa kutosha ndio waje watusaidie kufanya transformation change nchi ibaidlike,ndio tunawahitaji kwa hili tatizo tulilonalo.Hawawezi kutusaidia wakiwa mbali huko USA.Wakimaliza shule,wakaingia kwenye hizo sector zao,wakapata uzoefu na enough resources basi waje wabadili hili linchi twende next level.Tatizo tu wasijetufanyia kama akina Lipumba
 
Back
Top Bottom