Watanzania mapacha wenye miaka 25 wanachukua PhD Harvard

Watanzania mapacha wenye miaka 25 wanachukua PhD Harvard

tume bakisha uku tz takataka,vizuri vipo ulaya wanavitumia ipasavyo wa tz wenzetu
 
kuna kipindi alitabiri kuwa Mrema akikosa urais basi yeye ni nabii wa uongo. matokeo kweli alikosa urais. acha idadi ya waumini ishuke. hatimaye na michango kanisani kwake nayo ikashuka.
Weka video clip hapa au audio clip kusapoti hoja yako acha porojo.
 
Medicine bila advance biology??,hapa bongo hairuhusiwi
Bora nyie mtu haruhusiwi kusomamedicine bila kuwa na PCB ya Advance level.

Marekanimtu huruhusiwi kusoma degree ya medicine kamahuna degree nyingine.Medicine ni degree ya pili.Huwezi kutoka High School ukaenda kusomadegree ya udaktari ,labda pre-medicine au nursing.

Huyo anayefanya medicine inawezekana walifanya some pre-medicine programs walivyochukua degree zao za awali.

Medical education in the United States - Wikipedia

In the United States a medical school is an institution with the purpose of educating physicians in the United States in the field of medicine. Admission into medical school may not technically require completion of a previous degree; however, applicants are usually required to complete at least 3 years of "pre-med" courses at the university level because in the US medical degrees are classified as Second entry degrees. Once enrolled in a medical school the four years progressive study is divided into two roughly equal components: pre-clinical (consisting of didactic courses in the basic sciences) and clinical (clerkships consisting of rotations through different wards of a teaching hospital). The degree granted at the conclusion of these four years of study is Doctor of Medicine (M.D.) or, less commonly, Doctor of Osteopathic Medicine (D.O.) depending on the medical school; both degrees allow the holder to practice medicine after completing an accredited residency program.[1][2]
 
Weka video clip hapa au audio clip kusapoti hoja yako acha porojo.

aha haaa haaa hukumbuki uchaguzi wa 2005. alitabiri sema kipindi hicho media hazikuwa active kama SASA.
 
Uwe na ufaulu mzuri div 1 ya PCB au 2
Labda useme ana Pharmacy hapo tutakukubalia
 
Ngoja warudi kitaa tuone kama Phd zao kama zitakuwa na manufaa yoyote, wamuulize Lipumba amekuwa professor akiwa na miaka 23, mpaka naandika hana hata pakulala analala ofisini Buguruni, pia watakutana na utawala wa CCM ambao unajua kuwashughulia hawa wanaojiita wasomi.
phd sio kumiliki mali...acha ushamba
 
Hugo mwandishi amechapia tu, bila biology hakuna medicine.
Marekani mfumo wao ni tofauti sana na Tanzania. Kwanza wao, mostly, degree ya medicine (to be a Medical Doctor) ni degree ya pili.

Mmarekani kafanya udaktari na uanasheria kuwa huwezi kuwa umetoka sekondari tu ukaenda kusoma degree ya kwanza ya udaktari au uanasheria.Inabidi uwe na degree ya kwanza kibindoni kabla ya kusoma degree ya udaktari au uanasheria.

Kwa hiyo, mtu anatoka high school Marekani (sawa na A-Level) akiingia University hawezi kusoma degree ya udaktari (medicine) moja kwa moja.

Itambidi achukue degree kama ya pharmacy, au nursing, au psychology, au hata kama anachukua jiografia, lakini akiwa na lengo la kwenda kuwa daktari, kuna masomo ya pre-medicine atayachukua.

Kwa hiyo, hiyo biology unayoisema ya PCB, hata kama mtu hakusoma A Level/ High School, kwa vile Marekani degree ya medicine ni degree ya pili, siya kwanza, hiyo biology ataisoma tu katika degree ya kwanza masomo ya pre-medicine iwe ni degree ya ya Chemistry, pharmacy, psychology etc.
 
Biology ya advance ni ndogo sana haiwezi kumzuia mtu kusoma udaktari. Kwa bongo hata watu wa PCM walitakiwa waruhusiwe kusoma udaktari. Ukifika chuo Biology inaanza upya.
 
Back
Top Bottom