Watanzania mapacha wenye miaka 25 wanachukua PhD Harvard

Watanzania mapacha wenye miaka 25 wanachukua PhD Harvard

Ngoja warudi kitaa tuone kama Phd zao kama zitakuwa na manufaa yoyote, wamuulize Lipumba amekuwa professor akiwa na miaka 23, mpaka naandika hana hata pakulala analala ofisini Buguruni, pia watakutana na utawala wa CCM ambao unajua kuwashughulia hawa wanaojiita wasomi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wenye PHD Tanzania ni akina Mohamed Dewji, Reginald Mengi, Bakheresa, Yusuph Manji, Mathias Manga, Kishimba, Sabodo, Zackaria, Lowasa, Seth, Rugemalira, Rosatam Azizi, wengine wote ni magumashi tupu.
Ujinga nikutikiri kwamba kusoma ni kuwa na mapesa mengi. Hao sio wafanyabiashara kaka.
 
Huyo aliyesoma MD akiwa amemaliza degree ya kwanza alipelekwa kwenye hispitali fulani kufanya surgery kama sitakosea amefanya 18 successfull
Tanzania hayo hawayajui wewe kwa sasa hivi, ilikuwa inawezekana kwa Kikwete. Huyu wa sasa ndiye dictionary ya watumishi wote wa umma chochote akiamua wote wanaitikia!!
 
Tupo wengi Kama hao in USA lakini tunahofu na maisha ya bongo hapa nafikiria hata nikimaliza masomo yangu je ? Nirudi bongo elimu yangu itathaminiwa or nitafute ajira Huku Huku ?
Huku kuna wasomi wengi mno from Tanzania lkn wengi walishaogopa nakukata tamaa kuhusu bongo na life style, mfumo unaotumika ukiwemo upendeleo na urasimu mkubwa.
Wadau naomba kujua mashine za kusaga unga wa sembe na kukoboa zinapatikana wapi kwa dar es salaam ? nabei zake tafadhali

Ahsante

Mkuu upo USA afu unaulizia bei za mashine za kusaga?
Hii JF hatar
 
Hiyo story ya enzi za jk ilikuwa uongo mtupu na vyombo vya habari vikaiVaa. Huyo mwingine akadanganya anafanya kazi NASA na ni kati ya binadamu wa kwanza kufika mars wakati hakuna binadamu aliyewahi kanyaga mars.
Wakadai hawataki ongea na vyombo vya habari mpaka waonane na jk
umewalisha maneno mkuu, weka source hapa.
Stori za magazeti ya udaku unaleta hapa
 
umewalisha maneno mkuu, weka source hapa.
Stori za magazeti ya udaku unaleta hapa
Siyo ya udaku na mtu wa kwanza kumsikia akitangaza hiyo habari alikuwa Gerald Hando kwenye kipindi cha power breakfast wakati wa uchambuzi wa magazeti.
Na hiyo habari ililetwa humu pia.
Ukitaka source sina muda wa kuhangaika kuitafta habari yenyewe ya kipindi cha jk na haikuwa big news kihivyo.
 
Ughaibun rahaa sana mpaka degree wanavukisha wanafunzi
 
Siyo ya udaku na mtu wa kwanza kumsikia akitangaza hiyo habari alikuwa Gerald Hando kwenye kipindi cha power breakfast wakati wa uchambuzi wa magazeti.
Na hiyo habari ililetwa humu pia.
Ukitaka source sina muda wa kuhangaika kuitafta habari yenyewe ya kipindi cha jk na haikuwa big news kihivyo.
Hando hana tofauti na mpoki,
 
hivi mtu ukisoma pcm unaweza kusomea medicine? university zetu hapa Tanzania inaruhusiwa?

Admissions to medical school in the United States is generally considered competitive, although there is a wide range of competitiveness among different types of schools. Admissions criteria include grade point averages, Medical College Admission Test scores, letters of recommendation, and interviews. Most students have at least a bachelor's degree, usually in a biologic science, and some students have advanced degrees, such as a master's degree. Medical School in the United States does not require a degree in biological sciences, but rather a set of undergraduate courses in scientific disciplines thought to adequately prepare students.
 
Biology ya advance ni ndogo sana haiwezi kumzuia mtu kusoma udaktari. Kwa bongo hata watu wa PCM walitakiwa waruhusiwe kusoma udaktari. Ukifika chuo Biology inaanza upya.
Mkuu ulisoma combination yenye biology? Au unapima tu kwa kigezo cha muda, miaka 2 ya advance dhidi ya 4 ya O' level.
 
Back
Top Bottom