Ukishakuwa na pesa mambo mengine yatakuja menyewe
george weah kapata degree uzeeni na urais juu.. sababu ujanani alikuwa busy anasaka pesa wakati wenzake wanasaka elimu ya darasani
Ukishakuwa na pesa mambo mengine yatakuja menyewe
duh mtihani mkubwa unanipa mkuu ,Yupi
Umemsahau JK na RidhiwaniWenye PHD Tanzania ni akina Mohamed Dewji, Reginald Mengi, Bakheresa, Yusuph Manji, Mathias Manga, Kishimba, Sabodo, Zackaria, Lowasa, Seth, Rugemalira, Rosatam Azizi, wengine wote ni magumashi tupu.
Nakusoma ila umeangalia kwa lenzi ingine labda..
Kwa lenzi yangu ni kwamba,wao kubaki huko na baadae kufanya technology transfer to their motherland is what I meant..Tatizo ni kua hua hawafanyi...Wanafanya kazi huko mpaka wanazeeka,wana-assimilate huko huko hata giving back to their poor countries hua hawafanyi..Hiyo ndio concern yangu...
Wao kubaki huko waweza kuwaiga wazungu and then wafanye transfer back here ndio ombi langu..
Balali ishu yake inajulikana,ni tatizo la "maadili" yake tu,haina uhusiano na usomi wake....Maadili na honesty kwa nchi yake ndio ilikua tatizo lake....
Kutokujua kutumia resources zetu ndio ni kosa,ila hawa wamepata mwanga wa kutosha ndio waje watusaidie kufanya transformation change nchi ibaidlike,ndio tunawahitaji kwa hili tatizo tulilonalo.Hawawezi kutusaidia wakiwa mbali huko USA.Wakimaliza shule,wakaingia kwenye hizo sector zao,wakapata uzoefu na enough resources basi waje wabadili hili linchi twende next level.Tatizo tu wasijetufanyia kama akina Lipumba
Ukishakuwa na pesa na PHD unaikuta humo humo.george weah kapata degree uzeeni na urais juu.. sababu ujanani alikuwa busy anasaka pesa wakati wenzake wanasaka elimu ya darasani
Sahihi mkuuUmemsahau JK na Ridhiwani
ni kweli kabisa. shida ni hii mifumo yetu chakachuzi.
wanaweza wakaja kama kina balali baadaye wakaanza kuchakachuliwa na wanaowazunguka na mfumo pia matokeo yanaweza kuwa wasiwe na tija tena.
Ni lowasa au sumaye? Wanafanana na sum.......ni watoto wasiri waziri mkuu mstaafu...... wamasai wanaishi ngorongoro nawafahamu vyema very humble kama mzee wao
Wahivyo wachache sanaBongo mtu yupo above 35 hana kazi anahangaikia digrii
Kwa hiyo ulitakaje, acheni majungu basiHuo ndio mwisho wao , mwisho wa siku wanakuja kuajiriwa na MTU wa darasa la saba Bakhresa
WasirudiNakusoma ila umeangalia kwa lenzi ingine labda..
Kwa lenzi yangu ni kwamba,wao kubaki huko na baadae kufanya technology transfer to their motherland is what I meant..Tatizo ni kua hua hawafanyi...Wanafanya kazi huko mpaka wanazeeka,wana-assimilate huko huko hata giving back to their poor countries hua hawafanyi..Hiyo ndio concern yangu...
Wao kubaki huko waweza kuwaiga wazungu and then wafanye transfer back here ndio ombi langu..
Balali ishu yake inajulikana,ni tatizo la "maadili" yake tu,haina uhusiano na usomi wake....Maadili na honesty kwa nchi yake ndio ilikua tatizo lake....
Kutokujua kutumia resources zetu ndio ni kosa,ila hawa wamepata mwanga wa kutosha ndio waje watusaidie kufanya transformation change nchi ibaidlike,ndio tunawahitaji kwa hili tatizo tulilonalo.Hawawezi kutusaidia wakiwa mbali huko USA.Wakimaliza shule,wakaingia kwenye hizo sector zao,wakapata uzoefu na enough resources basi waje wabadili hili linchi twende next level.Tatizo tu wasijetufanyia kama akina Lipumba
Balali sio Mwizi si angeiba huko UsaNakusoma ila umeangalia kwa lenzi ingine labda..

ana taka kukomba woteHuyu demu sina Imani nae.
watoto wa mzee mmoja kutoka kitetoNi lowasa au sumaye? Wanafanana na sum.......
Kwa wenzetu utasoma si hao wanamaliza? Kwetu haiwezekani, labda huyo wa Telecom lakini medicine haiwezekani.hivi mtu ukisoma pcm unaweza kusomea medicine? university zetu hapa Tanzania inaruhusiwa?