baiser
JF-Expert Member
- Dec 29, 2014
- 1,487
- 2,264
Nje hata art anasomá medicinehivi mtu ukisoma pcm unaweza kusomea medicine? university zetu hapa Tanzania inaruhusiwa?
Nje hata art anasomá medicinehivi mtu ukisoma pcm unaweza kusomea medicine? university zetu hapa Tanzania inaruhusiwa?
Wabongo kwa kukariri hamjambo.Pcm afu medicine... daaah
Bongo hawaruhusu..hivi mtu ukisoma pcm unaweza kusomea medicine? university zetu hapa Tanzania inaruhusiwa?
Hata we hujamboWabongo kwa kukariri hamjambo.
mkuu walikuwa wana someshwa na serkali? kwanini iliamua kuwaweka pale...? hawa wanao maliza vyuo vingine nao huwa wanawekwa wapi?Nawafahamu personally, ni wanyenyekevu sana nilikutana nao pale Nelson Mandela Arusha mwaka 2014 wakiwa wamemaliza degree ya kwanza Havard na serikali iliwaweka pale maana ni taasisi ya utafiti huku wakisubiri kuendelea na masomo yao huko Havard
Mkuu hapo nilimaanisha huyo dogo Calvin... mcheki mwenyewe nazani ndio huyo wa single digit mkuu...Mkuu Chillah mbona majina yao hayapo kwenye hilo tokeo?
halafu matokeo yamechoka sana,kuna mjanja mmoja tu ndio kapata I ya single digit,wengine wote hoi bin taaban.
Hebu tupe link ya toke tokeo lao kamili.
Hawa jamaa ni ma-genius,ni vizuri tukawafahamu vizuri aisee!
A level mwisho namanga inawezekana matokeo ya o level yako mzigon watag na wenzioUkipata jibu la hili swali unitag
Sina hakika kama walikuwa wanasomeshwa na serikali ila wakiwa Mandela walikabidhiwa kwa Vc awatunze na waendelee na kuexercise research pale ili wasikae idle nyumbanimkuu walikuwa wana someshwa na serkali? kwanini iliamua kuwaweka pale...? hawa wanao maliza vyuo vingine nao huwa wanawekwa wapi?
Hawa vijana wanatoka kwenye poor family ya huko umasainiWe Unazan Mpaka Wanasoma Havard Familia Zao Zinahitaji Msaada Kweli? Labda Waisaidie Serikali Tu
Sawa mkuu,naona umejibu kwa mzukaaa.Wenye PHD Tanzania ni akina Mohamed Dewji, Reginald Mengi, Bakheresa, Yusuph Manji, Mathias Manga, Kishimba, Sabodo, Zackaria, Lowasa, Seth, Rugemalira, Rosatam Azizi, wengine wote ni magumashi tupu.
hakuna kitu kama hicho TZyaaa inawezekana maana wana background nzuri ya life science (biology) ya ordinary level. pia chemistry wako shwaari tu.
Ndo Leo Nasikia Masai Kuzaa Mapacha Sawa Buana Yamezekana Wametoka Umasaini Na Co WamasaiHawa vijana wanatoka kwenye poor family ya huko umasaini
hakuna kitu kama hicho TZ
Ndo Leo Nasikia Masai Kuzaa Mapacha Sawa Buana Yamezekana Wametoka Umasaini Na Co Wamasai
Hahaha.....we jamaa bana...Wenye PHD Tanzania ni akina Mohamed Dewji, Reginald Mengi, Bakheresa, Yusuph Manji, Mathias Manga, Kishimba, Sabodo, Zackaria, Lowasa, Seth, Rugemalira, Rosatam Azizi, wengine wote ni magumashi tupu.
PoaSawa mkuu,naona umejibu kwa mzukaaa.