Watanzania mapacha wenye miaka 25 wanachukua PhD Harvard

Watanzania mapacha wenye miaka 25 wanachukua PhD Harvard

Hakuna hicho kitu cha kuvushwa madarasa ktk level ya Undergraduate au Masters. Elimu ya chuo c primary/secondary schools.
Inawezekana ukamaliza undergraduate ukarukia phd. .. Pia kwa wenzetu unaweza kufanya degree kwa muda mfupi.. Kutegemea na spidi yako ya kumaliza modules husika
 
Inawezekana ukamaliza undergraduate ukarukia phd. .. Pia kwa wenzetu unaweza kufanya degree kwa muda mfupi.. Kutegemea na spidi yako ya kumaliza modules husika
Mkuu hicho kitu hakipo, uzuri wa bahati nami nimesomea huko 'kwa wenzetu' kama ulivyoita.

Huko Courses hubeba uzito kulingana na masaa ya kukushughulisha. Huhusisha project design, lab works, presentations, seminars, study tours, exams (kutegemeana na level ya degree unayochukua) n.k. Kwenye level za PhD na sometimes MSc studies hukuti mambo ya grades ktk kufaulu. Ni either Pass or Fail. Hakuna stori za ukipanga wala nini hapo. Program kama ni miaka 2 lazima iwe hiyo hiyo, miaka 3 lazima iwe hiyo hiyo. Inawezaongezeka kwa matatizo kama kuugua kwa kipindi kirefu n.k. lakini si kupungua.

Labda kama wazungumzia digree za vodafasta (online degree) ambazo ubora wake huwezi kuwa sawa na kuingia darasani physically.
 
Back
Top Bottom