Nachojua walipelekwa kutembelea huko Mars na magazeti ya Tanzania yakaandika kuwa na watanzania wa kwanza kwenda hukohawa si kuna kipindi tulidanganywa wanafanya kazi NASA?
Ukipata jibu la hili swali unitag
Huyo aliyesoma MD akiwa amemaliza degree ya kwanza alipelekwa kwenye hispitali fulani kufanya surgery kama sitakosea amefanya 18 successfullHuyo wa PCM halafu medicine akirudi huku haki ya nani Ndalichako hatamkubali!! Medicine bila Biology kwa Ndalichako haikubaliki. Angalia tu vijana wa CBG walivyozinguliwa!! Bora hao vijana wabaki huko huko tu!!
Ndo hawa wale waliodanganya watanzni eti hadi mmoja akadai ni kati ya binadamu wa kwanza kufika mars wakati hakuna binadamu aliyefika mars.Hawa si tulidanganywa kuwa wanafanya kazi kituoni cha anga za juu kinachomilikiwa kwa pamoja Na nchi mbalimbali?
Hiyo story ya enzi za jk ilikuwa uongo mtupu na vyombo vya habari vikaiVaa. Huyo mwingine akadanganya anafanya kazi NASA na ni kati ya binadamu wa kwanza kufika mars wakati hakuna binadamu aliyewahi kanyaga mars.Huyo aliyesoma MD akiwa amemaliza degree ya kwanza alipelekwa kwenye hispitali fulani kufanya surgery kama sitakosea amefanya 18 successfull
Sidhani kama Magufuli atawaacha asiwachukueni vijana mapacha wawili wa kitanzania wana miaka 25 na wanachukua PhD huko Harvard universityView attachment 662563 View attachment 662564
Sidhani kama wao walitunga hizi story itakuwa ni watu wengine maana wao ni vijana wanyenyekevu sana wasio na majivuno na wanapenda kuongea na mtu yeyeote. Ni vichwa kwakweli ukiongea naoHiyo story ya enzi za jk ilikuwa uongo mtupu na vyombo vya habari vikaiVaa. Huyo mwingine akadanganya anafanya kazi NASA na ni kati ya binadamu wa kwanza kufika mars wakati hakuna binadamu aliyewahi kanyaga mars.
Wakadai hawataki ongea na vyombo vya habari mpaka waonane na jk
Learn how to appreciate good things!!So what is the significance of the story? is this political issue?
Wanachukua PhD? Tuwape makapu wajaze nyingi wawagawie na wasio nazo.ni vijana mapacha wawili wa kitanzania wana miaka 25 na wanachukua PhD huko Harvard universityView attachment 662563 View attachment 662564
walipelekwa kutembea huko mars na nan?Nachojua walipelekwa kutembelea huko Mars na magazeti ya Tanzania yakaandika kuwa na watanzania wa kwanza kwenda huko
Babaaa.walipelekwa kutembea huko mars na nan?
mbona watanzania tunapenda kudanganyana hivi?
Maana yake walikuambia wenyewe kuwa mmoja alienda kwenye sayari ya mars?Nawafahamu personally, ni wanyenyekevu sana nilikutana nao pale Nelson Mandela Arusha mwaka 2014 wakiwa wamemaliza degree ya kwanza Havard na serikali iliwaweka pale maana ni taasisi ya utafiti huku wakisubiri kuendelea na masomo yao huko Havard
Yaa imawezekana sana ingawa bongo inakuwa ngumu kidogohivi mtu ukisoma pcm unaweza kusomea medicine? university zetu hapa Tanzania inaruhusiwa?
Hugo mwandishi amechapia tu, bila biology hakuna medicine.hivi mtu ukisoma pcm unaweza kusomea medicine? university zetu hapa Tanzania inaruhusiwa?