Bei za mashine za kusaga na kukoboa mahindi

Mkuu kisheria (nahisi) unatakiwa uwaone ofisi ya ardhi wilaya ili kubadilisha kiwanja chenu kiwe na hadhi ya biashara na makazi! lakini pia kama shughuli zitakazokuwa zinaendelea hapo kama ni kubwa sana basi inabidi uwe makini usije ukawaudhi majirani na kaunza kukupinga vita!
Asante sana kwa ushirikiano!! Je,upo katika biashara hii ya kusaga sembe??
 
Wadau naomba kujua mashine za kusaga unga wa sembe na kukoboa zinapatikana wapi kwa dar es salaam ? nabei zake tafadhali

Ahsante
Mie nilichukulia SIDO Moshi! Bei zao zipo juu kidogo ukilinganisha na za dukani. Bei ya kukoboa inategemea na roller ngapi lakini pia na zile za kusaga inategemea unahitaji namba ngapi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau naomba kujua mashine za kusaga unga wa sembe na kukoboa zinapatikana wapi kwa dar es salaam ? nabei zake tafadhali

Ahsante
Nikuuzie ninazo full na vinu vyake yan ww unafunga tu
20000101_053941.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chachandumbaya Habari!! Mi nna swali kwa maeneo ya makazi inafaa kuweka mradi wa kusaga na kukobo maana nataka kufanya mradi huu ila pesa ya kukodi eneo sina maana mtaji wangu mdogo na ndo nataka kuanza biashara,mzee wangu kanipa eneo home fremu na vyumba 2 ila ni makazi ya watu.Je itaruhusiwa kisheria???
Hapa ipogoro iringa,naona kuna mashine nyingi za kusaga zipo kwenye makazi ya watu
 
Mkuu kama unataka mashine imara wasiliana na workshop ya SIDO moshi. wanatengeneza mashine nzuri na imara sana. Bei yake ni kati ya TSHS. 2.3-2.5M kwa mashine ya kusaga number 75 na kukoboa roller 3.Zote zinafungwa Motor za 25Hp na unapewa na Starter pia. very good machine and durable, i have one set of the same. Achana na mashine za laki 900,000, capacity yake ni ndogo sana hivyo hutumia umeme mwingi.
safi..
 
R
Habari! Naomba ufafanuzi kidogo,inawezekana kufungua mashine ya kusaga na kukoboa maeneo ya makazi ya watu? Maana sehemu ninayofikiria kufanyia mradi ni home na inabidi kubomoa kuta kama vyumba viwili au vitatu sasa kabla sijaanza bora niulize mapema kwa wazoefu wa kazi hizi,nawasilisha wakuu!!

Inategemea mashine yako , Kama ni ile yenye mlio mkali. utagombana na majirani zako huu ya kelele, kama haina mlio unaweza kuifunga tu
 
beikinu cha kusaga no.100 ni 1,5milioni , base yake 250,000/= stand/ frame. mota 40hp 1.2millioni, stata ni laki 5, kinu cha kukoboa rola 3 ni 1.2milioni, base/ stand 250,000/= stata laki 5, , mota 1.2milioni, waya mnene laki 1 total cost ni kama 6,700,000/= HIYO NI UHAKIKA NILIFANYA FEASIBILITY STUDY MWENYEWE KRBU KWA USHAURI WA BURE ULIZA CHOCHOTE KILE KUHUSU MACHINES UPATIKANAJE WA MAHINDI KAMA UPO DAR NA AINA ZA MAHINDI YANAYOFAA
Naomba unitafute 0626063600
 
Habari kiongozi , mashine yenyewe ukubwa huu capacity yake per hour Ni kg/ton ngapi? Asante
 
Back
Top Bottom