Midekoo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 47,776
- 257,639
Duh 😱😱😱 Nikajua watoto wa wakulimani watoto wasiri waziri mkuu mstaafu...... wamasai wanaishi ngorongoro nawafahamu vyema very humble kama mzee wao
Duh 😱😱😱 Nikajua watoto wa wakulimani watoto wasiri waziri mkuu mstaafu...... wamasai wanaishi ngorongoro nawafahamu vyema very humble kama mzee wao
Zero plus plusChenge katuharibia nchi kabisa..
Msomi mwingine punguani wa USA ni Lipumba...Aisee huyu jamaa ni zero plus zero!
mstaafu au aliye jiuzuru?ni watoto wasiri waziri mkuu mstaafu...... wamasai wanaishi ngorongoro nawafahamu vyema very humble kama mzee wao
Hapa Tanzania bila Biology, degree ya medicine utasikia tu kwenye vyombo vya habari.hivi mtu ukisoma pcm unaweza kusomea medicine? university zetu hapa Tanzania inaruhusiwa?
Kweli nakikumbuka na nimewahi kukisoma piakwa ulaya na marekani ni kubwa SANA. maana huku tunachosoma advanced level kule ni cha first year bachelor. kama umesoma physics advanced level unakumbuka kitabu kinachoitwa university physics (up). kule wanatumia first year university.
hahahaUkishakuwa na pesa na PHD unaikuta humo humo.
Ok mkuuhahaha
Hapo ndio umuhimu wa kusoma Advanced Biology kwanza.Sure advance biology unasoma cell biology(cytology) vizuri,unasoma coordination,transport biochemistry na nyingine ambazo ukifika chuo unasoma physiology,anatomy,biochemistry ambazo ni za muhimu sana..
Kweli mkuu! Ghalib bilal mwenyewe keshatupa mavyeti yake baada ya kuitumikia ccm nje ya taaluma yake!waache tu wabaki huko, bcoz we don't have capacity to use those brains.
mkumbuke balali yuko wapi? huku sisi tuachie wenyewe.
resources (both human and natural) hatujui kuzitumia.
Nimekuelewa vizuri mno umemsahau na ShigongoWenye PHD Tanzania ni akina Mohamed Dewji, Reginald Mengi, Bakheresa, Yusuph Manji, Mathias Manga, Kishimba, Sabodo, Zackaria, Lowasa, Seth, Rugemalira, Rosatam Azizi, wengine wote ni magumashi tupu.
Kwani tz napo kuna shule?hivi mtu ukisoma pcm unaweza kusomea medicine? university zetu hapa Tanzania inaruhusiwa?
Leo nakuunga mkonoWenye PHD Tanzania ni akina Mohamed Dewji, Reginald Mengi, Bakheresa, Yusuph Manji, Mathias Manga, Kishimba, Sabodo, Zackaria, Lowasa, Seth, Rugemalira, Rosatam Azizi, wengine wote ni magumashi tupu.
ni vijana mapacha wawili wa kitanzania wana miaka 25 na wanachukua PhD huko Harvard universityView attachment 662563 View attachment 662564