Watanzania KWAHERINI YA KUONANA.

You are a great thinker and we need you even after the government has accomplished your targets, but I believe its our cdm government which will perform. We have plenty of challenges but majority of population are with us, we need to use the moment to our advantage and deliver at our current situation. They ccm they talk the talk. We need to walk the walk, in your part you have done a lot but we need to do more, there is a comment which you said "time has catched with most of us" I believe once you are a great thinker, you will always remain one. Am happy to be here at jf and will never ever ever consider myself gone. My last last advice to all "its not over until its over, even then its not over"
 
Son of Peasant,

Ndio maana nikasema wapo waliondoka bila kuaga wakakosa nafasi ya kushauriwa. Sasa hivi wanaungana kuandamana kupongeza hotuba na maneno Amani yetu tunaipenda! Wengine wanakurupuka eti CDM wachawi wa upinzani. Afadhali nimeaga ndugu zangu mmenishauri wengine mmenionya, wengine mmenikumbusha, wengine mmenitia nguvu! Wao walikosa nafasi hii. Nabaki.

Panya akitaka jina hujipitisha mbele za watu
 
Jmushi,

Soma tena kamanda. Angalia tena kwa nini sijasema naaga nini. Nitakuwepo mpaka wayamalize waliyoahidi. Watamaliza? Tuko pamoja kamanda.
Thats what i thought before,na mimi nimekuwa victim wa kufuata upepo,niliposoma mara ya kwanza nilipata meaning,however baada ya kupitia posts nyingine,i got carried away with that "Group Think"

Shukrani kwa clarifications, it's a very interesting topic.
 
Kwa kheri ya kuonana mkuu si bado tunagangamala wenye mioyo miepesi wanaondoka wanarudi tena kuchungulia.

Mungu akutangulie huko uendako.

Fidel,

Mi siondoki mpaka wanipe Kitambulisho changu cha Utaifa, nipewe hati ya kiamba changu angalau nichukue mkopo wa milioni 3 na kituo cha afya kikamilike kikiwa na mtumishi wa maabara na vifaa. Unadhani itakuwa siku za karibuni kamanda? Nitakuwepo until then....so you can tell how long I will be here!
 
Great Thinker must first read between the lines.... sasa hii thread utawajua walio na wasio. Walio ni wachache!
 
Panya akitaka jina hujipitisha mbele za watu

Salimia,

Sasa atatakaje jina wakati tayari anaitwa Panya?

BTW, uwe unasema ahsante kwa wenzako. Mbona wewe wengine wamekuambia ahsante mara 23 katika post zako 19 ndani ya 135? Au ni kwa sababu ya majibu haya?
 
Thats what i thought before,na mimi nimekuwa victim wa kufuata upepo,niliposoma mara ya kwanza nilipata meaning,however baada ya kupitia posts nyingine,i got carried away with that "Group Think"
Shukran kwa clarifications,its a very interesting topic.

Kamanda,

tukipata viongozi kama wewe hii nchi itakuwa nchi ya asali na maziwa in no time. I believe so. Na hata kama sio kiongozi ukapata wananchi wanakuwa wepesi kukiri kitu fulani basi tungeendelea kwa kasi ya ajabu. Nimeipenda hii. I have learnt something. Greatness emanates from the smallest deeds. You are a Great Thinker. Let us build our nation.
 
Kama ingekuwa ni uchoraji hii ingeitwa "Abstract"!! Excellent!! Well narated.... Wengine watajua unaondoka kweli, lakini kwa mambo uliyoamua kuyafanya kabla ya kuondoka!!!..... It seems you are here to stay!!!.... And not only to stay... But to fight!!!! Big up Breda!!!!! Aluta continua!!
 
Kimbunga,

Wenzetu wamejisalimisha. Wamefika huko wamepewa kazi za upishi na upagazi. Wengine ni matarishi. Wanaamini kwamba wako salama. Wanasahau kwamba vita haijaisha na tunaelekea kushinda. Wakijisalimisha kwetu sijui watakuwa nini?

Kwa vile wana sura ya popo watarudi kujichanganya kundini. Kwa mtizamo finyu, wanaamini hatuwezi kutambua tofauti kati ya manyoya na vinyweleo !!!. ..... Si juzi tu nimewasikia tayari wamerudi tena majukwaani??? lengo ? Kutuaminisha kwamba bado wapo nasi..... kutusemea yale yanayotukera. Kumbe ?

Baada ya kuonja furaha za msimu , mioyo yao imebadilika na siyo waumini tena. No, ni waumini lakini wanachokiamini siyo kile tunachokiamini sisi !!! Kwa vile tabia yao ni kama ya popo, wapandapo majukwaani wanaamini tutaamini kwamba wanaamini tunachoamini: kumbe ? Wanahubiri wasichokiamini, na kuamini wasichohubiri !

Wana JF, tuweni macho !! Usiku bado ni mrefu, wekeni mafuta mengi kwenye taa zenu kwani mbwa mwitu ni wengi na watapenda kuendelea kujichanganya kama kondoo zizini !


Mapambano yanaendelea, We are here to stay !!!
 
Kwa vile wana sura ya popo watarudi kujichanganya kundini. Kwa mtizamo finyu, wanaamini hatuwezi kutambua tofauti kati ya manyoya na vinyweleo !!!. ..... Si juzi tu nimewasikia tayari wamerudi tena majukwaani??? lengo ? Kutuaminisha kwamba bado wapo nasi..... kutusemea yale yanayotukera. Kumbe ?

Baada ya kuonja furaha za msimu , mioyo yao imebadilika na siyo waumini tena. No, ni waumini lakini wanachokiamini siyo kile tunachokiamini sisi !!! Kwa vile tabia yao ni kama ya popo, wapandapo majukwaani wanaamini tutaamini kwamba wanaamini tunachoamini: kumbe ? Wanahubiri wasichokiamini, na kuamini wasichohubiri !

Wana JF, tuweni macho !! Usiku bado ni mrefu, wekeni mafuta mengi kwenye taa zenu kwani mbwa mwitu ni wengi na watapenda kuendelea kujichanganya na kondoo wetu walio zizini !

Mapambano yanaendelea, We are here to stay !!!

well said kamanda.
 
pole ila askari hakimbii vita; pigana nasi tutaku back up if need be...standing in the gap whenever need arises...
 
well said kamanda.

MKUU Alberto Asante, naona TUPO PAMOJA !

Nuru bado ipo mbali, popo ni wengi, kuwatambua kweli inahitaji umakini MKUU. Mola tujalie moyo MKUU kupambana na mbwa mwitu wanaomaliza kondoo wetu. !
 
Sijakata tamaa kamanda, kama kuondoka kwangu mpaka watoto wamalize elimu ya MEM si tutakuwa tumemaliza vita? Hawa jamaa ni watu wa kumaliza MKUKUTA n MKURABITA leo? Tuko Pamoja.

kwa mpango huo kweli tupo pamoja. Na kama kuondoka tutaondoka jf nzima.
 
Kuna type ya watu wanaopenda kubembelezwa. Watu hawa wakishakijua wao ni watu muhimu mahali, basi huanza kudeka deka na kutishia kuondoka ili tuu wapate kubembelezwa!. Naamini Msando wewe sii mmoja wa kundi hili la deko deko.
 

Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom