Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,352
- 9,810
Sio kweli..hukuwa ukifatilia bunge, Nape aliwahi ongelea suala la mikopo wakati Magufuli yupo, ilipofika trillion 56 akasema serikali iwe makini kwenye kukopa maana muda si mrefu tutakuwa hatukopesheki! Kuwa makini dogo. Chuki isikufanye uwe kipofu, give the man his due..Nakubaliana kabisa na wewe..inashangaza sana mtu kama Nape anabwabwaja tu....wakati wa awamu ya tano si alikuwa mbunge tena chama tawala na JPM akiwa mwenyekiti ...haya maswali angeuliza kipindi hicho ....Pamoja na JPM kukopa lakini kuna vitu tunaona na hilo lipo wazi....Yeye Nape so far amafanya nini kwa wapiga kura wake achilia mbali nchi...korosho tu haiwezi...
Apunguze mdomo....hana jipya