Bukyanagandi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2009
- 11,061
- 16,743
Ndugai amesema huyo mandishi anatafuta cheap popularity..........a new term in the hood.
Wewe ukiona wanatumia terms zenye utata, mwenye akili unajuwa kwamba kuna kitu pale si bure! Kumbuka spika SITA alivyo brush aside list ya mafisadi iliyo andikwa na wazalendo mtandaoni - nini kilitokea baadae, ikaja gundulika kwamba taharifa hizo za mtandaoni ni za kweli.
Watanzania tulivyo wa hajabu wakati mwingine kwa kushindwa kutabirika, SITA huyo huyo kahanza kulivalia njuga swala la ufisadi ambalo aliwahi kulipinga na kubeza sources zake, si ajabu historia ikajirudia tena katika suala hili - time will TELL.