Watani zangu.

The meaning of ST:
  1. Stubborn
  2. Septic tank.
  3. Statute; Statutes.
  4. Sacrament
  5. Stalinization.
  6. Strait.
  7. Street.
  8. Stanza.
  9. State.
  10. stagecoach.
  11. Statute; Statutes.
  12. Stet.
  13. Stitch.
  14. Stone (weight).
  15. Strait.
  16. Short ton.
  17. Stere.
 
Matembo, Sungura, Ngonyani, Komba
Watani wangu wangoni

Mzee Edwin Mtei anasema siku moja wakiwa na marehemu Sokoine miaka hiyoo walifanya ziara Mtwara, sasa wapo kwenye kupokea taarifa ya mkoa, Mkuu wa Mkoa anawatambulisha wafanyakazi wa mkoani pale, akaanza Huyu hapa anaitwa Komba ni..... wa pili kwako ni Mbawala ni..... na mama pale anaitwa mama Nguruwe, Khaaa Marehemu Sokoine akamwambia mkuu wa Mkoa hebu subiri kwanza hivi hao unanitajia hapa ni wafanyakazi wa hii ofisi au mifugo yao, watu hahahahahahahaha, akaambiwa mkuu hao ni afanyakazi wa hii ofisi
 
Nina uhakika kabisa kuwa dada Nangonyani huwa anapita hapa.Tena ni mjukuu wa Nambuzi naomba unijibu katika BLOG YAKO.
 
Umenikumbusha watoto wa kingoni jamani Sophia wangu mtoto wa kingoni upo wapi jamani maana mtoto alikuwa amefungasha mzigo mkubwa nyuma dah mpaka roho yaniuma nikimkumbuka,Sophia upo wapi jamani?dah!
 
Hata azaliwe sayari ya Mars atabakia mngoni tu.

AAh sana tu mtani, kuwa mngoni raha sana bana, jina tu linakufanya akina dada waulizie date na wewe kila kukicha. Utasikia yaani natafuta mngoni wakuniGEGA (OA) halafu wewe ndo mngoni mwenyewe available hapo mlipo unadhani utaacha kamanda ahahahahahah
 
Back
Top Bottom