Watangazaji wa Kili FM rudini shule mkasome

Watangazaji wa Kili FM rudini shule mkasome

Nokla

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2012
Posts
3,190
Reaction score
1,780
Wakuu kuna redio ya Kili-FM ya Mkoa wa Kilimanjaro wanazingua, utangazaji wao dhaifu sana
mfano asubuhi wanakipindi cha mishemishe za kwetu, yaani hawana mpangilio wa maongezi na hadi kufikia muda mwingine wasieleweke wanaongelea nini.

Pia katika kipindi cha michezo ndio utacheka mtangazaji hata majina ya timu hajui kutamka, mifano Premier League yeye anasema premium league, Southampton yeye anasema South potom, yaan ni kanjanja wa hali ya juu.

Ili kuboresha radio yenu inayokuwa kwa kasi rudini shule mkasome
.
 
Kili FM radio, mpasua msonabari, was my favourite radio at that time of my studies at lyamungo sec school, Halima Kassim was my favourite host, kiukweli hii radio ilileta mapinduzi ya kiburudani mkoani Kilimanjaro, but if the tittle of the thread is real, then the management has to take an immediate measures!
 
Ila Mimi Naona Kunasababu Kuu Tatu Zamsingi Zinazochangia, 1.Elimu Duni 2.Lafudhi(accent)mfano Baadhi Ya Makabila Kunamatamshi Hawawezi Kuyatamka Bila Kukosea Mfano Neno,ratiba= latiba,leo=reo,mchezo=nchezo N.K. 3.Watangazaji Wengi Si Wadadisi Yani Hawafuatilii Habari Wala Hawajui Current Issues Nyingi(habari Mtambuka). Mwisho Ushauri Wangu: Ukijiona Lafudhi Yako Haijakaa Sawa Nibora Usisomee Utangazaji!
 
lekule ni mshe...nzi anawatesa sana watangazaji moshi fm ni habari yao
 
Siku ya fainali kombe la FA nimemsikia mtangazaji zaidi ya mara tatu akiutaja uwanja wa Wembley zilipofanyika fainali hizo kama uwanja wa Wimbledon, ni aibu!
 
Kusoma haturudi kama vipi acheni kutusikiliza teh. Tatizo tunawekana kishikaji hatujapitia vyuo vya Uandishi wa habari.

Huyo sijamsikia, nawasikiaga Esther machangu na mwanahamisi jingu
 
Ni elimu ndogo mkuu. Kipindi kile inaanza ilikua bomba ila this tym ni mtori tu. Wengi wa watangazaji nawafaham ni madogo tu wa mtaani hapa viroba kwa sana
 
Tatizo ni kupenda vya bei rahisi...mtu kwa sababu ni DJ nae anakuwa mtangazaji,ni ndugu yake nae kawa mtangazaji,ni radio zote hizi za fm zikiongozwa na clouds ni ushuzi mtupu...
 
Tatizo ni kupenda vya bei rahisi...mtu kwa sababu ni DJ nae anakuwa mtangazaji,ni ndugu yake nae kawa mtangazaji,ni radio zote hizi za fm zikiongozwa na clouds ni ushuzi mtupu...

siku nyingine nilimsikia mmoja akisema "hii kill fm ikiwa inakutangazia kutoka jijin dar es salaam"
 
Siku ya fainali kombe la FA nimemsikia mtangazaji zaidi ya mara tatu akiutaja uwanja wa Wembley zilipofanyika fainali hizo kama uwanja wa Wimbledon, ni aibu!

Hhahahah yaani akitamka tottenham hotspurs ndio utacheka zaidi, anasema tottenam ozibag!
 
Tatizo ni kupenda vya bei rahisi...mtu kwa sababu ni DJ nae anakuwa mtangazaji,ni ndugu yake nae kawa mtangazaji,ni radio zote hizi za fm zikiongozwa na clouds ni ushuzi mtupu...

hahahaha yani hakili hawana eti unakuta dj anafanya mix alafu yy anatangaza tena show niya masaa 3 nini kinafuata
 
Dah, kill fm long time ago nikiwa o level nilikua naisikiliza sana.Hivi Halima Kassim (HK) bado yupo? Yule alikua anajitahidi sana.

OlesAIDIM Yupo bbc sa hvi alikuwa na sauti ya ukweli! kipindi chake kilikuwa kuanzia saa saba mchana hadi kumi kamili jioni "The stom" na dj drill sijui bado yupo! mbona kill fm ilikuwa imekamilika hvyo watangazaji wote walishasepa!
 
Last edited by a moderator:
Kili FM radio, mpasua msonabari, was my favourite radio at that time of my studies at lyamungo sec school, Halima Kassim was my favourite host, kiukweli hii radio ilileta mapinduzi ya kiburudani mkoani Kilimanjaro, but if the tittle of the thread is real, then the management has to take an immediate measures!

lyaboyz umetoka mwaka gani mkuu??
 
Back
Top Bottom