dickchiller
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 1,843
- 3,144
Mbona kuna Wadau wana PhD ila lugha gongana mi naamini tatizo kubwa kutokujiamini na huwa tunajifunza kingereza kama somo na sio kama la lugha. Mbona hata babie kiswahili hayuko comfotable kuongea? Nishaona lecturers wengi tena wanamasters za nje ila wanafundisha kwa kiswahili somo la kingereza.
Angelia wanaosoma international wanaofanya kingereza lugha sio somo wako competent kwenye lugha
Angelia wanaosoma international wanaofanya kingereza lugha sio somo wako competent kwenye lugha