Watangazaji wa 360 Clouds tv kama hamtojali nitaomba mnijibu maswali yangu haya yafuatayo...

Kuna Baadhi Ya Post Ukiweka Nakuona Wa Maana, Lkn Post Km Hz Unajiharibia. Hata Km Umemlenga Mtu Au Kundi La Watu Co Kwa Point Hiz. Kwann Maswali Yote Yahusu Lugha2 Na Co Kitu Kngine Kwenye 360 Huku Ukiwataja Majina Flan Hv Flan Vile. Km Kuna Shida Kwenye Uwasilishaji Kwa English Kwa Baadhi Ya Washiriki, Toa Ushaur Wa Jumla Ili Waangalie Namna Ya Kukiandaa Endapo Watapata Wageni Wacojua Kiswahili.
 
English Sio Lugha Yetu Mkuu, Hata Hao Wazungu Kiswahili Kinawapa Shida, Uelewa/ufahamu Wa Mtu Katika Nyanja Mbalimbali Haupimwi Kwa Kujua Kiingereza Sana. China/japan/urusi/korea Wamekomaa Na Lugha Zao Na Wametoboa.
 
Kwa kifupi bwana Hassan ngoma anamzidi kwa mbaaali Yule jamaa aliye mapumzikoni kule Bush...
 
Mkuu mbona umejibu kwa ' mhemko ' sana? au una Undugu wowote labda na hao Watajwa wa 360 Clouds tv? Halafu umejibu ' Kipumbavu ' sana hivi ni wapi labda katika thread content yangu nimesema kuwa Mtangazaji Hassan Ngoma hajui Kiingereza? Kuna Watu huwa ' mnanilazimisha ' niwadharau!
Sasa mkuu unataka atoe siri kuwa naye huwa anatetemeka na kurusha mikono na hata kubanwa na haja ndogo pindi akiongea "kimombo"???

Hii ishu umewagusa wengi...
Ndio maana mapovu yake siyo ya kitoto
 
Back
Top Bottom