Watangazaji maarufu wa radio zetu

wakuu mimi ninapenda sana kusikiliza radio,nafikiri umefika wakati tuwapongeze watangazaji wa vipindi mbalimbali wanaojituma kufanya kazi zao kwa bidii na uhakika.

Mimi napenda sana wafuatao:

Juma Baragaza - Radio Free Africa

Mbazigwa Hassan - TBC

Hapo kwenye listi ongezea HALIMA KIHEMBA

Flora Nducha
Fina Mango alipokuwa powerbreakfast when it was really 'powered our nerves',Masoud Kipanya hata kama mmenuniana kwenye gari lazima mtacheka tu..,afu huyu Seven sijui kwanini aliacha utangazaji ( Kipindi hicho wana kipindi chao na Judith Wambura) ofkozi Clouds walileta mapinduzi ya FM radio za kisasa..
Baby Kabaya

Omari Jongo (RIP) na Ahmed Jongo. Huyu Omari Jongo na Dominic Chilambo kwenye matangazo ya mpira wa miguu walikuwa si mchezo

1. Fred Fidelis
2. Ian Dialo (Gatro)
3. Mr Flava
4. Gadner G Habash
5. Anorld Kayanda
Utangazaji wa siku hizi ni mwendo wa kubana pua tu, ila hawa hapo juu wanafanya vizuri zaidi, ubunifu wao ni wa kipekee especially huyo namba 1,pia namba 2. Huyu kijana wamwisho ni mtangazaji mzuri sana, ila kujitia mjuaji sasa ndiko kunanifanya nione anakoelekea siko!

wakuu mimi ninapenda sana kusikiliza radio,nafikiri umefika wakati tuwapongeze watangazaji wa vipindi mbalimbali wanaojituma kufanya kazi zao kwa bidii na uhakika.

Mimi napenda sana wafuatao:

Juma Baragaza - Radio Free Africa

Mbazigwa Hassan - TBC

Umaarufu wao unapimwa kwenye nini? Maana kuna wanao ongea wee bila kufuata maadil,weng waliopo bongo co watangazaji ni ma MC bwana hawaingii na script kwenye vipindi wanaongea wanachojiskia bila kujal odience ina tofautiana..NAPENDEKEZA MTOA MADA ATUPE VIGEZO VYA KUWAPIMA THN TUTOE mawaz naomba kuwasilisha!

Back
Top Bottom