Yale yale ya South Africa.
Tumewaweka Mazimbu, morogoro hadi wakapata uhuru.
Tumekwenda kufanya kazi kwao, matokeo yake ni kuuawa kinyama.
Ndio litakalofuata huko Zanzibar.
The way the cookie crumbles in Zanznibar.
Wapemba nao wafunge maduka yao Dar es salaam?
Pazuri sana hapo!
Wana bahati haitotokea kwakuwa waTanganyika sio wapuuzi kihivyo japo kila uvumilivu una mwisho!
Bora hao viongozi wa SUK watoe tamko na kuanza kulifanyia kazi tatizo hili! Hakuna anaye sema lolote; sio Shein wala Maalim! Au ndio wanchezeana offside trick (kama jina la kundi ya mduara ya Zenji)?