Watanganyika watakiwa kuondoka Zanzibar!

Watanganyika watakiwa kuondoka Zanzibar!

Najua baadhi watapinga lakini ukweli ni kwamba Zanzibar kuna itikadi za kidini pia. BAADHI ya waislam wanawachukia wakristo kwa imani kwamba ndio wanaoharibu utamaduni wa Wazanzibari na wakati mwingine ndio wanaoifanya CCM iendelee kutawala Zanzibar

Wewe utaonaje kama wakija Wajamaica kijijini kwenu au mtaani kwenu na wakawa wanaendeleza mila zao za kuvuta bangi hadharani au Wataliana wakawa wanawaendea watoto wetu kinyume cha maumbile kimapenzi? Unapoamua kuishi katika mji wa watu, muhimu ni kuhishimu mila za wenyeji wako, hapo utaishi kwa salama na amani na mapenzi baina yenu. Hakuna dini inayoruhusu kushinda kwenye mabaa, kufanya umalaya na kuvaa mini skirts na nguo zinazonesha sehemu kubwa ya mwili wako. Kama ni sehemu ya mila yako basi ni uzuri kuifanyia kule inakokubalika. Na hata Tanganyika hiyo haikubaliki lakini ndugu zetu wanapokwenda Zanzibar hujifanya kama wako beach vile. Hebu jaribu kuvaa au kumvalisha shemegi mini skirt na uwende Wizara ya Mambo ya ndani pale uone kama hutorejeshwa nayo. Kama ni poa, kwa nini wasikuruhusu kuingia? Ujuwe kuwa haikubaliki hata kwa standard za Tanganyika
 
Rasimu ya katiba ilisema serikali 3. CCM wakaitupa. Watu wanadai nchi yao mnawapiga mabomu.
 
Sasa toa ukweli wako ulobebwa na scientific evidence kwamba Wazanzibari wanawachukia Watanganyika, Wanawapiga Wakristo ni magaidi na hujuma zote munazowatupia. Lakini haya yote hayatuzuwii sisi Watanganyika kwenda Zanzibar kutafuta maisha mapya. Hicho ndicho cha ajabu. Ugaidi wa Zanzibar ni bora kuliko usalama wa Dar es salaaam. Ninae rafiki yangu mmoja ni mshika fedha wa kanisa hapa Dar lakini watoto wake wote anawasomesha Zanzibar. Nilipomuuliza kwa nini anafanya hivyo, jawabu lake aliniambia kuwa Zanzibar kuna maadili mazuri
Kama unataka kupata scientific evidence kuhusu ubaguzi Zanzibar pitia kwenye mada/thread hizi,



DSC04085.JPG

gari-la-kanisa.jpg
 
Je hii haiwezi kuwa nbinu ya kupenyeza majeshi kwa kisingizio cha kulinda amani halafu haohao wataonekana kwenye sanduku la kura
ndivyo wanavyofanya mkuu miaka na miaka..
huyu mtoa mada ni walewale makada wenye kasumba za kibaguzi.
 
ndivyo wanavyofanya mkuu miaka na miaka..
huyu mtoa mada ni walewale makada wenye kasumba za kibaguzi.
Mtoa mada amefanya kosa gani?

Haya ni matukio yaliyotokea na kushuhudiwa na vyombo vya habari.

Nadhani mjumbe hauwawi!
 
Rasimu ya katiba ilisema serikali 3. CCM wakaitupa. Watu wanadai nchi yao mnawapiga mabomu.
Wanadai nchi yao? Ipi na kwa sasa wanaishi kwenye nchi ipi?

Kwani wanaowapiga mabomu wako kwenye nchi gani?
 
Tutakimbia ukweli.Ukweli mkuu umeanza na ubaguzi,hawa MACHOTARA sisi WAAFRIKA,MACHOTARA rudini kwenu na serikali ya Shein ikafurahi na kupiga makofi,duh!Wanasema heri nusu shari kuliko shari kamili.Naona Shein anataka SHARI kamili
 
Mambo ya mwaka 2012 unayaleta mwaka 2016?!! kweli maccm ni MAFISI YALIYOISHIWA HOJA. YAMEBAKI YANATAPATAPA TU ILI KUHALALISHA HARAMU ZAO WANAZOFANYA. UKAWA UKO IMARA KULIKO KIPINDI CHOCHOTE KILE.
 
HAKUNA CHA WAZANZIBARA WALA WATANGANYIKA,ICHO NI KIKUNDI CHA WATU WACHACHE AMBAO HAWAITAKII NCHI YETU MEMA,WANATUMIA KIVULI CHA DINI KUVURUGA AMANI YA NCHI YETU,WALA TUSIFIKIRIE NA KUJADILI MAMBO YA DINI MTU ANAPOFANYA KITU KINYUME CHA DINI YAKE HUYO SIO MUMINI HALISI WA DINI HIYO,WALIOFANYA VURUGU IZO HAO NI WAARIFU KAMA WENGINE WASIOITAKIA MEMA NCHI NYETU,TUSIKUBALI WATU WACHACHE WATUVURUGE NA KUTUTUMBUKIZA KWENYE MACHAFUKO KWA KISINGIZIO CHA UDINI,UKABILA,UTANGANYIKA,UZANZIBARI,NA UKANDA.NAWAPA POLE WENZANGU MLIOKUMBWA NA MKASA HUU,WALIOHUSIKA WAKAMATWE WAFIKISHE KWENYE VYOMBO VYA SHERIA.
 
Kama unataka kupata scientific evidence kuhusu ubaguzi Zanzibar pitia kwenye mada/thread hizi,

Hilo tukio au matukio kati ya matukio mengi tu yanayotengenezwa kwa ajili ya kueneza propaganda za serikali. Na katika hadithi zako zote mbili zinaeleza kwamba kanisa limechomwa moto na watu wasiojulikana. Ni hadithi ya magazetini haithihitishi lolote. Scientific evidence ingeleta motive, ikawataja culprits, na kumalizia hatua waliyochukuliwa na vyombo vya sheria. Wewe hadithi zako zimetaja suspects tu. Inaonesha namna gani ulivyo mtupu kichwani na ndio maaana unaamini hizo propaganda.

Mimi kama ni muislamu, sikubaliani na vitendo kama hivyo, lakini kwa wakati huo huo natambuwa michezo michafu inayochezwa na wanasiasa wachache ili kukidhi maslahi yao. Hawaoni dhambi kuuwa hata wale walio upande wao as long as ya kwao yamekaa sawa. Amka dogo, usiwe na akili za kuku anayefukuzwa kula mchele baada ya dakika mbili anarudi pale pale. It's a big world!





DSC04085.JPG

gari-la-kanisa.jpg
 
relaaaaax people,hivo ni vijamaa viwili tu na havina sapoti za kisiasa vitashughulikiwa tu
 
Mimi nikisikia ndugu yangu kachinjwa huko zanzibar huku Tanganyika patakuwa hapatoshi....
 
Inaonekana huu muungano unalazimishwa na Watanganyika. Kama suala ni Muungano kwanini makanisa yachomwe? magari na mali nyinginezo za viongozi wa makanisa ziharibiwe? Kuna kitu zaidi ya MUUNGANO, kumbukeni kuwa hili kundi la uamsho lina undugu wa karibu na Udugu wa Kiislamu aka MUSLIM BROTHERHOOD! Malengo yake makubwa ni yale ya Islamization of the World. Suala la WABARA sitashangaa kuwa ni kisingizio tu bali ugomvi hasa ndo huu wa dini. Najiuliza hivi kweli kama ingetokea Wakristo bila kujali dhehebu wamechoma msikiti, hivi hali ingekuwaje saa hii? Nadhani MUNGU wa kweli ataka amani na MUUNGU hutaka fujo!!!! hainiingii akilini kwamba uue ili uende mbinguni, bila shaka haiwezekani kuwa mbinguni bali kule kwingine!!!!!

Sipendi kulazimisha muungano ila wakumbuke kuwa nje ya Muungano HAKUNA Zanzibar narudia tena HAKUNA Zanzibar ilounganika bali kuna Unguja na Pemba. Kuna Washirazi, Waarabu na Makabwela!!! Pingeni Muungano, Piganeni na Ukristo, Pingeni hao mnaowaita Makafir, Pigeni Wabara katika kivuli cha Muungano ila kumbukeni kuwa hata ndani ya uislamu hakuna umoja. Waahamadiya watawapiga Wasunni, Wasunni watapigana na Washia na washia watapambana na madhehebu mengine ndani ua "Uislamu". Hakuna amani inayopatikana kwa kutumia nguvu bali amani hupatikana kwa maelewano. Iko siku Hao mnaowaita Mkafir watakapoamua kujikomboa ndipo mtakapojua kuwa every person can behave like an animal if triggered or forced to.

Some religions have brought nothing but chaos in the world. How I wish we could change to back our times and how I wish this year were 609 AD before 610 AD the so called "Revelation" which most of us call PSEUDO revelation had not yet taken place. I wish this movement wouldn't emerge for God's sake. How I wish Johanna's last Crusade was allowed to continue to the END OF UNCIVILIZED and distorted world, we would be at Peace under one roof as a Nation!!!

I have written this with sentiments because I have a relative in Zanzibar ambaye jana usiku alinusurika kuuwawa pale alipokwenda kuzima moto ambao hawa hawa wafuasi wa UAMSHO walikuwa wamechoma Kigango/ Kanisa la Tomondo mali ya kanisa Katoliki. Hadi sasa hayuko stable!!! Be cursed whoever got involved in this Tragedy!!
Mkuu umeandika kwa hisia za hali ya juu sana....kimsingi hakuna dhambi mbaya kama dhambi ya ubaguzi....ni dhambi ambayo hutafuna kizazi hadi kizazi.....kama ulivyosema kuwa nje ya muungano hakuna zanzibar bali kuna pemba na unguja....
 
Hivi hawa wazanzibari 300 kwa nini watusumbue hivi! Kwa nini lakini?!

Mkuu, wa Zanzibar wanataka nchi yao. Hata haya matatizo yanayotokea kila unapofanyika uchaguzi ni kwa sababu tu wa Zanzibar hawataki Muungano wanataka nchi yao!

Mimi naona muda umefika kwa viongozi wetu wa huku bara (Tanganyika) kuwaachia ndugu zetu wa Zanzibar nchi yao na kujitawala wenyewe! Pasipo kufanya hivyo wa Zanzibar wataendelea kutusumbua!
 
Warudi tu Tanganyika maana inakoelekea sasa itakuwa ni kuviziwa mtu unapotezewa uhai.
Ok,sawa kabisa na warudi tu ndugu zetu maana huku ni kwao,sasa halafu wakisha rudiswa na hawa wa kule walioko huku tuwafanyeje? au tuzidi tu kuwa wakarimu kwa wageni wetu? mbona naanza kupata hisia za kumiliki duka kariakoo.
 
Mkuu, wa Zanzibar wanataka nchi yao. Hata haya matatizo yanayotokea kila unapofanyika uchaguzi ni kwa sababu tu wa Zanzibar hawataki Muungano wanataka nchi yao!

Mimi naona muda umefika kwa viongozi wetu wa huku bara (Tanganyika) kuwaachia ndugu zetu wa Zanzibar nchi yao na kujitawala wenyewe! Pasipo kufanya hivyo wa Zanzibar wataendelea kutusumbua!
Mathalani angetokea mtu kuniuliza nini maoni yangu juu ya kinacho itwa Muungano ningeomba kesho iwe mwisho usiwepo wala si kesho kutwa wala nini,kuna nini kule muhimu bara ina kihitaji?sababu za kiusalama zilizo elezwa miaka ile sasa hazipo, adha tupu,kero,lawama,malalamiko wakiwa huku hawa bughudhiwi ukiwa kwao nongwa, tizama sasa ugomvi wa TFF na ZFA basi ili mradi zogo kila kona,ah! wangeachwa tu wangoane meno wenyewe.
 
Wanaanzisha vagi, wanadhani Serikali haitafanya kitu kwa vile kuna ICC. Hawajui kwamba udhibiti wa vurugu sasa hivi unafanywa kitaalamu. Tutapeleka gari nne tu za washa washa. Kwenye vurugu ya uso kwa uso, polisi watatu au wanne watapata mazara lakini wapemba/wanguja 1,000 watakiona cha moto.
 
Asanteni nyoote kwa kutujuza. Nape atakuwa anasikia hasira sana kwa habari hizi kuwafikia Wadanganyika
 
Back
Top Bottom