Watanganyika watakiwa kuondoka Zanzibar!

Watanganyika watakiwa kuondoka Zanzibar!

Ni vema kuwa makini sana na suala hili. Hivi ni nani hasa aliyechoma makanisa kule zanzibar? Binafsi sina imani na serikali ya ccm hata kidogo.......maana hawataki hoja ya muungano ijadiliwe na wanaweza kufanya lolote kuvuruga hoja za wapinzani wao. Namkumbuka sana Mahita alivyotuaminisha cuf/ngangari wameandaa majambia na hata kutuonesha baadhi ya majambia hayo....sote baadae tulikuja jua kuwa alitumwa na ccm! Tuwe makini sana katika hili. ....tusiwe wepesi kufikia tamati!
 
kwa nini wasiwaite kwanza ndugu zao wa huku, ndio waanze kuwafukuza wa kule, au wanadhani zenji ni special place saaana
 
Kama vipi warudi tu. Huku wakati taifa linafikiria namna ya kutoa suruhu
 
Kwenye mikutano ya hadhara huwa wanauamsho wanadai kuwa kauli wanazotoa ni za "Wazanzibari wote!" Ikitokea wamechemsha ndio utasikia "wale wahuni wa uamsho!" Kaaazi kweli kweli!
 
Nawapa pole sana watanganyika wenzangu.ila kama mambo yataendelea hivyo rudini nyumbani tuna ardhi ya kutosha.ila hawa wapemba waliojazana kariako kama mchele walai watarudi kwao sasa tuone.
 
Mimi bora niishi kwenyw zizi la mbwa kuliko kwenda zanzibar hawa watu wabaguzi sana.mbona sisi tunaishi nao poa tu.
 
Wanzanzibar wanawasha moto wasio na shug'uli nao, ukikolea vizuri watatafuta pa kutokea.

hawa majamaa mafirauni kweli.. ...tuwafukuze huku tukianzia na Bakhressa, na yule diwani wa Upanga Mashariki, mdogo wake na Dr. Salim. halafu hakuna kupeleka chakula chochote kwa muda wa siku 4 tu, kama hawajafa wote! mapumbavu sana wale
 
Jamani Mimi nadhani hao waliofanya vurugu ni walevi tu! Hajui kuwa zanzibar hakuna chakula? Hakuna umeme? Hawana viwanda? Kamwe wazanzibari hawawezi kujiendesha wenyewe.

Matumaini yao ni kwamba muungano ukiisha basi wao wataletewa kila kitu na waarabu, hawajui kuwa Eritrea waliahidiwa hivyo hivyo kabla ya kujitenga na Ethiopia, matokeo yake ni maisha duni zaidi na kukimbilia nchi za wengine hasa israel na ulaya hata Somalia na afighanistan pia walidanganywa hivyo hivyo. Wenye akili watabaini kuwa zipo nguvu za giza zitendazo uovu na uaribifu duniani zenye kurahisisha uhai wa watu na kutafuta visingizio rahisi kuhalalisha umwagaji damu
 
Kwenye mikutano ya hadhara huwa wanauamsho wanadai kuwa kauli wanazotoa ni za "Wazanzibari wote!" Ikitokea wamechemsha ndio utasikia "wale wahuni wa uamsho!" Kaaazi kweli kweli!

Kwenye suala sinalohusu group ya watu au nchi ukisikia neno wote mannake ni wengi wao, ndio maana ukisikia Watanzania wamemchagua JK kua rais wao haimainishi wote wamemchagua bali wengi waliomchagua.

Wazanzibari wengi wao hawautaki muungano lakini wako wachache wenye maslahi kwenye muungano wakotayari kuuwa ila waulinde.
 
Watanganyika, Wa Congo, Warundi, Wanyarwanda, Waganda, Wamalawi, Wakenya, Wangazija na n.k. Wameishi Zanzibar kabla na baada ya biashara ya utumwa. Kwa nini issue ni kwa watanganyika tu?. Zanzibar mtabaki kwenye muungano mpende au msipende. Hata US haikuungana kwa hiari, Southern States ziliunganishwa kwa lazima. Muungano utadumu milele iwe kwa mtutu au kwa majambia so long as Zanzibar iko Africa. Kama mnauwezo hamisheni visiwa hivyo visiwa. Kwa kuwa mko pua na mdomo baina ya miji ya Tanga na Bagamoyo lazima mtabaki kwenye muungano.
Babu yangu alipigana vita vya ukombozi nchini Msumbiji, story alizonipa kuhusu operation Tete (Katika mji wa Tete Msumbiji) zilipa machungu sana na ujasiri wa kupigania damu na ardhi ya mwafrika. Nina imani na jeshi na JMT litatetenda haki kwa hako kakikundi korofi karikoibuka ndani ya mipaka ya JMT kanakoitwa uamsho
 
Mkuu unaandika uwongo uwongo mimi niko zanzibar hilo uloandika lako mwenyewe hakuna kitu hicho zanzibar. Unachochea chuki tu huna lolote mzushi mkubwa .kama ni vile usemavyo wewe nambie mbara gani kapigwa na wanatembea bila kuulizwa chochote WAZANZIBAR WANATAKA dola ya zanzibar bila muungano huu hawana shida na watanganyika,wakenya,wataliana au waarabu watu wanataka nchi yao 2 basi

Acha kujishaua wewe, tunawajua vyema; ubaguzi wenu upo dhahiri, hata mimi nilishakaa Zenji. Nyie subirini tu, mmelikoroga mtalinywa tu............!!!!!!!
 
Mimi niliishi zenji, kwa utafiti mdogo niliofanya wazanzibari wengi wanaosema hawataki muungano basi ujue hajawahi kutoka nje ya zanzibar, utakuta yeye ni pemba -ugunja; vile vile wengine hawana jamaa zao waliopo bara, wala kufanya biashara bara; bali ana ndugu waliopo uingereza na hao ndio wanampa kiburi.
 
..Wapemba na Waunguja walioko Tanganyika wasihukumiwe kwa makosa ya ndugu zao walioko Zanzibar.

..Watanganyika walioko Zanzibar waondoke huko kama wanaona maisha yao yako hatarini na serikali ya zanzibar haiwezi kuwalinda.

Joka kuu, mimi nina ndugu yangu yuko ZNZ amepigwa kwa sababu tu anatoka Bara, kwanini na mimi nisiwapige hawa jamaa huku ili nao warudi kwao kama unavyosema.
Unachosema hapa wewe ni A=B but B is not = A.
Haiji.
 
joka kuu, mimi nina ndugu yangu yuko znz amepigwa kwa sababu tu anatoka bara, kwanini na mimi nisiwapige hawa jamaa huku ili nao warudi kwao kama unavyosema.
Unachosema hapa wewe ni a=b but b is not = a.
Haiji.

huyo jamaa labda ni jambazi au mwizi
 
watanganyika, wa congo, warundi, wanyarwanda, waganda, wamalawi, wakenya, wangazija na n.k. Wameishi zanzibar kabla na baada ya biashara ya utumwa. Kwa nini issue ni kwa watanganyika tu?. Zanzibar mtabaki kwenye muungano mpende au msipende. Hata us haikuungana kwa hiari, southern states ziliunganishwa kwa lazima. Muungano utadumu milele iwe kwa mtutu au kwa majambia so long as zanzibar iko africa. Kama mnauwezo hamisheni visiwa hivyo visiwa. Kwa kuwa mko pua na mdomo baina ya miji ya tanga na bagamoyo lazima mtabaki kwenye muungano.
Babu yangu alipigana vita vya ukombozi nchini msumbiji, story alizonipa kuhusu operation tete (katika mji wa tete msumbiji) zilipa machungu sana na ujasiri wa kupigania damu na ardhi ya mwafrika. Nina imani na jeshi na jmt litatetenda haki kwa hako kakikundi korofi karikoibuka ndani ya mipaka ya jmt kanakoitwa uamsho

kwa maneno haya na watu wenye akili kama hizi, huo muungano wa afrika mashariki maisha utakuwa ni
ndoto
 
matumaini yao ni kwamba muungano ukiisha basi wao wataletewa kila kitu na waarabu, hawajui kuwa eritrea waliahidiwa hivyo hivyo kabla ya kujitenga na ethiopia, matokeo yake ni maisha duni zaidi na kukimbilia nchi za wengine hasa israel na ulaya hata somalia na afighanistan pia walidanganywa hivyo hivyo. Wenye akili watabaini kuwa zipo nguvu za giza zitendazo uovu na uaribifu duniani zenye kurahisisha uhai wa watu na kutafuta visingizio rahisi kuhalalisha umwagaji damu

hata wakimbilie makalioni kwako!!! kwani si nchi yao ??? shughulika na nchi yako kwanza !!!!!!!!!!,
mnailaumu ccm siku zote na ufisadi , anza na hilo kwanza maana chadema imeshindwa kuitoa ccm madarakani

waachieni znz na nchi yao
 
Kwenye suala sinalohusu group ya watu au nchi ukisikia neno wote mannake ni wengi wao, ndio maana ukisikia Watanzania wamemchagua JK kua rais wao haimainishi wote wamemchagua bali wengi waliomchagua.

Wazanzibari wengi wao hawautaki muungano lakini wako wachache wenye maslahi kwenye muungano wakotayari kuuwa ila waulinde.

Ok mkuu ngoja nikubaliane kwa hili japokuwa BAKWATA imekaa kimya kama haipo! Hao wapinzani wa Muungano mbona hawawaiti wenzao toka 8ara maana sisi ni wabaya, walio wazuri ni mataifa mengine?
 
Back
Top Bottom