Watanganyika watakiwa kuondoka Zanzibar!

Watanganyika watakiwa kuondoka Zanzibar!

hizi ni mbinu wanazotaka kanisa kuzitumia yaani kuzusha haya majambo ili wapate sababu lakini naona ita back-fire sana tu

fikiri zaidi sina haja ya kuandika zaidi
kanisa ndio wanahamasisha uamsho na mihadhara? kanisa ndio wanachoma makanisa visiwani? kanisa ndio wanatishia watanganyika wanaoishi unguja? unafikiri kwa kutumia sehemu gani ya mwili wako??maana nina uhakika sio kichwa!!
 
for sometimes Zanzibarians have been rude to Tanganyikans....while in ?Zanzibar, not in DAR i dont know why! ntasema baadhi....

1....students going for field practicals hushinda beach kwani hawako accepted kwenye vituo vya mazoezi...

2. wanafunzi wanaosoma university of zanzibar huwindwa na wengi wao huambulia DISCONTINUATION....

3. WATU au expertiese wanaofanya kazi hunyimwa mishahara C/O Zanzibar agencies....mara nyingi mishahara yao hubidi itumwe moja kwa moja na donor......

ni ajabu sana nilipokwenda zanzibar na kukuta vijana wa chuo cha ardhi waliopangiwa Zbar wakipigwa danadana wizara ya ujenzi...zilipita hadi wiki tatu kazi yao kuangalia watalii bandarini...eventually, nikakutana na event nyingine zinazoonyesha hostility ya moja kwa moja hadi mwishowe kunikuta mimi mwenyewe....kuna rafiki yangu mmoja alitumiwa sms kimakosa iliyokuwa na mkakati wa kumyang'anya kibarua ambapo anafanya kama expertiese..... kali zaidi ni pale nilipotambulishwa na mmoja wa mwenyeji wangu kule zanzibar kwa shemeji yake ambaye ni msomi mzuri na mwalimu wa SUZA.....ambaye nilidfhani atakuwa tofautio na wenzie lakini mazungumzo yalikuwa ni kama hivi....

mwenyeji: halow shemeji kutana na MR.......................ndiye mgeni wetu katika ile assignment

shemeji: habari bwana huko tanganyika mnasemaje....

mimi: bara ni njema kabisa huku visiwani mnatunyima nini?

shemeji:
kimya......

mimi: karibu sana, chukua hii ni business card yangu kwa ajili ya mawasiliano!

shemeji: ndio umekuja huku kuprint hizi?

mimi: hapana, hii niliiprint kule bara, tena mkoani, ili mkikutana na mtu muhimu kama wewe niweze kuwa na mawasiliano nawe!

mwenyeji: basi shemeji, nadhani utuache tuendelee na shughuli yetu.....

shemeji: tutaonana bwana ukirudi tanganyika wasalimie!

KWA KWELI NILICHOKA HADI MBAVU....KINA ZITO TUNAOMBA MTUSAIDIE.....KUNANI NA MUUNGANO? THIS THINGS MIGHT NOT HAPPEN TO YOU BECAUSE OF YOUR POLITICAL PROFILE...BUT ARE HAPPENING!!! MBONA HAYA YAKO KULE TU HUKU BARA HAYAPO? ZANZIBAR KUNANI?
 
una ushahidi gani kuthibitisha kuwa waliochoma makanisa ni wazanzibari?? au hao waislamu??

Jee ikiwa hao wanaomiliki makanisa waliyachoma wenyewe??? kwani hawana walinzi wao??? hapa kuna kila aina ya mbinu za propaganda
Yaani wakristo wageuke wachome makanisa yao wenyewe! kweli uwezo wenu wa kufikiri upo very limited! ni hizi halua na tende mnazokula zinawaadhiri? itabidi nianze analysis kuona kama kuna correlation kati ya ulaji wa halua/tende na uwezo wa ubongo!!
 
Leaders of Uamsho led by Sheikh Farid Hadi have openly vowed to fight for Zanzibar's sovereignty, arguing that "economic difficulties and moral decay in the islands are partly caused by the present structure of the Union."

Ok, but why Burn Churches? are the Churches the cause of Oppressive Union between Tanganyika and Zanzibar? or the Churches are house of Prayers?

Well, Some of them do have relatives in UK do you think they can burn a Church in UK? or because they are oppressive by nature, look what is going on in Kuwait.

* What JOB is the SHEIKH FARID hold? Au anakaa kwenye Veranda na kueneza shutuma lakini hafanyi kazi
 
chuki za wazenji ni za kidini na si vinginevyo.kwanini bar na makanisa ndo vimekuwa vikichomwa moto? wakati kina shehe Basaleh wakimwaga sumu dhidi ya ukristo hadharani serikali iliwaacha waendelee na matokeo yake ndo haya.
 
una ushahidi gani kuthibitisha kuwa waliochoma makanisa ni wazanzibari?? au hao waislamu??

Jee ikiwa hao wanaomiliki makanisa waliyachoma wenyewe??? kwani hawana walinzi wao??? hapa kuna kila aina ya mbinu za propaganda

[FONT=Arial, Liberation Sans, sans-serif]The Government of Zanzibar they have already knew who is the culprit, the culprit is Leaders of Uamsho led by Sheikh Farid Hadi have openly vowed to fight for Zanzibar's sovereignty, arguing that "economic difficulties and moral decay in the islands are partly caused by the present structure of the Union."
[/FONT]

So Sorry if you were trying to hide the crime, for the same of your personal advantage or well changing the face of a lie

[FONT=Arial, Liberation Sans, sans-serif]
[/FONT]
 
Hawa watu sijui tunawangangania wa nini waachiwe nchi yao na tuanzishe msako kila mzanzibari ambaye yupo hapa afungashe virago kuelekeo kwao tena tutaanzia mtaa wa lindi na shaurimoyo shenzi kabisa hawa tukichekacheka nao watakuja kututia vidole vya macho
 
Wakulu!Mi mwnzenu cjui hata niwafanye nini hawa wazanzibar,maana......!
 
Jamani Mimi nadhani hao waliofanya vurugu ni walevi tu! Hajui kuwa zanzibar hakuna chakula? Hakuna umeme? Hawana viwanda? Kamwe wazanzibari hawawezi kujiendesha wenyewe.
 
Hivi hawa wazanzibari 300 kwa nini watusumbue hivi! Kwa nini lakini?!
Israel ni kanchi kadogo sana sana lakini kinauwezo wa kupigana na mataifa yote yanayoizunguuka.
Tanganyika ni kubwa sana wapemba mia tu wanauwezo wa kuitingisha ikiwa wataamua kufanya kweli,ila yanini yote hayo ?
 
Kuna ushahidi wa wanafunzi wa bara kubakwa Zanzibar na kwa kuwa wao hawasalitiani dhidi ya Watanganyika na hata polisi wanawacheka wakilalamika
 
waswahili wanasema, "usichokijua ni usiku wa kiza". Nawashangaa wenzetu kuwa hawajui tatizo la bara na visiwani. Inaonyesha wazi historia ya nchi yao hawaijui. Wazanzibari wanaelimishwea kuhusu utaifa wao. Sisi wazanzibari tumekoloniwa na tnganyika kwa kisingizio cha muungano ndio maana wazanzibari wanaitaka nchi yao. Munakumbuka tanganyika ilipotawaliwa na mzungu?. Sasa Zanzibar tumetawaliwa na mkoloni mweusi. Hilo ndilo linalotusumbua tunataka UHURU wetu.
 
chuki za wazenji ni za kidini na si vinginevyo.kwanini bar na makanisa ndo vimekuwa vikichomwa moto? wakati kina shehe Basaleh wakimwaga sumu dhidi ya ukristo hadharani serikali iliwaacha waendelee na matokeo yake ndo haya.

Mdau Myhem mimi ni muislamu wa bara na nimeishi na baadhi ya wazanzibar hasa wapemba huku bara nilipokuwa chuo kikuu fulani cha umma miaka ya 2000 mwanzoni naomba nikihifadhi jina lakini kuna wapemba wengi,walikuwa wanajitenga hawataki kuchanganyikana na waislamu wa bara,walikuwa wanajiona wao ndiyo wanaijua dini sisi ni mambumbumbu tu,so chuki ya wazanzibari juu ya bara ni zaidi ya udini!Naongea kwa uchungu sana hili maana lilikuwa linanikwaza sana aisee,mimi naona bora hiyo kura ya maoni ifanyike tu then tujue mbivu na mbichi,hawa jamaa ni wabaguzi kupita maelekezo!!
 
waswahili wanasema, "usichokijua ni usiku wa kiza". Nawashangaa wenzetu kuwa hawajui tatizo la bara na visiwani. Inaonyesha wazi historia ya nchi yao hawaijui. Wazanzibari wanaelimishwea kuhusu utaifa wao. Sisi wazanzibari tumekoloniwa na tnganyika kwa kisingizio cha muungano ndio maana wazanzibari wanaitaka nchi yao. Munakumbuka tanganyika ilipotawaliwa na mzungu?. Sasa Zanzibar tumetawaliwa na mkoloni mweusi. Hilo ndilo linalotusumbua tunataka UHURU wetu.

Easy....roho mbaya na nyeusi got nothing to do with the so called freedom....mna roho za kutu nyie..ndio maajaaliwa yenu....
 
Nashindwa hawa watu niwafananishe na nini i hate them 4 sure
 
..Wapemba na Waunguja walioko Tanganyika wasihukumiwe kwa makosa ya ndugu zao walioko Zanzibar.

..Watanganyika walioko Zanzibar waondoke huko kama wanaona maisha yao yako hatarini na serikali ya zanzibar haiwezi kuwalinda.
... haiji akirini, dawa ya moto ni moto..hao Wabara/Tanganyika waliyopo Visiwani wanahukumiwa kwa lipi?
 
waswahili wanasema, "usichokijua ni usiku wa kiza". Nawashangaa wenzetu kuwa hawajui tatizo la bara na visiwani. Inaonyesha wazi historia ya nchi yao hawaijui. Wazanzibari wanaelimishwea kuhusu utaifa wao. Sisi wazanzibari tumekoloniwa na tnganyika kwa kisingizio cha muungano ndio maana wazanzibari wanaitaka nchi yao. Munakumbuka tanganyika ilipotawaliwa na mzungu?. Sasa Zanzibar tumetawaliwa na mkoloni mweusi. Hilo ndilo linalotusumbua tunataka UHURU wetu.
....inawezekana na wewe unafikiri kwa kutumia ....(refer dr.Masabuli) kama wabunge wa Dar
 
Back
Top Bottom