Yale yale ya South Africa.
Tumewaweka Mazimbu, morogoro hadi wakapata uhuru.
Tumekwenda kufanya kazi kwao, matokeo yake ni kuuawa kinyama.
Ndio litakalofuata huko Zanzibar.
The way the cookie crumbles in Zanznibar.
Wapemba nao wafunge maduka yao Dar es salaam?
Pazuri sana hapo!
Umeme kwenda zanzibar kituo chake kiko wapi naona ukimya wetu wanatuona mafala
..Wapemba na Waunguja walioko Tanganyika wasihukumiwe kwa makosa ya ndugu zao walioko Zanzibar.
..Watanganyika walioko Zanzibar waondoke huko kama wanaona maisha yao yako hatarini na serikali ya zanzibar haiwezi kuwalinda.[/QU
Hatuwezi kuvuwamilia watanganyika wenzetu kunyanyaswa na kuwawa na watu waliolegea mpaka midomo, hawa wapemba wa bara ndo wanaowafadhili hao wawakatae watanganyika...Wapemba na Waunguja walioko Tanganyika wasihukumiwe kwa makosa ya ndugu zao walioko Zanzibar.
..Watanganyika walioko Zanzibar waondoke huko kama wanaona maisha yao yako hatarini na serikali ya zanzibar haiwezi kuwalinda.
..Wapemba na Waunguja walioko Tanganyika wasihukumiwe kwa makosa ya ndugu zao walioko Zanzibar.
..Watanganyika walioko Zanzibar waondoke huko kama wanaona maisha yao yako hatarini na serikali ya zanzibar haiwezi kuwalinda.
Ujeuri wao wa kijinga naona hawa wakirudi ndio watawaelewesha vizuri. Vimaskini jeuri hivi sijui kwanini tunawabebabeba mpaka leo
Hivi hawa wazanzibari 300 kwa nini watusumbue hivi! Kwa nini lakini?!
Wamesahau kwamba wapemba kibao wana majumba na maduka huko Dar!
Kiko majani mapana Tanga barabara ya kuelekea galanos sec