Watanganyika wanaoitetea DP World wana matatizo ya akili?

Mkuu, unamaanisha kabisa au unataka tu kumchokoza Mshana Jr?

Kwa mtazamo wako, Mshana Jr ni mtu wa kukosa heha ya kwenda Malaysia?

Isitoshe, hilo lilikuwa kongamano la kidini. Inawezekana dini yake ya kipindi hicho ndiyo iliyomgharamikia.
Bwege huyo
 
Mwaka 2000 nikiwa Malaysia kwenye kongamano la dini ya Buddha pale Malaysia university nilikutana na mhindi mmoja tajiri aliyewahi kuishi na kutajirikia bongo.

Kwa utani unaouma na kuakisi ukweli akasema usipotajirika Tanzania ni ngumu kutajirika pengine Niliumia sana naye aliyaona maumivu yangu lakini huo ndio ulikuwa ukweli

Mkataba mbovu wa bandari zetu zote na kampuni kubwa ya DPW umeshapigiwa kelele na kila kaliba ndani ya taifa hili lakini bado kuna mazuzu wajinga wachache wanaona unafaa

Kati ya hao kuna wale walioko mamlakani ambao wamepata chochote ili kuutetea.. Hawa kwangu ni wahaini na wasaliti wakubwa na hukumu yao kuna siku itafika

Ninaowahurumia ni hawa wafuata mkumbo kwasababu za kiimani, itikati za kisiasa jinsia na wote wenye fikra finyu kwamba nwafrika hawezi kitu bila msaada wa ngozi nyeupe ama manjano..

Kinachopiganiwa ni kwa maslahi ya watoto, vijukuu, vitukuu na vining'ina vya taifa hili la Tanganyika.. Bila kujali
Imani zao
Rangi zao
Itikadi zao nk

Haya yote hawayaoni.. Inafika mahali unajiuliza je wana matatizo ya akili?
Tatizo lako unafikiri kila anaetajirika Tanzania au Tanganyika ameibia mtu au serikali hapo ndipo ujinga huo hautoacha Watanzania kuwa maskini nyie endeleeni tu kuwa taifa la wabaguzi na kuchukia matajiri kwa wivu wenu hata viongozi wa nchi hiyo hawapendi mtu mweusi tajiri kabisa na akiwa Mtanzania watamshambulia kwa hali na mali
 
Mimi hili la kusema hatuwezi wenyewe ndio napingana. Mnaona hatuwezi wenyewe kwasababu ya uzembe na ubadhilifu. Uzembe wa kutochukua hatua na usimamizi mbovu. Usimamizi mbovu ni matokeo ya kupeana nafasi za kiutendaji kwa kujuana juana.

Tukianza kuwapa watu nafasi za kiutendaji kwa kuangalia sifa stahiki na tukachukua hatua kali pale unapotokea ubadhilifu, hakuna sehemu itakosa ufanisi.
Umenena vema sana!
 
Hayo maneno nilisema mimi au mfaidikaji? Umesoma na kuelewa kweli nilichoandika!?
 
Binafsi kuna watu nilikuwa nawakubali sana humu Jamiiforum kadhalika heshima yangu kwao ilikuwa kubwa sana na kila nikikutana na nyuzi nikaona naona ni kama vile nakutana na Chuo nisome, lakini tangu nikutane na baadhi ya comments zao zikidhihaki, tuakana,kejeli na kukashifu uislam wangu, uislam wetu, uislam ninaoupenda kuliko anything basi nikawa moyoni mwangu nikaona kumbe nili overrate tu kumbe ni wajinga kabisa na hawana maana na uwezo mdogo Wa kufikiri na wala hawawezi kujenga hoja kwenye vitu ambavyo wana mahaba navyo au chuki navyo

Sio kwamba kwa vile sio waislam, hapana, laah...kuna watu wengi tu tume wafollow tunakula madini kutoka kwao na tunawa appreciate na sio waislam na hata humu jf still baadhi nipo nao sambasamba

Siku zote mtu ambae ni alama/icon sehemu yeyote ile hawezi tukana wala kukashifu imani ya mtu maana anajua baadhi ya wafuasi wake ni hao anaowatukana, hakatazwi @iamkaga Wa Twitter kupost habari zake za kanisa kwenye page yake maana Mimi kama follower wake najua ni mkristo ila sio aanze kuandika vijembejembe vya ajabu juu ya imani nyingine huo ni ujinga na credit yangu yote niliyompa kama role model kwenye upande Wa technology nitaitoa kwake

Wa humu jf sitowataja ila kila mtu ambae ni iconic humu anajitambua kuwa ana influence kubwa hivyo ni bora kujiepeusha na attacking za moja kwa moja kwenye imani za watu

Kujadiliana hamna tabu juu ya imani au mambo flani ila kutukana kukejeli kukashifu na kudhihaki inakua mbaya sana hiyo

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Hakuna mkristo anakupenda ndugu yangu ,chuki ni kubwa kuwa makini sana .

Mfano dini hzifungamani na siasa ila waandika waraka na kulazimisha wafuasi wafuate ,huoni kama ni chuki ...Huko twitter kila mtu ana kejeli elimu ya sharia kwamba eti hawaijui wanajua zile za wazungu ...Haya mambo yalishaonekana mda sana ni wadini sana.

Nimesoma kanisani so najua hawawezi kupita siku lazima watoe tamko la chuki dhidi ya waislamu au kusemana wao kwa wao kwa sababu ya madhehebu..chuki zao ni kubwa sana tangu uhuru
 
Ndo shida yenu. Mnahamasisha demokrasia alafu hamjui hata maana ya demokrasia. Mnahamasisha haki za kikatiba alafu hamjui hata maana yake. Nyie mnataka kila mtu awaze kama nyie alafu ndo mnajifanya wanademokrasia.

Kwa kifupi nyie ni wapuuzi tu! Tunaounga mkono mkataba wa Tz na Dubai tuna hoja na kama nyie mnadhani mna hoja endeleeni na hoja zenu.
Walifanya hivyo ili wapate mikopo ya World Bank na IMF na warusiwe kwenda ulaya kuvinjari hawakumaanisha walichokisema kama kawaida yao. Hawajui kama hata kama wamesainisha makubaliano yanaweza kusimamishwa anytime na hela zao walizoficha nje zikayeyuka watu wakianza kufuatilia ushenzi wanaofanya. Mwendazake alikimbilia China kuficha huko hakuna haki za binadamu na Uarabuni nako kutafaa kuwa pango la Wezi
 
Hakuna mkristo anakupenda ndugu yangu ,chuki ni kubwa kuwa makini sana .

Mfano dini hzifungamani na siasa ila waandika waraka na kulazimisha wafuasi wafuate ,huoni kama ni chuo ...Huko twitter kila mtu ana kejeli elimu ya sharia kwamba eti hawaijui wanajua zile za wazungu ...Haya mambo yalishaonekana mda sana ni wadini sana.

Nimesoma kanisani so najua hawawezi kupita siku lazima watoe tamko la chuki dhidi ya waislamu au kusemana wao kwa wao kwa sababu ya madhehebu..chuki zao ni kubwa sana tangu uhuru
Exactly
 
Binafsi kuna watu nilikuwa nawakubali sana humu Jamiiforum kadhalika heshima yangu kwao ilikuwa kubwa sana na kila nikikutana na nyuzi nikaona naona ni kama vile nakutana na Chuo nisome, lakini tangu nikutane na baadhi ya comments zao zikidhihaki, tuakana,kejeli na kukashifu uislam wangu, uislam wetu, uislam ninaoupenda kuliko anything basi nikawa moyoni mwangu nikaona kumbe nili overrate tu kumbe ni wajinga kabisa na hawana maana na uwezo mdogo Wa kufikiri na wala hawawezi kujenga hoja kwenye vitu ambavyo wana mahaba navyo au chuki navyo

Sio kwamba kwa vile sio waislam, hapana, laah...kuna watu wengi tu tume wafollow tunakula madini kutoka kwao na tunawa appreciate na sio waislam na hata humu jf still baadhi nipo nao sambasamba

Siku zote mtu ambae ni alama/icon sehemu yeyote ile hawezi tukana wala kukashifu imani ya mtu maana anajua baadhi ya wafuasi wake ni hao anaowatukana, hakatazwi @iamkaga Wa Twitter kupost habari zake za kanisa kwenye page yake maana Mimi kama follower wake najua ni mkristo ila sio aanze kuandika vijembejembe vya ajabu juu ya imani nyingine huo ni ujinga na credit yangu yote niliyompa kama role model kwenye upande Wa technology nitaitoa kwake

Wa humu jf sitowataja ila kila mtu ambae ni iconic humu anajitambua kuwa ana influence kubwa hivyo ni bora kujiepeusha na attacking za moja kwa moja kwenye imani za watu

Kujadiliana hamna tabu juu ya imani au mambo flani ila kutukana kukejeli kukashifu na kudhihaki inakua mbaya sana hiyo

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Mkuu hilo unalolilaani kila great thinker hawezi lifanya.

Isipokuwa kwa muktadha wa Bandari tunashitukia tumeingizwa mkenge wa kujadili itikadi za kidini bila kujua ama kutaka!

Unaijua mbinu ya watawala kuivuruga jamii ya divide and rule, ndiyo hii sasa ujue!

Mjadala umechepushwa kutoka kwenye uhalisia na sasa tunagonganishwa vichwa kwenye udini, ukanda na Utanganyika!

Hivi dini zinaingizwaje kwenye mkataba huu?

Umoja tunaoimbishwa kuwa tunao, je tunao kweli iwapo kila mtu anatetea dini yake badala ya kuitetea jamii aliyomo?

Umoja maana yake ni mseto wa dini, kabila tamaduni mbali mbali katika jamii wanaostahiana na kuvumiliana na kila mmoja akielewa kuwa hakuna aliye bora kuliko mwenzake!

Na ninavyoona mimi, mpasuko unapaliliwa na viongozi wa dini wanapotoka hadharani kuitetea serikali kuwa walichofanya ni chema bila ya kupima upepo jamii inataka nini katika suala hili.

Mimi ni mtu ninayeamini katika umoja wa kijamii, nikiamini kuwa, mtu unapoegemea itikadi za dini wakati jamii tuliyomo ina dini kamchanganyikeni huwa ni kuusambaratisha umoja uliopo.
 
Mwaka 2000 nikiwa Malaysia kwenye kongamano la dini ya Buddha pale Malaysia university nilikutana na mhindi mmoja tajiri aliyewahi kuishi na kutajirikia bongo.

Kwa utani unaouma na kuakisi ukweli akasema usipotajirika Tanzania ni ngumu kutajirika pengine Niliumia sana naye aliyaona maumivu yangu lakini huo ndio ulikuwa ukweli

Mkataba mbovu wa bandari zetu zote na kampuni kubwa ya DPW umeshapigiwa kelele na kila kaliba ndani ya taifa hili lakini bado kuna mazuzu wajinga wachache wanaona unafaa

Kati ya hao kuna wale walioko mamlakani ambao wamepata chochote ili kuutetea.. Hawa kwangu ni wahaini na wasaliti wakubwa na hukumu yao kuna siku itafika

Ninaowahurumia ni hawa wafuata mkumbo kwasababu za kiimani, itikati za kisiasa jinsia na wote wenye fikra finyu kwamba nwafrika hawezi kitu bila msaada wa ngozi nyeupe ama manjano..

Kinachopiganiwa ni kwa maslahi ya watoto, vijukuu, vitukuu na vining'ina vya taifa hili la Tanganyika.. Bila kujali
Imani zao
Rangi zao
Itikadi zao nk

Haya yote hawayaoni.. Inafika mahali unajiuliza je wana matatizo ya akili?
Laiti waislamu wa TZ wangejua hakuna waarabu wabaya kama hao waarabu wa UAE, Qatar,na Saudia. Hawa jamaa kwa kushirikiana na wazungu hasa Amerika ndio waliotoa pesa kugharamia vita iliyomuua Ghadafi mzungu katoa ndege wao wakatoa pesa. Hawa ndio waliokuwa wanatoa pesa kugharamia vita Syria. Mzungu anatoa silaha wao wanatoa pesa. Wao ndio wanapiganisha vita hapo Yemen. Mzungu anatoa silaha wao wanatoa pesa. Hata hiyo vita hapo Sudan wanamkono hapo. Pale Libya kama sio mturuki hii serIkali mpya walikuwa washaitoa mamlakan siku nyingi kupitia Haftarah general. Hawa watu ukiwaona utadhan ni watu wa dini lakin deep down wanamuunganiko na marekan wa kufikia malengo yao machafu. Hata hapa kwetu ninaamin kuna mkono wa mmarekan maana naamin alistuka sana kikwete alipokuwa anataka kuwapa Oman na wachina kujenga bandar ya ukweli hapo. Coz walijua mchina atamiliki uchumi wa huu ukanda wa maziwa makuu. Hizi ni games za uchumi wa kidunia. Sasa ukimuona mtu anaeshindia maharage anaongea hovyo unamsamehe tu. Hawajui hii dunia inaendeshwaje. Jaman hao watu waliotuletea dini cku hiz hawana dini tena wana maslah ya pamoja kututawala. Sasa hiv Africa ndio eneo pekee limebaki na resources so amken guys tunaenda kuliwa live.
 
Mwaka 2000 nikiwa Malaysia kwenye kongamano la dini ya Buddha pale Malaysia university nilikutana na mhindi mmoja tajiri aliyewahi kuishi na kutajirikia bongo.

Kwa utani unaouma na kuakisi ukweli akasema usipotajirika Tanzania ni ngumu kutajirika pengine Niliumia sana naye aliyaona maumivu yangu lakini huo ndio ulikuwa ukweli

Mkataba mbovu wa bandari zetu zote na kampuni kubwa ya DPW umeshapigiwa kelele na kila kaliba ndani ya taifa hili lakini bado kuna mazuzu wajinga wachache wanaona unafaa

Kati ya hao kuna wale walioko mamlakani ambao wamepata chochote ili kuutetea.. Hawa kwangu ni wahaini na wasaliti wakubwa na hukumu yao kuna siku itafika

Ninaowahurumia ni hawa wafuata mkumbo kwasababu za kiimani, itikati za kisiasa jinsia na wote wenye fikra finyu kwamba nwafrika hawezi kitu bila msaada wa ngozi nyeupe ama manjano..

Kinachopiganiwa ni kwa maslahi ya watoto, vijukuu, vitukuu na vining'ina vya taifa hili la Tanganyika.. Bila kujali
Imani zao
Rangi zao
Itikadi zao nk

Haya yote hawayaoni.. Inafika mahali unajiuliza je wana matatizo ya akili?
He!!! ? Hapana sio kweli

Mshanaaaa uje uone huku wame hack account yako.
 
Ukiangalia kwa mbali utaona hii Nchi inawasomi wengi na wenye maarifa sana., ila ukiangalia kwa ukaribu utagundua wasomi hao kuna wajinga na wapumbavu wengi sana.

Kuna kitu kinaitwa forecasting, na mataifa mengi yanakuwa na malengo ya mda mrefu na mda mfupi. Yaani unapiga hesabu ya miaka mia ijayo itakuwaje, ila hawa wasomi wetu miaka mitano, mingi sana kumi, kumi na tano.

Ndiyo maana hata leo kuna kikundi kinaangalia leo tu juu ya huo mkataba wa Wajuba, tena unakuta msomi fahari na tittle yake ya Dr, Prof lakin ni shida tu., Jaman tuwe wazalendo na tuwafikilie hao wajao.
 
This is liberations theology at it’s best time and that’s what is needed in Tanzania Brava carpe diem
Screenshot_20230820-110045~3.png
 
Mimi hili la kusema hatuwezi wenyewe ndio napingana. Mnaona hatuwezi wenyewe kwasababu ya uzembe na ubadhilifu. Uzembe wa kutochukua hatua na usimamizi mbovu. Usimamizi mbovu ni matokeo ya kupeana nafasi za kiutendaji kwa kujuana juana.

Tukianza kuwapa watu nafasi za kiutendaji kwa kuangalia sifa stahiki na tukachukua hatua kali pale unapotokea ubadhilifu, hakuna sehemu itakosa ufanisi.
Pia tuelewe kuwa Serikali kushindwa kudhibiti wahalifu wanaohujumu mashirika wakati kuna vyombo na mihimili ya kisheria ni Serikali kushindwa kuongoza nchi!

Mbona hilo lipo wazi?

Magufuli alipokuwa akifukuza na kudhalilisha wabadhirifu, walimchukia sana.

Kumbe chuki zao zililenga kupalilia matendo yao haya ovu tunayoyashuhudia sasa!
 
Kilichopo,Rais haitatokea wa dini ya rc, nI jamii hatari kwa usalama wa taifa
Wamesahau udini kaleta kiongozi wao badala ya kukosoa mkataba akaingiza ukabila na kuhoji hakuna wawekezaji wengine isipokua hao waarabu tu.

Kauli hizi za kichocheI wanajisahaulisha

Busara za waislam zinahitajika kunusuru machafuko mana hao wananchi wanao ungwa mkono na balaza lao ndo hao hao wenyewe.

Kiuhalisia wananchi tumewakilishwa bungeni
 
Siku nyingi sana niliwahi kukwambia hapahapa JF, usiwe muongo.

Hakuna kongamano wala mkutano wowote wa ma-bhuddhist uliofanyika "Malaysia mwaka 2000".

Tena hakuna chuo chenye jina "Malaysia" pekee, vyuo vingi huko vina jina Malaysia linafatia. Mifano:

University Putra Malaysia (UPM)

University Kebangsaan Malaysia (UKM)

Usiseme uongo, sema ni chuo kipi cha Malaysia?

Chuo chenye jina pekee bila kibwagizo ni "University Malaya (UM)".
Tekibiir
 
Mwaka 2000 nikiwa Malaysia kwenye kongamano la dini ya Buddha pale Malaysia university nilikutana na mhindi mmoja tajiri aliyewahi kuishi na kutajirikia bongo.

Kwa utani unaouma na kuakisi ukweli akasema usipotajirika Tanzania ni ngumu kutajirika pengine Niliumia sana naye aliyaona maumivu yangu lakini huo ndio ulikuwa ukweli

Mkataba mbovu wa bandari zetu zote na kampuni kubwa ya DPW umeshapigiwa kelele na kila kaliba ndani ya taifa hili lakini bado kuna mazuzu wajinga wachache wanaona unafaa

Kati ya hao kuna wale walioko mamlakani ambao wamepata chochote ili kuutetea.. Hawa kwangu ni wahaini na wasaliti wakubwa na hukumu yao kuna siku itafika

Ninaowahurumia ni hawa wafuata mkumbo kwasababu za kiimani, itikati za kisiasa jinsia na wote wenye fikra finyu kwamba nwafrika hawezi kitu bila msaada wa ngozi nyeupe ama manjano..

Kinachopiganiwa ni kwa maslahi ya watoto, vijukuu, vitukuu na vining'ina vya taifa hili la Tanganyika.. Bila kujali
Imani zao
Rangi zao
Itikadi zao nk

Haya yote hawayaoni.. Inafika mahali unajiuliza je wana matatizo ya akili?
Nanukuu

"Mwaka 2000 nikiwa Malaysia kwenye kongamano la dini ya Buddha pale Malaysia university nilikutana na mhindi mmoja tajiri aliyewahi kuishi na kutajirikia bongo
Kwa utani unaouma na kuakisi ukweli akasema usipotajirika Tanzania ni ngumu kutajirika pengine Niliumia sana naye aliyaona maumivu yangu lakini huo ndio ulikuwa ukweli"

Ni watu wachache sana wa Tanzania wanaoijua hii siri Mshana Jr
 
Back
Top Bottom