Watanganyika wamerogwa. Polepole leo hii wanamuona shujaa. Anatetea tumbo lake

Samia atosha tukutane2030

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
17,169
Reaction score
48,681
Kipindi cha Jiwe polepole na Bashite na wengine walikuwa mstari wa mbele kutetetea kila aina ya uovu wa kipindi cha Magufuli.
Walikuwa wanakula mezani kwa mfalme. Walikuwa na ukwasi wa kutosha.
Eti sasa hivi Polepole mzee wa v8 anaupondea utawala wa Rais Samia!!!
Hiki ni kituko sana.
Sisemi kuwa utawala wa Samia uko good sana , hapana. Ninampinga Polepole maana kawa kama mke aliyeaachwa na kusema mume ana kibamia huku kazalishwa watoto zaidi ya 5.
Siku Polepole anatoa hii notes alisema fomu ya Urais CCM iko moja tu ya Magufuli. Leo hii huyu anawafanya Watanganyika wajinga eti katiba inavunjwa. Kwani 2020 katiba ya CCM ilikatamka kuwa fomu ilipaswa kuwa moja tu?
1596643964326.png
 
Kipindi cha Jiwe polepole na Bashite na wengine walikuwa mstari wa mbele kutetetea kila aina ya uovu wa kipindi cha Magufuli.
Walikuwa wanakula mezani kwa mfalme. Walikuwa na ukwasi wa kutosha.
Eti sasa hivi Polepole mzee wa v8 anaupondea utawala wa Rais Samia!!!
Hiki ni kituko sana.
Sisemi kuwa utawala wa Samia uko good sana , hapana. Ninampinga Polepole maana kawa kama mke aliyeaachwa na kusema mume ana kibamia huku kazalishwa watoto zaidi ya 5.
Mimi binafsi nampenda sana polepole hata iweje he is the Men like i like to be
 
Kipindi cha Jiwe polepole na Bashite na wengine walikuwa mstari wa mbele kutetetea kila aina ya uovu wa kipindi cha Magufuli.
Walikuwa wanakula mezani kwa mfalme. Walikuwa na ukwasi wa kutosha.
Eti sasa hivi Polepole mzee wa v8 anaupondea utawala wa Rais Samia!!!
Hiki ni kituko sana.
Sisemi kuwa utawala wa Samia uko good sana , hapana. Ninampinga Polepole maana kawa kama mke aliyeaachwa na kusema mume ana kibamia huku kazalishwa watoto zaidi ya 5.

Ni umekopi kwa shangazi, kule Twitter na umeleta hapa ?
🤬
 
Kipindi cha Jiwe polepole na Bashite na wengine walikuwa mstari wa mbele kutetetea kila aina ya uovu wa kipindi cha Magufuli.
Walikuwa wanakula mezani kwa mfalme. Walikuwa na ukwasi wa kutosha.
Eti sasa hivi Polepole mzee wa v8 anaupondea utawala wa Rais Samia!!!
Hiki ni kituko sana.
Sisemi kuwa utawala wa Samia uko good sana , hapana. Ninampinga Polepole maana kawa kama mke aliyeaachwa na kusema mume ana kibamia huku kazalishwa watoto zaidi ya 5.
Polepole kaamua kuokoka CCM Endeleeni na madhambi yenu ya kuua
 
Kipindi cha Jiwe polepole na Bashite na wengine walikuwa mstari wa mbele kutetetea kila aina ya uovu wa kipindi cha Magufuli.
Walikuwa wanakula mezani kwa mfalme. Walikuwa na ukwasi wa kutosha.
Eti sasa hivi Polepole mzee wa v8 anaupondea utawala wa Rais Samia!!!
Hiki ni kituko sana.
Sisemi kuwa utawala wa Samia uko good sana , hapana. Ninampinga Polepole maana kawa kama mke aliyeaachwa na kusema mume ana kibamia huku kazalishwa watoto zaidi ya 5.
UKO SAHIHI, ALITESA SANA WATU AKATI WA MAGUFULI.
 
Kipindi cha Jiwe polepole na Bashite na wengine walikuwa mstari wa mbele kutetetea kila aina ya uovu wa kipindi cha Magufuli.
Walikuwa wanakula mezani kwa mfalme. Walikuwa na ukwasi wa kutosha.
Eti sasa hivi Polepole mzee wa v8 anaupondea utawala wa Rais Samia!!!
Hiki ni kituko sana.
Sisemi kuwa utawala wa Samia uko good sana , hapana. Ninampinga Polepole maana kawa kama mke aliyeaachwa na kusema mume ana kibamia huku kazalishwa watoto zaidi ya 5.
Kwa hiyo wewe ulitaka aendelee kuwa muovu?
 
Wewe unatetea matapeli
 
mtu ameacha ajira, wewe wasema anatetea tumbo, hii ni akili ya kiungo gani?
Kipindi cha Jiwe polepole na Bashite na wengine walikuwa mstari wa mbele kutetetea kila aina ya uovu wa kipindi cha Magufuli.
Walikuwa wanakula mezani kwa mfalme. Walikuwa na ukwasi wa kutosha.
Eti sasa hivi Polepole mzee wa v8 anaupondea utawala wa Rais Samia!!!
Hiki ni kituko sana.
Sisemi kuwa utawala wa Samia uko good sana , hapana. Ninampinga Polepole maana kawa kama mke aliyeaachwa na kusema mume ana kibamia huku kazalishwa watoto zaidi ya 5.
 
Kipindi cha Jiwe polepole na Bashite na wengine walikuwa mstari wa mbele kutetetea kila aina ya uovu wa kipindi cha Magufuli.
Walikuwa wanakula mezani kwa mfalme. Walikuwa na ukwasi wa kutosha.
Eti sasa hivi Polepole mzee wa v8 anaupondea utawala wa Rais Samia!!!
Hiki ni kituko sana.
Sisemi kuwa utawala wa Samia uko good sana , hapana. Ninampinga Polepole maana kawa kama mke aliyeaachwa na kusema mume ana kibamia huku kazalishwa watoto zaidi ya 5.

Nitajie mmoja ambae hatetei tumbo lake
 
Back
Top Bottom