Watanganyika mnatuharibia Zanzibar

Watanganyika mnatuharibia Zanzibar

We mwenyewe uko Tanzania bara unamtumia mama yako hela Zanzibar, ukirudi kwenu wote si mtakufa njaa. Au mtakula karafuu na makumbi ya mnazi?
saivi umegeuka mtabiri sasa wantabiri nilipo, niambie nikakupigie picha wamachinga wezako pale darajani nikuletee
 
soma maelezo vizuri ili ufahamu, mimi sijasema muungano uvunjike, nimesema watanganyika wasio kazi waondoshwe zanzibar mnatuchafulia hatutaki,

mankachara;
Sina haja ya kukusoma zaidi kwani inaonesha kuwa ndani ya moyo wako una visa lukuki haswa vya kibaguzi kabisa na unajutia muungano huu kuwepo.
Kwa nini umeona kuwa ni Watanganyika tuuu ndo hawana kazi huko kwenu? Kwa nini unaona kuwa ni Watanganyika tu ndo wako kwenu wanawake wenye kuvaa nguo fupi na makalio yenye kuivibrate?? Tukianza kuchunguzana kuwa wenye umetoka wapi hapa Dar na Tanga Zenj kungekalika??
Ndugu acha uchochezi huo. Tanzania ni yetu sote wala hakuna mwenye ruhusa ya ziada hapa. Ngojea tu mtafurahi kwa mwendo huu wa ubaguzi wenu.
 
Mnapoteza muda bure watanganyika wenzangu huyu atakuwa kafanyiwa jambo na mtanganyika mmoja lakini anaona aibu kuongea anasingizia wizi.SI USEME TU
kumbe na wewe pia unafikiri mawazo mabovu kama haya, mtakalolifanya likiniudhi mimi nasema tu hamna cha kuogopa
 
mankachara;
Sina haja ya kukusoma zaidi kwani inaonesha kuwa ndani ya moyo wako una visa lukuki haswa vya kibaguzi kabisa na unajutia muungano huu kuwepo.
Kwa nini umeona kuwa ni Watanganyika tuuu ndo hawana kazi huko kwenu? Kwa nini unaona kuwa ni Watanganyika tu ndo wako kwenu wanawake wenye kuvaa nguo fupi na makalio yenye kuivibrate?? Tukianza kuchunguzana kuwa wenye umetoka wapi hapa Dar na Tanga Zenj kungekalika??
Ndugu acha uchochezi huo. Tanzania ni yetu sote wala hakuna mwenye ruhusa ya ziada hapa. Ngojea tu mtafurahi kwa mwendo huu wa ubaguzi wenu.
nasubiri
 
8,00,000 wanzibar wanaishi bara 1,000,000,wako visiwani(t) nchi yenye ukubwa 2,000km Tanzania bara 8,83,333(approximately)zanzibar inaingia kwa Tanganyika 441.7 kazi aliyonayo job ndugai kuongoza watu wa kongwa ni sawa na raisi wa smz hadi hapa nasema wanzazibar wawe watulivu +watanganyika ili tuendelee na maisha,,
 
Small country small poeple small problem
 
8,00,000 wanzibar wanaishi bara 1,000,000,wako visiwani(t) nchi yenye ukubwa 2,000km Tanzania bara 8,83,333(approximately)zanzibar inaingia kwa Tanganyika 441.7 kazi aliyonayo job ndugai kuongoza watu wa kongwa ni sawa na raisi wa smz hadi hapa nasema wanzazibar wawe watulivu +watanganyika ili tuendelee na maisha,,
mnachojiringia kitaisha sio muda mrefu, mnajiringia maadini, gesi hujui kama ni non renuwable resoursee ndio maana mnapigana wenyewe kwa wenyewe, na bahati nzuri mna viongozi wapenda pesa. karibuni watamaliza kusafirisha nje ya nchi
 
Kusema ukweli watu kutoka bara ndio mnaotuharibia Zanzibar, mnakuja Zanzibar na maadili yenu machafu mkifika hapa mnatuharibia watoto wetu. Mimi mnaniudhi kweli kwani hamuwezi kujiheshimu.

Unamkuta mwanamke wa kibongo amevaa nguo matiti yote yako nje na nyuma anatikisika kama mkia wa samaki kiasi ambacho hata kutembea na motto wako unashindwa.

Kesi ya pili ni hi indo ilonleta leo hapa, kama kawaida yangu kila mwezi nampelekea mzazi hela ya matumizi yake binafsi, sasa leo mwenyewe ametoka anaenda mjini madukani hata anafika dukani hela na simu haimo ndani ya mkoba. Alinipigia simu na kunieleza na kilichonikasirisha zaidi ana uhakika kua waliomuibia ni wale machinga waliopo pale mjini wanaoza njugu na sigara maana ukifika pale wanakung’ang’ania kama umewaita.

Ushauri wangu, ingawa tumeungana lakini serekali iwafukuze watanganyika wote wasio kazi sisi tumeshawachoka kutufanyia fujo hapa Zanzibar.

Wewe Mzanzibari wa wapi usojua maadili? kwenu hakuna wazee? ebu finika kombe mwanaharamu apite..
 
Watalam wa Saikolijia hembu niwapeni kitu ili mfuatilie.
Huyu Jama sio Mzanzibari,amewazuga baadhi ya walio like tu.
Ukifuatilia namna ya uandishi wake ni kwamba ni Mtu wa Tanzania Bara ila ameweka post tu ili aangalie impact itakuwa vipi.
Kama umeishi Zanzibar na umeishi Bara basi mtu akieleza tu au akiandika kitu ni rahisi sana ku note ni mtu wa wapi.
Sasa ufupi huyu jamaa ameamua tu kuingiza hoja ili aone upande wa pili unajibu vipi,ila huyu ni mtu wa Tanzania Bara na sio Mzanzibar.
Msiumize kichwa wakuu,fuatilieni uandishi wake,na kama humu kuna mzanzibari basi atajua kabisa kwamba jamaa sio Mzanzibar.Anazuga na kuwahashua tu
 
mnachojiringia kitaisha sio muda mrefu, mnajiringia maadini, gesi hujui kama ni non renuwable resoursee ndio maana mnapigana wenyewe kwa wenyewe, na bahati nzuri mna viongozi wapenda pesa. karibuni watamaliza kusafirisha nje ya nchi

Katika vyooote hapa umegonga ikulu hujakosea hata nukta.
 
Back
Top Bottom