Muungano wetu hautavunjwa na wagonjwa wa akili ka weye. Ati kaibiwa sim, akakupigia ukachukia. Kweli mambo mengine, tafuteni kona nyingine.
Kuibiwa sim tu, tayari muungano uvunjwe. Kila Mtanganyika aondoshwe huko kwenyu kwa sababu jamaa yako weye kaibiwa sim. Ilikuwa na siri za muungano nini?? Yaani kwa mawazo yako mazuri hivyo waona kuwa muungano huu mtukufu ukivunjika leo, kesho asubuhi utaipata hiyo simu??
Aksante tumekusikia na kabla ya mwaka huu muungano hautakuwepo ili sim yako irudishwe. Ikirudi, tutaanza tena mchakato wa kuurudisha.