Mwenyewe una jiona una miakilii :-O
je wewe ni mzanzibar na kama ni mzanzibar unatoka wapi hebu nielezeWatalam wa Saikolijia hembu niwapeni kitu ili mfuatilie.
Huyu Jama sio Mzanzibari,amewazuga baadhi ya walio like tu.
Ukifuatilia namna ya uandishi wake ni kwamba ni Mtu wa Tanzania Bara ila ameweka post tu ili aangalie impact itakuwa vipi.
Kama umeishi Zanzibar na umeishi Bara basi mtu akieleza tu au akiandika kitu ni rahisi sana ku note ni mtu wa wapi.
Sasa ufupi huyu jamaa ameamua tu kuingiza hoja ili aone upande wa pili unajibu vipi,ila huyu ni mtu wa Tanzania Bara na sio Mzanzibar.
Msiumize kichwa wakuu,fuatilieni uandishi wake,na kama humu kuna mzanzibari basi atajua kabisa kwamba jamaa sio Mzanzibar.Anazuga na kuwahashua tu
umebaguliwa wapiUwongo wapo kibao na kama unataka ushaidi utapewa wa zanji ni wabaguzi kwa sana tu.
tumbatu ni ndogo sana sijui ata kama izo gari ziko, yhakika sinaAma kweli akutukanae hakuchagulii tusi, Haya mtumbatu wee waambieni hao wamachinga warudi kisha bebeni vimgahawa, daladala, tax, pakieni kwenye majahazi mrudishe kwenu mkacheze zumna.
wajua kama pato wanalochangia zanzibar kwenye muungano ni kubwa kuliko wanalolipata?Kwa taarifa yako, Zanzibar ndo inahitaji zaidi Tanganyika. Mi mwenyewe niko huku Zanzibar, hakuna production kabisa.Watu wazima wanashinda vijiweni huku mnaita "maskani" asubuhi hadi jioni.Mishahara yetu kwenye taasis za Muungano na wale wazanzibar waloajiliwa na TANGANYIKA ndo inasaidia mzunguko kiduchu wa pesa bila hivyo wazanzibar mtakula nyasi
Kusema ukweli watu kutoka bara ndio mnaotuharibia Zanzibar, mnakuja Zanzibar na maadili yenu machafu mkifika hapa mnatuharibia watoto wetu. Mimi mnaniudhi kweli kwani hamuwezi kujiheshimu.
Unamkuta mwanamke wa kibongo amevaa nguo matiti yote yako nje na nyuma anatikisika kama mkia wa samaki kiasi ambacho hata kutembea na motto wako unashindwa.
Kesi ya pili ni hi indo ilonleta leo hapa, kama kawaida yangu kila mwezi nampelekea mzazi hela ya matumizi yake binafsi, sasa leo mwenyewe ametoka anaenda mjini madukani hata anafika dukani hela na simu haimo ndani ya mkoba. Alinipigia simu na kunieleza na kilichonikasirisha zaidi ana uhakika kua waliomuibia ni wale machinga waliopo pale mjini wanaoza njugu na sigara maana ukifika pale wanakungangania kama umewaita.
Ushauri wangu, ingawa tumeungana lakini serekali iwafukuze watanganyika wote wasio kazi sisi tumeshawachoka kutufanyia fujo hapa Zanzibar.
kuna mwaka wowote ambao zanzibar imewahi kutoa skuli ya mwisho?nyie ndio mnaongoza kutuharibia kwa kuleta vizazi vya watu wasio na akili wenye IQ ndogo, mnakuja uku mnaintermarry mnaendeleza vizazi vya watu wasio na akili hadi sasa tunahesabiwa ktk nchi za watu wenye akili kidogo large part ni kwa ajili yenu!!! what kind of chimps are u? hamna akili kabisa sijui mlievolve kutoka kwa nyani wa jamii ipi!!! mtu anapata sifuri masomo yote kwenye mtihani how do you explain yourself u people???
pasikalike kwa nini? hebu soma maelezo ao wanaotakiwa kutimuliwa ni nani? wasiokazi nduguwewe ulie leta hii post sijui ulikiwa unafikiria nini. sasa tukiamua kutimuana patakalika kweli. kabla huja post kitu uwe unafikiria mara mbili mbili