Watanganyika mnatuharibia Zanzibar

Watanganyika mnatuharibia Zanzibar

Wa tanganyika wanaulilia muungano kwa gharama zozote. Kwa maslah ya matumbo yao. Na ukitaka ugomvi nao wambie ivo hapakaliki tena. Watanganyika vinganganiziiiiii tuachieni
 
Sasa na sisi tukisema tuwafukuze wazanzibari mtaenda wapi coz mmejaa huku... umeme wenyewe mnategemea wetu.. tukiwakatia si mtakufa huko... usiombe Tanganyika itengane na Zanzibar coz mtapata shida
izo ndoto zako kwanza ondosha, kwani umeme sisi hatulipii? halafu nafikiri hukunielewa pointi sio kuvunja muungano bali point ni kuwafukuza wasiokazi warudi wakapate elimu ya msingi
 
Na nyihe hatuwatak kwetu uku mmejaza migahawa utazan mnakarama ya ubaba ntilie... Vtoto vyenu vnuka mkojo no viiizi sn vya waume was watu japo vmefunka vchwaaaa...
andika vizuri mkuu, JF kuna page ya kutosha ya kuandika au unafukuzwa?
 
Back
Top Bottom