kama avatar ndo kigezo iyo yako umeiyonaHivi ulikuwa unamaanisha Zanzibar au Iringa? Napata shaka nikiiangalia Avatar yako, Mzanzibari anakula mbwa?
na wewe nawe huku simu mpaka watoto wadogo wanazo, ndo ashindwe kuazima na kunipigiaHiyo simu aliyojupigia,nayo aliitoa wapi??
uko tandika kwani wanakuibieni?Huyu mbaguzi hana jipya.wapemba wamejaa tandika kama kwao
tanesco hawaidai hata sumni zanzibar, acha kuzunguka go to the postHalafu mtoa mada uwe na heshima na Tanganyika,Tanessco inawabeba sana hamuwezi kuwalipa
taja izo club zilizoko zanzibar acha kubahatisha, maeneo yote yenye club zanzibar wakaazi wengi ni wabongo wasio wazeewatoto wenu ma.laya sana.nilikaa huko kama wiki mbili hivi,asubuhi wanavaa hijab usiku vikija club viko nusu uchi na vinawaza ngono tu.kama vipi wapeleke watoto wako iran
na uyo ulomtaja hataki hata kuwaona, na usahau kuchukuliwa na wa huko maana hata kiswahili kinawapa shidaahh wewe .. mankachara utakuwa umechukuliwa dem wako nini na jamaa kutoka bara huku naona unalalamika sana mkuu
taja izo club zilizoko zanzibar acha kubahatisha, maeneo yote yenye club zanzibar wakaazi wengi ni wabongo wasio wazee
Kusema ukweli watu kutoka bara ndio mnaotuharibia Zanzibar, mnakuja Zanzibar na maadili yenu machafu mkifika hapa mnatuharibia watoto wetu. Mimi mnaniudhi kweli kwani hamuwezi kujiheshimu.
Unamkuta mwanamke wa kibongo amevaa nguo matiti yote yako nje na nyuma anatikisika kama mkia wa samaki kiasi ambacho hata kutembea na motto wako unashindwa.
Kesi ya pili ni hi indo ilonleta leo hapa, kama kawaida yangu kila mwezi nampelekea mzazi hela ya matumizi yake binafsi, sasa leo mwenyewe ametoka anaenda mjini madukani hata anafika dukani hela na simu haimo ndani ya mkoba. Alinipigia simu na kunieleza na kilichonikasirisha zaidi ana uhakika kua waliomuibia ni wale machinga waliopo pale mjini wanaoza njugu na sigara maana ukifika pale wanakungangania kama umewaita.
Ushauri wangu, ingawa tumeungana lakini serekali iwafukuze watanganyika wote wasio kazi sisi tumeshawachoka kutufanyia fujo hapa Zanzibar.
ni bora itakua la maana, ila viongozi wenu ving'ang'aniziMawazo yako mazuri sana! Ifike mahali tuamue kuwa muungano uendelee lakini kila watu wabaki kwao. Watanganyika wabaki Tanganyika na Wazanzibari wabaki Zanzibar. Hivyo watanganyika wote walioko Zanzibar waondoke kurudi Tanganyika na Wazanzibari waliioko Tanganyika waondoke kurudi Zanzibar!
Ni kweli hasa nikiyatafakari maviongozi kama Wasira, Lukuvi, Sita na mingine kutoka Tanganyika yanavyopinga kuwepo kwa Tanganyika na kuing'ang'ania Zanzibar kanakwamba siku Tanganyika ikirudi yatakufa. Hongereni wenzetu kwa uzalendo wa kweli kwa nchi yenu pamoja na udogo wa nchi yetu na uchache wenu, sisi huku pamoja na ukubwa wote huu kama tembo bado maviongozi yetu maoga na hayajiamini. Si unaona jinsi yanavyohangaika kuichakachua rasimu ya katiba mpya ili kuipotezea Tanganyika? Kuna jingine jinga jinga limeanza kukusanya maoni upya. Tufwile!ni bora itakua la maana, ila viongozi wenu ving'ang'anizi
ila kama nyinyi mko tayari kuvunja muungano, hebu niambie mumefika hatua gani katika kufanikisha hili, maana sisi tuliweka mikutano halafu tukaandamana na viongozi wetu mpaka sasa wamefungwa, lakini nyinyi hata hamsemi chochote kama mnataka kuuvunja hebu na nyinyi tiririkeni njianiNi kweli hasa nikiyatafakari maviongozi kama Wasira, Lukuvi, Sita na mingine kutoka Tanganyika yanavyopinga kuwepo kwa Tanganyika na kuing'ang'ania Zanzibar kanakwamba siku Tanganyika ikirudi yatakufa. Hongereni wenzetu kwa uzalendo wa kweli kwa nchi yenu pamoja na udogo wa nchi yetu na uchache wenu, sisi huku pamoja na ukubwa wote huu kama tembo bado maviongozi yetu maoga na hayajiamini. Si unaona jinsi yanavyohangaika kuichakachua rasimu ya katiba mpya ili kuipotezea Tanganyika? Kuna jingine jinga jinga limeanza kukusanya maoni upya. Tufwile!
ao watoto wako viherehere tuUlioleta mada hii umefanya vizuri sana maana hata mimi nilikuwa naona aibu kuanza kuwaambia nyinyi wapemba tabia zenu mbaya mnatuharibia vijana wetu kwa michezo yenu pia mnatabia za kuwatia mimba dada zetu halafu watoto hamuwataki eti wa haramu,mkome.
Pamoja na maoni yako yenye hisia kali, umechemka hapa kwenye hitimishola kuwafukuza Watanganyika walio huko 'peponi'.Ushauri wangu, ingawa tumeungana lakini serekali iwafukuze watanganyika wote wasio kazi sisi tumeshawachoka kutufanyia fujo hapa Zanzibar.
nimeongea tuwafukuze wasio kazi warudi kwao wakasomePamoja na maoni yako yenye hisia kali, umechemka hapa kwenye hitimishola kuwafukuza Watanganyika walio huko 'peponi'.
Na hawa Wapemba na Waunguja waliojazana Tanganyika tuwafanyeje? Tena wamezaana kwelikweli.
id ni rukhsa kutumia yoyote, acha kutumiwaHalafu angalieni Jina analotumia lenyewe La Kitanganyika.
Mie nawaambia huyu sijui kama hajatendwa