Watanganyika bado mnataka Muungano eh? Someni hapa chini?

Wewe ni kama mimi. Huu muungano unainufaisha ccm tu na wahuni wake. Kama tunautaka sana basi uwe ni muungano wa serikali 3, au 1! Na kama haiwezekani basi kila nchi ingejitegemea kivyake.

Ila siyo kuendelea kuukumbatia huu muungano wa changu changu, chako changu! Huu ni muungano wa kijinga kabisa kuwahi kutokea duniani.
Hata CCM hainufaiki.

Sema Wahuni wachache kikundi tu, wanaoshirikiana kupora mali za bure Tanganyika ndiyo wanufaika.
 
Kwahiyo Mzanzibari anaweza kuwa Rais zanzibari na Tanganyika pia? Ila Mtanganyika hawezi kuwa Rais wala Raia wa Zanzibari sio? Kwahiyo sasahivi taifa lenye watu million hata tatu hawafiki wamepata Rais kwao na kwenu Tanganyika alafu ninyi watu zaidi ya Milion 65 mmeshindwa hata kupata Rais kwenu?

Mmeona kinachoendelea sasa? Mnaongozwa na Rais mgeni ambae hapa sio kwao? Mnaona anachowafanya? You do too much singing. It is a time to stop singing and start swinging, badilisha namna ya kufikiri. Muungano ulikuwa na maana kipindi kile cha mawindo sio sasa hivi! Matokeo yake ndio haya mpo kwenu ila mnaishi kama wakimbizi!
Ccm ndio wanufaika wakuu wa hu muungao tena ni wale viongozi wakubwa tu ndio mana hawataki kuuachia.

Ila kimsingi ni muungano ni wahovyo.
 
Wewe ni kama mimi. Huu muungano unainufaisha ccm tu na wahuni wake. Kama tunautaka sana basi uwe ni muungano wa serikali 3, au 1! Na kama haiwezekani basi kila nchi ingejitegemea kivyake.

Ila siyo kuendelea kuukumbatia huu muungano wa changu changu, chako changu! Huu ni muungano wa kijinga kabisa kuwahi kutokea duniani.
Huu ni muungano wa mume bwege na mwanamke malaya..
 
Acha konakona wewe mpemba! Mali zinaporwa huku ndio zinaenda kujenga Zanzibar! Mna rasilimali gani nyie za kuijenga Zanzibar kwa kasi hii mnayokwenda nayo? Wizi tu! Na huyu maza wenu ndio anafanya yote haya
Wacha ujinga wewe! Tunajenga kwa rasilmali zetu wenyewe. Mapato yanayokusanywa na misaada kama ambavyo Tanzania inafanya. Munadanganyana kwamba Zanzibar haina rasilmali. Waulizeni wazee wenu swala hili: "Hivi hawa Wazanzibari kabla muungano walijengaje nchi yao?" Jawabu utakalopata njoo ututonye humu.

Nakumbusha tu kuna wakati Nyerere, kwa choyo chake, alimtuma Amir Jamal, Waziri wa Fedha, kuja kuchunguza Zanzibar wana pesa kiasi gani. Amir alipofika kwa Karume Senior akamweleza ujumbe wa mwalimu akamjibu: "Mimi Nyerere namzaa" Akarudi. Hii ni namna ambavyo Watanganyika wanaionea choyo Zanibar, hivyo wewe sikushangai.
 
chawa wa kipemba kazini......
 
Huu Muungano hauna maana, ufe tu. Mtu sijawahi kula demu kutoka Zanzibar, ni wa nini sasa huo Muungano?
 
Kwahiyo Mzanzibari anaweza kuwa Rais zanzibari na Tanganyika pia? Ila Mtanganyika hawezi kuwa Rais wala Raia wa Zanzibari sio? Kwahiyo sasahivi taifa lenye watu million hata tatu hawafiki wamepata Rais kwao na kwenu Tanganyika alafu ninyi watu zaidi ya Milion 65 mmeshindwa hata kupata Rais kwenu?

Mmeona kinachoendelea sasa? Mnaongozwa na Rais mgeni ambae hapa sio kwao? Mnaona anachowafanya? You do too much singing. It is a time to stop singing and start swinging, badilisha namna ya kufikiri. Muungano ulikuwa na maana kipindi kile cha mawindo sio sasa hivi! Matokeo yake ndio haya mpo kwenu ila mnaishi kama wakimbizi!
Kwa jinsi Katiba yetu ilivyo ya ovyo, mkuu wa nchi Mzanzibari akipenda anaweza kuwa na PM Mzanzibari, AG Mzanzibari, CDF Mzanzibari, IGP Mzanzibari, etc. Moreover, kwa kutumia machawa Watanganyika wanaomzunguka anaweza hata kuwezesha Mzanzibari kuwa Speaker wa Bunge!
 
Kwahiyo Mzanzibari anaweza kuwa Rais zanzibari na Tanganyika pia? Ila Mtanganyika hawezi kuwa Rais wala Raia wa Zanzibari sio? Kwahiyo sasahivi taifa lenye watu million hata tatu hawafiki wamepata Rais kwao na kwenu Tanganyika alafu ninyi watu zaidi ya Milion 65 mmeshindwa hata kupata Rais kwenu?

Mmeona kinachoendelea sasa? Mnaongozwa na Rais mgeni ambae hapa sio kwao? Mnaona anachowafanya? You do too much singing. It is a time to stop singing and start swinging, badilisha namna ya kufikiri. Muungano ulikuwa na maana kipindi kile cha mawindo sio sasa hivi! Matokeo yake ndio haya mpo kwenu ila mnaishi kama wakimbizi!
Katika vitu hunichanganya sana ,ni hili kwamba mzanzibar anaweza miriki aridhi bara , ila Mbara ni shida Zanzibar

Mzanzibar anaweza kuwa Mbuge bara mbara kuwa mbunge Zanzibar ni shida ,huu Muungano wa kipumbavu sana.
Nawapenda wazanzibar ila kwa hili nasema wazi hapana
 
Ila Zama zinabadilika.
Tangu mwanzo Zanzibar walikua wanataka muungano uvunjwe, tena walikua wanadai wazi wazi. Ila sada hivi hawataki hata kusikia kuhusu kuvunjwa kwa muungano.
KULIKONIIIIII???
Wabara sisi ni wapumbavu sana. Wazenji waliukataa Muungano siku nyiingii. Tukalazimisha waendelee kuwa nasi. Sasa hivi sisi ndo tumekuwa wa kulilia Muungano uvunjwe. Wacha tunyoroshwe.
 
Ukweli mchungu. M/Ulidhani hatuwezi kusema? Unajidanganya. Kule munakodanganywa endeleeni tu. Mkuu tunayaweza.
ukweli gani?zaidi ya zanzibar kunufaika na rasilimali za tanganyika?chenu ni chenu cha tanganyika cha wote....muungano ama maigizo
 
Kuanzisha serikali ya Tanganyika (serikali 3).
Au Zanzibar iwe sehemu ya mfumo wa serikali moja.
Au kuruhusu raia yeyote wa Tanzania kugombea urais wa Zanzibar (chaguo lenye utata mkubwa).

SOLUTION
Zanzibari are a proud people, wanajielewa,wanalinda tamaduni yao. SERIKALI MOJA HAWAKUBALI KWAME,SIYO LEO WALA KESHO.
 
Kwahiyo Mzanzibari anaweza kuwa Rais zanzibari na Tanganyika pia? Ila Mtanganyika hawezi kuwa Rais wala Raia wa Zanzibari sio? Kwahiyo sasahivi taifa lenye watu million hata tatu hawafiki wamepata Rais kwao na kwenu Tanganyika alafu ninyi watu zaidi ya Milion 65 mmeshindwa hata kupata Rais kwenu?

Mmeona kinachoendelea sasa? Mnaongozwa na Rais mgeni ambae hapa sio kwao? Mnaona anachowafanya? You do too much singing. It is a time to stop singing and start swinging, badilisha namna ya kufikiri. Muungano ulikuwa na maana kipindi kile cha mawindo sio sasa hivi! Matokeo yake ndio haya mpo kwenu ila mnaishi kama wakimbizi!
KAMA UNA NDOTO ZA SIKU MOJA KUWA HUU MUUNGANO UTAVUNJIKA IFUTE ...HICHO KITU HAKITATOKEA KWA KUWA HAKINA MASLAHI KWA YEYOTE
 
Kwahiyo Mzanzibari anaweza kuwa Rais zanzibari na Tanganyika pia? Ila Mtanganyika hawezi kuwa Rais wala Raia wa Zanzibari sio? Kwahiyo sasahivi taifa lenye watu million hata tatu hawafiki wamepata Rais kwao na kwenu Tanganyika alafu ninyi watu zaidi ya Milion 65 mmeshindwa hata kupata Rais kwenu?

Mmeona kinachoendelea sasa? Mnaongozwa na Rais mgeni ambae hapa sio kwao? Mnaona anachowafanya? You do too much singing. It is a time to stop singing and start swinging, badilisha namna ya kufikiri. Muungano ulikuwa na maana kipindi kile cha mawindo sio sasa hivi! Matokeo yake ndio haya mpo kwenu ila mnaishi kama wakimbizi!
Rubbish
 
Mimi kama mzanzibari ninafurahi sana awamu ya mama yetu kipenzi chetu namna anavyowakamua hawa vichwa ngumu wa Tanganyika.Hadi kufika 2030 tutakuwa tumewanyoosha vya kutosha
Baada ya 2030 hata ukivunjinka, watakuwa wachenyentwa haswa, nawakaindike kwenye vitabu vyao vya historia shule ya msingi na ijadiliwe mpaka vyuoni "The Iron Lady of Tanganyika"
 
Watanganyika mlijifanya vichwa ngumu wazanzibar walipokuwa wanaongea kuhusu muungano,saiv yamewakuta mmekuwa na porojo kama zote,kaeni kwa kutulia hatuhitaji taharuki
 
Back
Top Bottom