Watanganyika bado mnataka Muungano eh? Someni hapa chini?

Watanganyika bado mnataka Muungano eh? Someni hapa chini?

Unaelekea huujui hata huu muungano kiasi kwamba unazungumza lugha za ajabu, na iwapo unaujua huu muungano basi unazungumza lugha za chuki.

Hivi ni sawa kwa Mtanganyika kuitawala Zanibar - akina Mwinyi mkubwa na Mwinyi mdogo na Jumbe? Ila si sawa kwa Mtanzani aliyetoka Zanzibar kutawala Tanzania?

Hivi ni sawa kwa Mtanzania aliyeyoka Tanganyika kuitawala Tanzania ila si sawa kwa yule aliyetoka Zanzibar? Hivi mtu akisema ama wewe ni mbaguzi au mwenye kujenga chuki, usiyejua unalolifanya anakosea?

Sasa basi, ni wakati wa nyinyi kufanya maamuzi ya huu muungano kwani sisi tulipojaribu tuliadhibiwa vikali, tena na Watanganyika kwa kutishwa na vivuli vyao. Binafsi huu muungano siutaki. Naomba saidieni katika hili tutulie; vinginevyo tuna haki ya kuwa viongozi katika JMT na hakuna wa kuiondoa haki hiyo katika muundo wa sasa hadi pale mutakapojitambua na kufanya maamuzi ya busara. Idumu JMT; idumu SMZ.

Mkuu sisi tupo na tutaendelea kuwepo. Wewe endelea kulilia kwenye keyboard.
VIVA ZANZIBAR.
 
Acha konakona wewe mpemba! Mali zinaporwa huku ndio zinaenda kujenga Zanzibar! Mna rasilimali gani nyie za kuijenga Zanzibar kwa kasi hii mnayokwenda nayo? Wizi tu! Na huyu maza wenu ndio anafanya yote haya
Rubbish
 
Back
Top Bottom