Watanganyika bado mnataka Muungano eh? Someni hapa chini?

Kwani Mwinyi ni wa wapi mzee?
Now we cannot taste our own medicine?
Mwinyi ni Mzanzibari whatever his background might be, hajapewa urais kama Mtanganyika na sheria zao haziruhusu Mtanganyika kuwa rais Zanzibar, wala kuwa mjumbe wa baraza la wawakilishi, Wala kuwa mbunge akiwakilisha Jimbo lolote za Unguja au Pemba. Hapo hata muungano ukivunjika ataendelea kuwa Mzanzibari.
 
Kiuhalisia sioni faida ya muungano huu
Muungano ulikua wa marekani na uingereza,wakamwambia mtu wao aitwae Zanzibar,mtu wao akaona kuna faida ya agenda yake kuu kwenye muungano,ananukuliwa akisema angweza angeliisukuma Zanzibar mbali zaidi baharini, Zanzibar anayopakana nayo baharini ni hatari kwake kuliko Rwanda, Burundi zenye mipaka ya ardhi
Quran inasema makafiri hupanga lakini mwenyezi fundi wa kubinua mipango yao
 
kwaiyo wakati alivyo kuwa makamu wa rais haikuwa na tatizo? Je wakati mwinyi alivyo kuwa Rais hamkuona haya?
Better late than never, iwe ikiwa tatizo au haikuwa that's beside the point la muhimu ni machogo wamezinduka kutoka usingizini wanataka one of the two between Tanganyika yao or haki na usawa kule Zanzibar kama Wazanzibari walivyo na haki bara.
 
Mimi kama mzanzibari ninafurahi sana awamu ya mama yetu kipenzi chetu namna anavyowakamua hawa vichwa ngumu wa Tanganyika.Hadi kufika 2030 tutakuwa tumewanyoosha vya kutosha
Ooh yeah, wanyoosheni mpaka akili ziwakae sawa.
 
Muungano ulikua wa marekani na uingereza,wakamwambia mtu wao aitwae Zanzibar,mtu wao akaona kuna faida ya agenda yake kuu kwenye muungano,ananukuliwa akisema angweza angeliisukuma Zanzibar mbali zaidi baharini, Zanzibar anayopakana nayo baharini ni hatari kwake kuliko Rwanda, Burundi zenye mipaka ya ardhi
Quran inasema makafiri hupanga lakini mwenyezi fundi wa kubinua mipango yao
Kumbe. Sawa kafir wa kiarabu.
 
Mzigo mkubwa sana unapelekwa kwao na ndugu zao wwngi wamechukua ajira huku
 
Wanawadai trillion 4 mgao wao hamuwapi miaka dahari,wapeni
Ningekuwa Rais Mtanganyika ningewapa hata trillion 30, ila nafukuza mbwa wote wazanzibar waliopo Tanganyika warudi kwao, na ardhi maduka na kila kitu nataifisha.

Halafu wakiingia passport, na wakija kununua vitu kariakoo ni dola.
 
Sababu ni nini yote hayo? Chuki au kuna kitu wanakupunguzia?
 
Ningekuwa Rais Mtanganyika ningewapa hata trillion 30, ila nafukuza mbwa wote wazanzibar waliopo Tanganyika warudi kwao, na ardhi maduka na kila kitu nataifisha.

Halafu wakiingia passport, na wakija kununua vitu kariakoo ni dola.
Kile ni kisiwa baharini,Wana bandari,hawaihitaji kariakoo ukivunja muungano
 
Back
Top Bottom