Watambue madalali wa shetani

Endelea kuwaamini
Mkuu kama hujamwelewa mshana hutokuja mwelewa yeyote pole yako evidence + reality hujamwelewa....
Endelea kutoa sadaka ukijua ni sadaka inaenda kunakopaswa..
Wewe ndo hujaelewa muktadha wa uzi wangu.
Soma tena kwa utulivu utaelewa.
 
Mbona dini nyingi mambo hayaekeweki? Ukiambiwa Bwana awe nawe, kesho tena awe nawe, mbona anasepa asitulie? Na kila unapoenda unapeleka chochote. Ninechanganyikiwa ila Mungu wangu ninamjua mwenyewe sio lazima mtu anikumbushe
 
Vip nikiamua kutoa zaka kwa wenye uhitaji kama yatima na wajane?
 
Mbona dini nyingi mambo hayaekeweki? Ukiambiwa Bwana awe nawe, kesho tena awe nawe, mbona anasepa asitulie? Na kila unapoenda unapeleka chochote. Ninechanganyikiwa ila Mungu wangu ninamjua mwenyewe sio lazima mtu anikumbushe
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
 
Sehemu ya kumi ninatoa mwenyewe kwa ninaowafahamu. Kusaidina ni ubinadamu ila Mungu kasema umpe sehemu ya kumi ni msisitizo ili watu watoe. Walionzisha makanisa wamefaidika sana na sehemu ya kumi
 
Kaka mshana nilipataga taarifa zako kutoka kwa marafiki zangu hata kabara ya kujiunga na jf. Me huwa nakubari uzi wako mkuu. Saluti kwako
 
Kaka mshana nilipataga taarifa zako kutoka kwa marafiki zangu hata kabara ya kujiunga na jf. Me huwa nakubari uzi wako mkuu. Saluti kwako
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Hapa umeachana na kiwiliwili ukaamua kumpiga rungu la kichwa shetani.
Hakika sifa zote hizo ni za mawakala wa sheitwan(manabii wa uongo)
 
Hapa umeachana na kiwiliwili ukaamua kumpiga rungu la kichwa shetani.
Hakika sifa zote hizo ni za mawakala wa sheitwan(manabii wa uongo)
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
uzuri waumini wao ni mafukara na masi
uzuri waumini wao ni mafukara na masikini sana mimi nina microfinance yangu,wanapokuja kunikopa hela nikiwaona wamechoka choka na wamepauka na vinguo vyao vya mitumba huwa nawanyima tu mikopo maana ni wajinga unawakopesha pesa nao wanampelekea nabii feki wao ,huwa siwaangalii mara 2 na wanafanana wote,wamechoka choka tu ila ambao hawaja choka kimwili na kimavazi basi wamechoka mawazo na akili,mi nahc kati ya watu ambao moto utawaunguza sana ni hawa manabii feki,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…