Yaan Hao ni watu Hatareee hasa! Hawana Hofu ya Mungu kabisaMimi nachukia watu wanaotoa huduma za Mungu halafu wanaweka hela mbele tena kwa kusema kabisa huwa siwaamini hata siku moja
Yupi kwako ni nabii wakweli?Geor Davie ni Nabii wa uongo,Muhuni wa wanawake na Tapeli
Mwamposa ni nabii wa uongo na Tapeli
Lusekelo ni mhuni, chapombe na mpenda pesa
Gwajima ni mpenda pesa, Mwanasiasa na Msanii ila mwenye ujasiri wa kuwatetea watanzania.
SAFINA RADIO ina watumishi wapenda pesa wasio na huruma kwa wamama masikini wanaochukua pesa zao. wa kwanza ni mkurugenzi wao DANIEL LEMA.
Akina manyau nyau na Sheikh sharrif majini ni wasanii wenye majini na ujinga kichwani.
Wengi wao wanarushwa na Channel 10.
Ashakhum si matusi
Hayo uloeleza hapa sio maswali ni majibu pigia mstriTutawatambuaje hali ya kuwa wanatenda miujiza ya kuponya na kufufua kama manabii walio tangulia?
Kuhusu utajiri wao ni neema zitokanazo na kulishwa shambani mwa Bwana.
Waumini tumeaswa kwenye maandiko matakatifu tuwalishe watumishi wa Mungu.
Hata wateule wa zamani kina Daudi na Suleimani walikuwa matajiri wakubwa kupitia ukulima, ufugaji na uhunzi wa zana mbalimbali.
Mkuu mshana jr unataka kutuaminisha ya kwamba dhana ya uwepo wa dini ni utapeli uliotukuka?
Je, hujawahi kushuhudia matendo makuu ya Mungu ktk kuishi kwako hapa Duniani?
Tusiwahukumu kwa matendo yao na umiriki wao wa mapambo ya Dunia, vyote tutaviacha hapahapa.
Kwa Mungu kila goti litapigwa.
Kila mmoja apambane kuurithi ufalme wa Mbinguni.
Wote hao hawaendi mbinguni wqnachumia matumbo yao na familia zao uzuri wao wqnajua wqnayemtumikia ila sisi ndo tunafanya mkumbo kuwafuata laiti kama wangefunguka wakatuambia yule wqnayemtumikia tungekimbia mbioUmemsahau Malisa na mkewe, na yule Mchungaji mbunge Viti Maalumu,Kakobe, na yuko mmoja hivi anakanisa pale tabata chama MZEE fulani hivi ana mvimvi. Yote haya majizi tu
Kote kote na wapi tena mkuuNimekuwa kotekote...hata ukija kunikagua...!


Huwezi kumuacha huyu jamaa yumo sema tulimsahau tuMsimsahau peter nyaga wa rgc miracle tabata katoka kwao kenya kaona tz ndio kuna wajingawajinga wa kumwaga
Afadhali ya Yule Mama, watoto wa kitanzania waNafaidi Matunda yake kupitia elimu japo ni watoto wa matajiri tu
Acha awatetee hayajamtokea akijua ukweli atakuwa huruNamfahamu vizuri sana kwahiyo usibishe toka anaanzisha kanisa mpaka hapo alipo. Naongea kile ninachokifahamu. Hata hivyo sidhani kama ni kipindi cha mabishano. Rafiki zangu ni wahanga wa Kakobe wapo waliacha kazi na kuuza vitu kwa kile kinachoitwa kazi ya uinjilishaji.
Na ww ndo wale wale ulishamezeshwa uongo wao na umekalilishwa upuuzi wao ni binadam gani mwenye uwezo wa kumpa Mungu pesa au mali au vitu sadaka pekee ya mwisho ni Yesu kristo aliekufa na kufufuka hayo mengine ni wizi kama wizi mwingine tu kama wakutumia siraha nk... Tunaibiwa na wasioenda mbinguni.Nijuavyo ikiwa sijakosea...kuna Sadaka maalum za aina 3, sawasawa na maagizo ya Biblia Takatifu.
Sadaka ya moja ya kumi (Ten percent) inayotokana na jasho lako la kuajiriwa ama kujiajiri. Inaitwa ZAKA.
Sadaka ya Shukran kwa yale aliyokufanyia Mungu wako, haijalishi ni mazuri au mabaya...Biblia inatuambia Shukuruni kwa kila jambo. Inaitwa DHABIHU
Sadaka ya Mzaliwa wa kwanza wa Mazalia ya mifugo au kilimo chako. Mfano unaanza kufuga ng'ombe au mbuzi dume na jike, watakapozaa kwa mara ya kwanza kabisa...yule ndama usimwache pale zizini mpeleke kama sadaka katika madhabahu ya Mungu....Inaitwa MALIMBUKO.
Sasa katika sadaka hizo...hiyo DHABIHU/SHUKRAN unaweza kuamua kuipeleka kwa Watoto yatima,kwa wagonjwa mahospitali, Masikini na wenye shida na taabu mbalimbali.
LAKINI : Nathubutu kukuambia katika sadaka hizo zote usije ukacheza na ZAKA yaani 1/10. Mungu mwenyewe anasema usipoitoa umemwibia.
Madhara ya kutotoa ZAKA ni makubwa sana na ni mengi kama:-
1) Kufilisika kabisa
2) Pesa/Mshahara wako kutokufanya chochote cha maana mpaka unakwisha
3) Kufutwa kazi / kufa kwa Ajira kabisa kwakuwa unakosa ulinzi na utetezi wa Mungu katika Ajira yako.
4) Kuaibika, kutokutoa ZAKA pia kunakusababishia AIBU katika maisha.
USHAURI: Jitahidi sana usiache kutoa SADAKA haswa ZAKA ila hakikisha unatoa katika MADHABAHU SAHIHI kwa MTUMISHI SAHIHI.
Barikiwa.
Sasa inapotumika kujenga minara unakataaje haimunufaishi mumiliki wa hio radioHapo safina radio napingana na wewe, kama ni msikilizaji mzuri wa safina utajua sadaka yao nyingi inaenda kujengea minara na sio kunufaisha wahudumu au mmiliki wake
Mshana hili sio jibu ni povuNimeokoka halafu bado naendelea na uchawi![]()
![]()
![]()
![]()

Yupi kwako ni nabii wakweli?
Na ww ndo wale wale ulishamezeshwa uongo wao na umekalilishwa upuuzi wao ni binadam gani mwenye uwezo wa kumpa Mungu pesa au mali au vitu sadaka pekee ya mwisho ni Yesu kristo aliekufa na kufufuka hayo mengine ni wizi kama wizi mwingine tu kama wakutumia siraha nk... Tunaibiwa na wasioenda mbinguni.
Nimefuatilia comments zako uko vizuri na unajitambua Bujoro