Ssebo hii kibokoYesu aliwalisha watu elfu tano wakala wakasaza .
Nabii Au mtume wa uongo analishwa Na watu elfu tano.
haaa kumbe ndio wewe, nimeangalia avatar yako mkuu.100% umenena vyema
😡😡😡😡😡Akina manyau nyau na Sheikh sharrif majini ni wasanii wenye majini na ujinga kichwani.
Pesa mbele kama taiMimi nachukia watu wanaotoa huduma za Mungu halafu wanaweka hela mbele tena kwa kusema kabisa huwa siwaamini hata siku moja
Mlolongo usiwe mrefu ila unaposema ni wanyonyaji wa pesa za wamama masikini ina maana wanaume hawaendi kwenye mikutano yao? Hebu eleza kwa ufupi kwa nn hao uliowataja waliondoka lengo sio kubishana ni kueleweshana ili tuone kwa nn walioondoka ni wachache alafu waliobaki ni wengi
Soma biblia utaelewa... OMABA SANA NA ROHO MTAKATIFU ATAKUFUNULIA NA KUKUONYESHA NA KUKUFUNDISHA NAMNA GANI YA KUWATAMBUA.... Na swali la kujiuliza jee wanafanya wakiongozwa na roho gani? Kutenda miujiza na kufanya uponyaji hata kalumanzila yanafanyika ila kwa roho isiyo ya Mungu...Tutawatambuaje hali ya kuwa wanatenda miujiza ya kuponya na kufufua kama manabii walio tangulia?
Kuhusu utajiri wao ni neema zitokanazo na kulishwa shambani mwa Bwana.
Waumini tumeaswa kwenye maandiko matakatifu tuwalishe watumishi wa Mungu.
Hata wateule wa zamani kina Daudi na Suleimani walikuwa matajiri wakubwa kupitia ukulima, ufugaji na uhunzi wa zana mbalimbali.
Mkuu mshana jr unataka kutuaminisha ya kwamba dhana ya uwepo wa dini ni utapeli uliotukuka?
Je, hujawahi kushuhudia matendo makuu ya Mungu ktk kuishi kwako hapa Duniani?
Tusiwahukumu kwa matendo yao na umiriki wao wa mapambo ya Dunia, vyote tutaviacha hapahapa.
Kwa Mungu kila goti litapigwa.
Kila mmoja apambane kuurithi ufalme wa Mbinguni.
Sawa, na hayo mengine ulikuwa unayajua?Hela ya minara sijui hata wanakusanya kiasi gani ndio maana hata siwezi kuifanyia analysis
Mtume Kibwetele nae yumo?Hawa si wengine bali ni mitume na manabii wa uongo (sio wote, namaanisha mitume na manabii wa uongo)
Utawambuaje?
Hawatoi bali wanapokea
Hawafuati bali wanafuatwa
Hawachangi bali wanachangiwa
Hawalishi bali wanalishwa
Hawahudumii bali wanahufumiwa
Kwao kila kitu ni fedha
Mahubiri yao ni utajiri na kutenda miujiza... Wanashindana kwa vitu vya kidunia.. Utajiri, vyombo vya usafiri, (magari boat, meli ndege nk) mavazi ya bei ghali, majumba ya gharama kubwa nknk... Ni watu wasiopitwa na fasheni yoyote
Ni wachoyo na ni wa binafsi wamepiliza! Pesa zao zinazotokana na kuwakamua waumini maskini na wenye uhitaji hawazitumii kwa manufaa ya jamii bali wao wenyewe na watu wao wa karibu
Pamoja na mabilioni wanayomiliki daima utawakuta mitandaoni wakishindana kupost vitu wanavyomiliki vya bei ghali...
Wakiamua kuwekeza pesa zao hizo ni kwenye biashara na kamwe sio kwenye huduma za kijamii kwa wasiojiweza kama lishe elimu afya na vituo vya misaada kwa walemavu yatima na yeyote mwenye uhitaji wowote .. Haya sio yao haya hayawahusu. ..
Watu wa kaliba hii wanaojipenda kujikweza na kupenda kutukuzwa, wapenda Mali na ibada za karamu zilizojaa ukakasi mwingi ni makuwadi wa kuzimu na madalali wa shetani
NB: Niombe radhi kwa wale watakwaza na hii mada
Amka hakuna eoho ya Mungu kwa huyu mtuu... Tena kwa taarifa yako huyu ndio aliyeanza akapiga pesa kuliko hawa wa sasa... Maana hata watu wengi walikuwa hawastuka bado..Inaonyesha ni kwa kiwango gani humjui mtumishi wa Mungu Kakobe. Ndiyo maana namuunga mkono mtoa post kwamba SIYO WOTE. Wewe unakurupuka. Onyesha utajiri wa Kakobe. Acha chuki binafsi. No research, no right to speak.
Kuhusu lucas niliwahi kulisikia wakati niko arusha, tangu niondoke hayo mengine sijui
Njia ya kuwatambua ni so simple. 1. Wanafundisha na kuhimiza watu wawe matajiri hapa duniani tu kwa mafanikio ya muda tu.wanaacha kuwahimiza watu kuutafuta uzima wa milele ulio katika Kristo Yesu. 2. Hawamhubiri Yesu kama ni njia ya wokovu na uponyaji, badala yake wanajiinua wenyewe wakiichukua nafasi ya Bw .Yesu. 3. Mungu wanayemuinua, ni Mungu wao na sio MUNGU Baba wa Bw.Yesu Kristo.. Kwa mfano ,:- mungu wa machomanne, mungu wa kanisa Machomanne NK, NK. 4.Angalia matunda yao sio matendo yao-- Wazinzi, Wanazaa nje ya ndoa zao, Wafiraji, Wabakaji, Watu wenyewe visasi.. 5. Wananena kwa Lugha zisizofahamika wakiunga na kiswahili kama za watoto wanaojifunza kuongea (baba, mama, Dada, kaka, tata, Toto, dodo, moto,raba, sata,maka, NK,NK.), ukiwabana wanakwambia wanaongea lugha ya kimalaika.. 6.Zingatia haya:--- a.Lugha ya malaika hata ibilisi anafahamu kwa vile naye ni malaika. b. Watu wanapaswa kufundishwa kuhusu safari ya kwenda mbingini aliko Yesu, na sio Ulaya wala America. c. Utajiri wa duniani sio kipaumbele cha mkristo bali ni Ufalme wa Mbinguni. Utajiri ni kitu cha nyongeza..Tutawatambuaje hali ya kuwa wanatenda miujiza ya kuponya na kufufua kama manabii walio tangulia?
Kuhusu utajiri wao ni neema zitokanazo na kulishwa shambani mwa Bwana.
Waumini tumeaswa kwenye maandiko matakatifu tuwalishe watumishi wa Mungu.
Hata wateule wa zamani kina Daudi na Suleimani walikuwa matajiri wakubwa kupitia ukulima, ufugaji na uhunzi wa zana mbalimbali.
Mkuu mshana jr unataka kutuaminisha ya kwamba dhana ya uwepo wa dini ni utapeli uliotukuka?
Je, hujawahi kushuhudia matendo makuu ya Mungu ktk kuishi kwako hapa Duniani?
Tusiwahukumu kwa matendo yao na umiriki wao wa mapambo ya Dunia, vyote tutaviacha hapahapa.
Kwa Mungu kila goti litapigwa.
Kila mmoja apambane kuurithi ufalme wa Mbinguni.