
Hspo ni manabii wa uongo ktk siku za mwisho, si kwamba siku za mwisho watatokea MANABII WA UKWELI, SS KWANII YESU KUSEMA MANABII WA UONGO TU BADALA YA MANABII WA KWELI????MATHAYO 24:4-5.
MATHAYO 24:24
Ndiooo hao haoooooo wote ni kundi MojaHspo ni manabii wa uongo ktk siku za mwisho, si kwamba siku za mwisho watatokea MANABII WA UKWELI, SS KWANII YESU KUSEMA MANABII WA UONGO TU BADALA YA MANABII WA KWELI????
TAFAKARI! !!!
Mali yote nyumbani mwa Bwana ni Mali ya Mungu. Kama Mtumishi unapaswa kuitumia kwa hekima na umakini mkubwa..Kisima kuna neno moja tu nimeandika ungelizingatia ungekuja na reply tofauti na hii... Neno hilo ni SIO WOTE!
kumiliki mali sio tatizo, tatizo ni matumizi... Huwezi kumiliki mabilioni na kulala kwenye nyumba ya gharama mno huku nyumba ya Mungu unayotumia kupata utajiri wako haina tofauti na pagale
hii list haijawa updated kweli kwa mwaka huu mana naamin wameongezeka wengineGeor Davie ni Nabii wa uongo,Muhuni wa wanawake na Tapeli
Mwamposa ni nabii wa uongo na Tapeli
Lusekelo ni mhuni, chapombe na mpenda pesa
Gwajima ni mpenda pesa, Mwanasiasa na Msanii ila mwenye ujasiri wa kuwatetea watanzania.
SAFINA RADIO ina watumishi wapenda pesa wasio na huruma kwa wamama masikini wanaochukua pesa zao. wa kwanza ni mkurugenzi wao DANIEL LEMA.
Akina manyau nyau na Sheikh sharrif majini ni wasanii wenye majini na ujinga kichwani.
Wengi wao wanarushwa na Channel 10.
Ashakhum si matusi
daah...Kuna baadhi ya mikoa frequency zimejaa
Mbiti Yapeeeer100% umenena vyema
Na wanaendelea kuzaliwa wengine. Mwingine ni Mchungaji cum Comedian (M∆$∆π?∆ M¢∆πd∆m|x∆j|)Zote namba hatari