Watalii wanamiminika in the East Africa's Corona free state

Chief Sam

JF-Expert Member
Jan 21, 2019
2,010
2,000
Inasemekana Watanzania hawawezi kupata corona kwa mujibu wa serikali yenu. Kuanzia Mei mwaka uliopita, hakuna Mtz aliyepata corona japo Wakenya walio na corona na majirani zenu walio na corona huwa wanakuja kuwatembelea. Hata hawa wazungu baadhi yao lazima wawe na corona ila kwa sababu Watanzania ni watu speshieli walio umbwa na udongo soft kushinda watu wengine basi nyinyi hamuwezi kupata corona kwa hivyo tulia usiogope.
Imeisha iyo
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom