Ligi ya mpira wa Tanzania sio dance floor

marcoveratti

JF-Expert Member
Sep 21, 2017
968
1,695
Soka ndio mchezo ulio sambaa zaidi Duniani, ndio mchezo unao fuatiliwa na watu wengi zaidi na ndio mchezo una tengeza ajira nyingi zaidi kwa wanamichezo!,

Kwanini?
Sababu kubwa ni kua kwenye soka yoyote anaweza pasuliwa na yoyote, uwepo wa hili jambo ndio umepelekea kuibuka kwa betting industry, sababu huwezi kutabiri kirahisi kwenye soka.

Kubwa zaidi ni kwamba soka ni utamaduni wa dunia nzima
Tofauti na michezo mingine Kama basket ambayo ukicheza ni unatembea kwenye utamaduni wa ki mahali au taifa fulani.

Ipo hivyo kwa michezo yote isipokua soka, ambalo unaweza kua Marekani ukacheza soka la Marekani, ukaenda Brazil ukakuta soka la utamaduni wa Brazil, ukija Asia pia hata Africa soka lina utamaduni wake tofauti tofauti

mfano soka wanalo cheza wa Afrika wa Kaskazini halifanani na soka la wa Afrika wa Maghalibi.

Pia Soka la Afrika mashariki ni tofauti na Soka la Afrika ya Kusini.

Ukiwa kusini mwa Afrika unatakiwa uwe ball dancer, uwe na skills, nguvu kidogo akili mingi. Utamaduni wa soka lao hauna tofauti sana na Soka la Brazil. Ndio maana Mamelody Sundowns wanajiita The Brazilian, Cheza soka tuenjoy.

Hapa kwetu Tanzania utamaduni wa Ku dance mpira hatuna, unaweza kua na skills ila uwe direct watu wnataka matokeo kuliko showoff. Utamaduni wa soka letu unafanana sana soka la Uingereza, nafkiri sababu wali tutawala!.

Wapo mafundi wa mali wenye skills na ma ball dancer walikuja Tanzania wakaweka skils kando wakacheza ngoma ya utamaduni wetu.

Skudu ni kama mshikaji wa Tanga alie oa Mtoto wa kichaga tena wa Machame. Kipaumbele namba moja kwake ni upendo na maujuzi chumbani
Wakati mke Kuanzia namba moja hadi 100 kipaumbele ni PESA!

Skudu ni ball dance, skilled sana show off na kucheza na jukwaa hapa ndio nyumbani, sasa yupo kwenye ligi amabayo udambwidambwi watu wamshangilia ila wanashau kabla ya mechi kuisha ila wana mkumbuka mchezaji alie ipa matokeo timu yao hata ipite miaka 10.

Yes! Tanzania Kibu Denis ni muhimu kuliko Peter Banda.

Scudu asipokubali kuvua Shanga za kizuru na kuvaa vitenge Vya Urafiki, tutasherekea Krismas hayupo Tanzania.

FB_IMG_1690124107378.jpg
 
Soka ndio mchezo ulio sambaa zaidi Duniani, ndio mchezo unao fuatiliwa na watu wengi zaidi na ndio mchezo una tengeza ajira nyingi zaidi kwa wanamichezo!,

Kwanini!

Sababu kubwa ni kua kwenye soka yoyote anaweza pasuliwa na yoyote, uwepo wa hili jambo ndio umepelekea kuibuka kwa betting industry, sababu huwezi kutabiri kirahisi kwenye soka,

Kubwa zaidi ni kwamba soka ni utamaduni wa dunia nzima
Tofauti na michezo mingine Kama basket
ambayo ukicheza ni unatembea kwenye utamaduni wa ki mahali au taifa fulani,

ipo hivyo kwa michezo yote isipo kua soka, ambalo unaweza kua Marekani ukacheza soka la Marekani,
ukaenda Brazil ukakuta soka la utamaduni wa Brazil, ukija Asia pia hata Africa soka lina utamaduni wake tofauti tofauti

mfano soka wanalo cheza wa Afrika wa Kaskazini halifanani na soka la wa Afrika wa Maghalibi ,

Pia Soka la Afrika mashariki ni tofauti na Soka la Afrika ya Kusini

Ukiwa kusini mwa Afrika unatakiwa uwe ball dancer, uwe na skills, nguvu kidogo akili mingi
Utamaduni wa soka lao hauna tofauti sana na Soka la Brazil,
Ndio maana Mamelody Sundowns wanajiita The Brazilian,
Cheza soka tuenjoy

Hapa kwetu Tanzania utamaduni wa Ku dance mpira hatuna, unaweza kua na skills ila uwe direct watu wnataka matokeo kuliko showoff,
Utamaduni wa soka letu unafanana sana soka la Uingereza , nafkiri sababu wali tutawala!.

Wapo mafundi wa mali wenye skills na ma ball dancer walikuja Tanzania wakaweka skils kando wakacheza ngoma ya utamaduni wetu!,

Skudu ni kama mshikaji wa Tanga alie oa Mtoto wa kichaga tena wa Machame
Kipaumbele namba moja kwake ni upendo na maujuzi chumbani
Wakati mke Kuanzia namba moja hadi 100 kipaumbele ni PESA!

Skudu ni ball dance, skilled sana show off na kucheza na jukwaa hapa ndio nyumbani, sasa yupo kwenye ligi amabayo udambwidambwi watu wamshangilia ila wanashau kabla ya mechi kuisha ,
ila wana mkumbuka mchezaji alie ipa matokeo timu yao. Hata ipite miaka 10

Yes! Tanzania Kibu Denis ni muhimu kuliko Peter Banda,

Scudu asipo kubari kuvua Shanga za kizuru na kuvaa vitenge Vya Urafiki, tuta sherekea, Krismas hayupo Tanzania.
Morrison nae baada ya kucheza soka SA naye akakopi hizi mbwembwe za kijinga na kuzileta utpoloni, yuko wapi sasa?
 
Soka ndio mchezo ulio sambaa zaidi Duniani, ndio mchezo unao fuatiliwa na watu wengi zaidi na ndio mchezo una tengeza ajira nyingi zaidi kwa wanamichezo!,

Kwanini?
Sababu kubwa ni kua kwenye soka yoyote anaweza pasuliwa na yoyote, uwepo wa hili jambo ndio umepelekea kuibuka kwa betting industry, sababu huwezi kutabiri kirahisi kwenye soka.

Kubwa zaidi ni kwamba soka ni utamaduni wa dunia nzima
Tofauti na michezo mingine Kama basket ambayo ukicheza ni unatembea kwenye utamaduni wa ki mahali au taifa fulani.

Ipo hivyo kwa michezo yote isipokua soka, ambalo unaweza kua Marekani ukacheza soka la Marekani, ukaenda Brazil ukakuta soka la utamaduni wa Brazil, ukija Asia pia hata Africa soka lina utamaduni wake tofauti tofauti

mfano soka wanalo cheza wa Afrika wa Kaskazini halifanani na soka la wa Afrika wa Maghalibi.

Pia Soka la Afrika mashariki ni tofauti na Soka la Afrika ya Kusini.

Ukiwa kusini mwa Afrika unatakiwa uwe ball dancer, uwe na skills, nguvu kidogo akili mingi. Utamaduni wa soka lao hauna tofauti sana na Soka la Brazil. Ndio maana Mamelody Sundowns wanajiita The Brazilian, Cheza soka tuenjoy.

Hapa kwetu Tanzania utamaduni wa Ku dance mpira hatuna, unaweza kua na skills ila uwe direct watu wnataka matokeo kuliko showoff. Utamaduni wa soka letu unafanana sana soka la Uingereza, nafkiri sababu wali tutawala!.

Wapo mafundi wa mali wenye skills na ma ball dancer walikuja Tanzania wakaweka skils kando wakacheza ngoma ya utamaduni wetu.

Skudu ni kama mshikaji wa Tanga alie oa Mtoto wa kichaga tena wa Machame. Kipaumbele namba moja kwake ni upendo na maujuzi chumbani
Wakati mke Kuanzia namba moja hadi 100 kipaumbele ni PESA!

Skudu ni ball dance, skilled sana show off na kucheza na jukwaa hapa ndio nyumbani, sasa yupo kwenye ligi amabayo udambwidambwi watu wamshangilia ila wanashau kabla ya mechi kuisha ila wana mkumbuka mchezaji alie ipa matokeo timu yao hata ipite miaka 10.

Yes! Tanzania Kibu Denis ni muhimu kuliko Peter Banda.

Scudu asipokubali kuvua Shanga za kizuru na kuvaa vitenge Vya Urafiki, tutasherekea Krismas hayupo Tanzania.

View attachment 2697402
Baada ya viongozi kuona Watanzania ni watu ambao hawana furaha, waliiomba Yanga itatue changamoto hii. Ili kuhakikisha Watanzania wana furaha muda wote, wakamsajili Waziri wa burudani. Furaha hii siyo kwa Yanga tu, ila kwa nchi yote.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Soka ndio mchezo ulio sambaa zaidi Duniani, ndio mchezo unao fuatiliwa na watu wengi zaidi na ndio mchezo una tengeza ajira nyingi zaidi kwa wanamichezo!,

Kwanini?
Sababu kubwa ni kua kwenye soka yoyote anaweza pasuliwa na yoyote, uwepo wa hili jambo ndio umepelekea kuibuka kwa betting industry, sababu huwezi kutabiri kirahisi kwenye soka.

Kubwa zaidi ni kwamba soka ni utamaduni wa dunia nzima
Tofauti na michezo mingine Kama basket ambayo ukicheza ni unatembea kwenye utamaduni wa ki mahali au taifa fulani.

Ipo hivyo kwa michezo yote isipokua soka, ambalo unaweza kua Marekani ukacheza soka la Marekani, ukaenda Brazil ukakuta soka la utamaduni wa Brazil, ukija Asia pia hata Africa soka lina utamaduni wake tofauti tofauti

mfano soka wanalo cheza wa Afrika wa Kaskazini halifanani na soka la wa Afrika wa Maghalibi.

Pia Soka la Afrika mashariki ni tofauti na Soka la Afrika ya Kusini.

Ukiwa kusini mwa Afrika unatakiwa uwe ball dancer, uwe na skills, nguvu kidogo akili mingi. Utamaduni wa soka lao hauna tofauti sana na Soka la Brazil. Ndio maana Mamelody Sundowns wanajiita The Brazilian, Cheza soka tuenjoy.

Hapa kwetu Tanzania utamaduni wa Ku dance mpira hatuna, unaweza kua na skills ila uwe direct watu wnataka matokeo kuliko showoff. Utamaduni wa soka letu unafanana sana soka la Uingereza, nafkiri sababu wali tutawala!.

Wapo mafundi wa mali wenye skills na ma ball dancer walikuja Tanzania wakaweka skils kando wakacheza ngoma ya utamaduni wetu.

Skudu ni kama mshikaji wa Tanga alie oa Mtoto wa kichaga tena wa Machame. Kipaumbele namba moja kwake ni upendo na maujuzi chumbani
Wakati mke Kuanzia namba moja hadi 100 kipaumbele ni PESA!

Skudu ni ball dance, skilled sana show off na kucheza na jukwaa hapa ndio nyumbani, sasa yupo kwenye ligi amabayo udambwidambwi watu wamshangilia ila wanashau kabla ya mechi kuisha ila wana mkumbuka mchezaji alie ipa matokeo timu yao hata ipite miaka 10.

Yes! Tanzania Kibu Denis ni muhimu kuliko Peter Banda.

Scudu asipokubali kuvua Shanga za kizuru na kuvaa vitenge Vya Urafiki, tutasherekea Krismas hayupo Tanzania.

View attachment 2697402
Ume eleweka baada ya mechi ya jan
 
Back
Top Bottom