Idara ya Usalama wa Taifa na TAKUKURU, wasaidieni wazee wastaafu wa East Africa Community wanateseka na wanapigwa pesa

Dr Matola PhD

JF-Expert Member
Oct 18, 2010
56,605
93,317
Habari za weekend wakuu,

Kwanza niseme wazi Taifa lisilojari wazee basi Taifa hilo limelaaniwa na haliwezi kubalikiwa.

Wengi kama mnavyofahamu wazee wa iliyokuwa jumuiya ya Africa Mashariki kwa nchi za Uganda na Kenya walishalipwa stahiki zao siku nyingi tu.

Sasa tatizo lipo kwa wastaafu wa EA upande wa Tanzania mpaka leo wanadai haki zao na wengine wana endelea kufariki na huku waliopo wakiendelea kuchoka kwa uzee kwani kiuhalisia waliobaki hai ni lazima atakuwa na miaka kuanzia 70.

Sasa basi kuna kesi ya msingi ambayo wazee hawa walifunguwa kwenye mahakama ya East Africa na wakashinda details za kesi hizi hapa.

CIVIL Case NO. 95 of 2003 and EAST AFRICAN COMMUNITY SERVICE TERMINAL BENEFITS . THE COMPUTATION GIVES A TRUE AND FAIR VIEW OF THE STATE OF THE AFFAIRS OF THE CLAIM AND AS AT 30'TH SEPTEMBER 2008. HII NDIYO ILIYOANZISHA KUNDI LA OMARI AND OTHERS MATIMILA.

Sasa hapa ndio naomba nieleweke, Idara ya usalama wa Taifa mnisome vizuri na Takukuru mniele hapa ninachokikusudia jinsi ya kuwaokowa wazee hawa.

1. Solicitors ni Mkenya na amekuwa akichangiwa pesa na wazee hawahawa waliojichokea kwenda Uingereza Mara kwa Mara kufuatilia madai haya tangu Malkia Elizabeth akiwa hai na huwa wazee wanasomewa emails kinachoendelea na makubaliano na solicitor huyu malipo ya mwisho atalipwa baada ya serikali ya Uingereza kurelease hayo malipo.

Sasa kwa uelewa wangu na ninavyowafahamu wazungu hili jambo limeshafika tamati kinachopaswa kufuata ni serikali ya Uingereza kuwalipa wastaafu au warithi wao ili hili jambo lifikie tamati.

Lakini nimeanza kuingia na mashaka makubwa na vikao vya keko Matimila licha ya Wazee mpaka sasa kuchangishwa pesa nyingi kuna ujanja mpya umeibuka ambao nahisi hapa Wazee wanataka kupigwa pesa na viongozi wao wa Kamati au wanatapeliwa wote wakiwemo viongozi.

Wiki hii imekuja email ya madai mapya kwamba kuna solicitor Uingereza ndio atasimamia hili shauri mpaka mwisho achangiwe USD 82 na kila mstaafu halafu idadi ya wadai wapo 1600, sasa piga hesabu USD 82× 1600 = 131, 200/=

Pigeni vizuri hiyo hesabu convert kutoka USD lete kwenye Tshillings hapo ndio nimenusa hawa viongozi wa wazee wanataka kuwatandika wenzao hakuna ukweli wowote hapo wala uhalisia, na ningependa ieleweke mpaka sasa wazee wameshachanga michango mingi sana kuhusu kesi hii ikiwemo safari za viongozi wao kwenda Nairobi kwa solicitor Mara kwa Mara.

Kuna hii kampuni nyingine ambayo inahusika na kukokotowa madai ya wazee unaweza kuihoji ni kitu gani wanachoelewa kwenye sakata hili?

R S. PATEL &CO..
MOBILE 0787 155 231 .

Cc: N.O.O

Pia soma: Serikali: Hakuna wanachodai Wastaafu wa Jumuia ya Afrika Mashariki, wameshalipwa na zoezi limeshafungwa
 
Cc: NOO
Nani aliwaambia kuitumikia SISIEMU?
 
Penye shida yaani kila na shida ya kila namna ndio fursa yenyewe. Mfano sahivi wasomi wengi Hakuna Ajira Ni fursa sema you've to have very sharp and eagle eye to see millions of miles away any predator
 
Je hawa wengine? Si wameshalipwa pesa zap zote muda wakati wa Mkapa?
Nooooooooo mkuu acha upumbavu huu, kama hujui uliza uambiwe otherwise shut up, acha kuonyesha ukatili wako ,hawa wengi ni babu/bibi zako, HAKI yao inanyamazishwa na nguvu nyingi za serikali na elewa fedha yao haitoki serikalini, serikali imeiba fedha za wastaaafu hawa,na mbaya zaidi wanakufa one by one,ndio mkakati uliopo, President mkapa aliwapa flat rate regardless miaka uliyotumikia ili kuwaziba mdomo (@2M ths)
 
Habari za weekend wakuu,

Kwanza niseme wazi Taifa lisilojari wazee basi Taifa hilo limelaaniwa na haliwezi kubalikiwa.

Wengi kama mnavyofahamu wazee wa iliyokuwa jumuiya ya Africa Mashariki kwa nchi za Uganda na Kenya walishalipwa stahiki zao siku nyingi tu.

Sasa tatizo lipo kwa wastaafu wa EA upande wa Tanzania mpaka leo wanadai haki zao na wengine wana endelea kufariki na huku waliopo wakiendelea kuchoka kwa uzee kwani kiuhalisia waliobaki hai ni lazima atakuwa na miaka kuanzia 70.

Sasa basi kuna kesi ya msingi ambayo wazee hawa walifunguwa kwenye mahakama ya East Africa na wakashinda details za kesi hizi hapa.

CIVIL Case NO. 95 of 2003 and EAST AFRICAN COMMUNITY SERVICE TERMINAL BENEFITS . THE COMPUTATION GIVES A TRUE AND FAIR VIEW OF THE STATE OF THE AFFAIRS OF THE CLAIM AND AS AT 30'TH SEPTEMBER 2008. HII NDIYO ILIYOANZISHA KUNDI LA OMARI AND OTHERS MATIMILA.

Sasa hapa ndio naomba nieleweke, Idara ya usalama wa Taifa mnisome vizuri na Takukuru mniele hapa ninachokikusudia jinsi ya kuwaokowa wazee hawa.

1. Solicitors ni Mkenya na amekuwa akichangiwa pesa na wazee hawahawa waliojichokea kwenda Uingereza Mara kwa Mara kufuatilia madai haya tangu Malkia Elizabeth akiwa hai na huwa wazee wanasomewa emails kinachoendelea na makubaliano na solicitor huyu malipo ya mwisho atalipwa baada ya serikali ya Uingereza kurelease hayo malipo.

Sasa kwa uelewa wangu na ninavyowafahamu wazungu hili jambo limeshafika tamati kinachopaswa kufuata ni serikali ya Uingereza kuwalipa wastaafu au warithi wao ili hili jambo lifikie tamati.

Lakini nimeanza kuingia na mashaka makubwa na vikao vya keko Matimila licha ya Wazee mpaka sasa kuchangishwa pesa nyingi kuna ujanja mpya umeibuka ambao nahisi hapa Wazee wanataka kupigwa pesa na viongozi wao wa Kamati au wanatapeliwa wote wakiwemo viongozi.

Wiki hii imekuja email ya madai mapya kwamba kuna solicitor Uingereza ndio atasimamia hili shauri mpaka mwisho achangiwe USD 82 na kila mstaafu halafu idadi ya wadai wapo 1600, sasa piga hesabu USD 82× 1600 = 131, 200/=

Pigeni vizuri hiyo hesabu convert kutoka USD lete kwenye Tshillings hapo ndio nimenusa hawa viongozi wa wazee wanataka kuwatandika wenzao hakuna ukweli wowote hapo wala uhalisia, na ningependa ieleweke mpaka sasa wazee wameshachanga michango mingi sana kuhusu kesi hii ikiwemo safari za viongozi wao kwenda Nairobi kwa solicitor Mara kwa Mara.

Kuna hii kampuni nyingine ambayo inahusika na kukokotowa madai ya wazee unaweza kuihoji ni kitu gani wanachoelewa kwenye sakata hili?

R S. PATEL &CO..
MOBILE 0787 155 231 .

Cc: N.O.O
ccm wamewasikia watslifanyia kazi wawe wavumilivu.
 
Nani aliwaambia kuitumikia SISIEMU?
Hata mimi ninajuta mkuu. Nilikuwa ninajiona zinga la mzalendo bila kujua kumbe hii nchi ina wenyewe. Mdogo wake Nape kapewa Ukurugenzi wa Wilaya ila mimi nilipewa maneno ya dhihaka.
 
Mkapa aliwalipa kwa exchabge rates za 1977.. Wanacholalamikia wazee hawa ni thamani ya pesa.. Laki moja ya 1977 ni sawa na Laki moja ya 2023..??

Wazee hawa wanadai walipwe kwa exchange rates za leo sio za 1977
Mkapa lilikuwa katili. Halafu halijaishi milele
 
Nooooooooo mkuu acha upumbavu huu, kama hujui uliza uambiwe otherwise shut up, acha kuonyesha ukatili wako ,hawa wengi ni babu/bibi zako, HAKI yao inanyamazishwa na nguvu nyingi za serikali na elewa fedha yao haitoki serikalini, serikali imeiba fedha za wastaaafu hawa,na mbaya zaidi wanakufa one by one,ndio mkakati uliopo, President mkapa aliwapa flat rate regardless miaka uliyotumikia ili kuwaziba mdomo (@2M ths)
A dark continent. Bara la laana
 
Habari za weekend wakuu,

Kwanza niseme wazi Taifa lisilojari wazee basi Taifa hilo limelaaniwa na haliwezi kubalikiwa.

Wengi kama mnavyofahamu wazee wa iliyokuwa jumuiya ya Africa Mashariki kwa nchi za Uganda na Kenya walishalipwa stahiki zao siku nyingi tu.

Sasa tatizo lipo kwa wastaafu wa EA upande wa Tanzania mpaka leo wanadai haki zao na wengine wana endelea kufariki na huku waliopo wakiendelea kuchoka kwa uzee kwani kiuhalisia waliobaki hai ni lazima atakuwa na miaka kuanzia 70.

Sasa basi kuna kesi ya msingi ambayo wazee hawa walifunguwa kwenye mahakama ya East Africa na wakashinda details za kesi hizi hapa.

CIVIL Case NO. 95 of 2003 and EAST AFRICAN COMMUNITY SERVICE TERMINAL BENEFITS . THE COMPUTATION GIVES A TRUE AND FAIR VIEW OF THE STATE OF THE AFFAIRS OF THE CLAIM AND AS AT 30'TH SEPTEMBER 2008. HII NDIYO ILIYOANZISHA KUNDI LA OMARI AND OTHERS MATIMILA.

Sasa hapa ndio naomba nieleweke, Idara ya usalama wa Taifa mnisome vizuri na Takukuru mniele hapa ninachokikusudia jinsi ya kuwaokowa wazee hawa.

1. Solicitors ni Mkenya na amekuwa akichangiwa pesa na wazee hawahawa waliojichokea kwenda Uingereza Mara kwa Mara kufuatilia madai haya tangu Malkia Elizabeth akiwa hai na huwa wazee wanasomewa emails kinachoendelea na makubaliano na solicitor huyu malipo ya mwisho atalipwa baada ya serikali ya Uingereza kurelease hayo malipo.

Sasa kwa uelewa wangu na ninavyowafahamu wazungu hili jambo limeshafika tamati kinachopaswa kufuata ni serikali ya Uingereza kuwalipa wastaafu au warithi wao ili hili jambo lifikie tamati.

Lakini nimeanza kuingia na mashaka makubwa na vikao vya keko Matimila licha ya Wazee mpaka sasa kuchangishwa pesa nyingi kuna ujanja mpya umeibuka ambao nahisi hapa Wazee wanataka kupigwa pesa na viongozi wao wa Kamati au wanatapeliwa wote wakiwemo viongozi.

Wiki hii imekuja email ya madai mapya kwamba kuna solicitor Uingereza ndio atasimamia hili shauri mpaka mwisho achangiwe USD 82 na kila mstaafu halafu idadi ya wadai wapo 1600, sasa piga hesabu USD 82× 1600 = 131, 200/=

Pigeni vizuri hiyo hesabu convert kutoka USD lete kwenye Tshillings hapo ndio nimenusa hawa viongozi wa wazee wanataka kuwatandika wenzao hakuna ukweli wowote hapo wala uhalisia, na ningependa ieleweke mpaka sasa wazee wameshachanga michango mingi sana kuhusu kesi hii ikiwemo safari za viongozi wao kwenda Nairobi kwa solicitor Mara kwa Mara.

Kuna hii kampuni nyingine ambayo inahusika na kukokotowa madai ya wazee unaweza kuihoji ni kitu gani wanachoelewa kwenye sakata hili?

R S. PATEL &CO..
MOBILE 0787 155 231 .

Cc: N.O.O
Mkuu, kwani hao officers wa Usalama wa Taifa na TAKUKURU hawapendi maisha mazuri?? Kwani hawapendi kuendesha magari kama Benz na BMW? Hili bara hili ni la vita, njaa, dhuluma kila pahala. Africa bara la laana.
 
Kwanza mleta thread aseme ni kesi ipi ambayo hao jamaa aliowataja wamefanya la maana
Tunaweka records sawa, Tiss wana madawati mengi na Takukuru hili ni eneo lao la kazi.

Wanapita na wanasoma, wanafanyiakazi au hawafanyii kazi waachie wenyewe.
 
Back
Top Bottom