Watalii wanamiminika in the East Africa's Corona free state

Siku hizi umebakia na akili za kuvuka barabara na kurudi nyumbani.
🤣🤣🤣
Kibaka mwenzake wa Uganda ananyolewa polepole huko!🤣🤣🤣
649064554.jpg
49043283.jpg
649018480.jpg
 
Uzuri wa Mseven, haibi usiku, huu uchaguzi ataupora mchana kweupe, halafu atapanga wale wababe kutoka maraba mpaka mtukura, aseme mtu fyeee, aone!
 
Watangazie tu Dunia UKIINGIA TANZANIA TU CORONA INAPONA YENYEWE. Tutapata watalii mpaka tuchanganyikiwe.. 😃 😃 😃 😃
 
Mi Niko hapaa USA river maisha na starehe Kama kawaida huko USA kwako mizinguo
Nice. Kwa Tz moja ya makazi yangu yako momella road. Usa river naijua vizuri sana. Na drivers taxi wengi hapo stendi Mdungu, Peter, Yohana Imani nk nawapata sana. Ukiwaambia John Mmarekani wananipata sana 😂😂😂.

Yeah. Kila sehemu kwa hizi nchi za watu ni lazima uvae barakoa, na huduma nyingi zimesitishwa.
 
Ila nilisikia ya kuwa tour operator wengi wa upande wa Zanzibar waki leta wagen huku bara nasikia wazenji ni wakorofi sanaa hawataki wenzao wa bara nao wanufaike ..maana nasikia huwa wana ulizia ata chenji
 
Nadhani watalii wanatafuta sehemu ambako hakuna vitisho vya maambukizi.
Waende bongo, watafurahia.
 
tanzani kweli ni covid free zone kutokana kwamba ukienda feri wale makonda na madreva wa mabasi yaendayo kivukoni bado wapo hawajawahi kupata ugonjwa, angalia wavuvi magogoni, nenda mbagara zakiemm nenda kariakoo machinga wako vile vile mwendo kasi ndio usiseme bado hatuna korona hadi siku hizi madreva wetu wameachwa kusingiziwa kuwa na coona
 
Back
Top Bottom