Wataalim wa Wifi naombeni msaada wa kibiashara

Wataalim wa Wifi naombeni msaada wa kibiashara

Mi nimeanza na
Kuna jamaa tiktok nimesahau jina ila anauza kifaa ambacho kinasaidia WiF kwenda hadi Umbali wa km 1 pia ana mfumo wa vocha ambao mteja anachagua mwenywe kifurushi atakacho kama ni 500 kwa saa au 1000 kwa siku ukiisha muda inajitoa tu yenyewe we kwako zinaingia pesa tu ila wanajiunga wenyewe huko waliko.
1km wanasema hakuna mwisho 300m ety
 
Back
Top Bottom