Sasa hivi hazifai kabisa. Nimeamua kuhamia za mtumba na hazipauki haraka.Nina shida na kununua kadeti ila naona nyingi zilizojaa dukani ukivaa baada ya muda zinapauka balaa.
Nataka kujua aina ya kadeti nzuri na zisizopauka na sehemu yake zinapouzwa na bei yake.
Nipo Dar
Nunua kadeti original za Tsh 30,000 hizo za Tsh 17,000 ni low qualityNina shida na kununua kadeti ila naona nyingi zilizojaa dukani ukivaa baada ya muda zinapauka balaa.
Nataka kujua aina ya kadeti nzuri na zisizopauka na sehemu yake zinapouzwa na bei yake.
Nipo Dar
Hata hizo ni bomu mkuu. Wagonga copy wa K/koo wameharibu sana hili vazi.Nunua Kadeti original za Tsh 30,000 hizo za Tsh 17,000 ni low quality
Heeeeh kula na kulala kwa muuza duka?Kadeti bora ziko maduka makubwa na bei yake ni kuanzia 70k kwenda juu
Kabisa mkuu. Juzi kati nimeshangaa kuzikuta soko la Memorial-Moshi kwa 10k. Nzuri kabisa na hazipauki haraka kama hizi jeep.Kadet za mtumba hazipauki,znauzwa kuanzia 25k+
Nakumbuka zaman mwaka 2015 nilkuwa nazinunua nikiwa Arusha tena hzo za Jeep,tena zilkuwa hazna haja ya kuzipeleka kwa fundi cherehani kuzpunguza,hzo kadet unavaa zaidi ya miaka 3,kama ukiwa nazo nying,Kabisa mkuu. Juzi kati nimeshangaa kuzikuta soko la Memorial-Moshi kwa 10k. Nzuri kabisa na hazipauki haraka kama hizi jeep.
Acha ubahili binti,kwani unatoa wewe?Heeeeh kula na kulala kwa muuza duka?
70k ili kugundua nn? Mweeeeh
ikipauka inakua nyeusi
Kuna maduka makubwa unaweza pata OG kwa 45 hadi 55 elfu.Mtihani Ni kujua OG na copy.Mtihani hasa,unaweza kupigwa ile feki ya 17 au 20 elfu kwa bei ya ile OG.Ukitiakwa maji ukiitoa unabaki kwa mshangao.Hata hizo ni bomu mkuu. Wagonga copy wa K/koo wameharibu sana hili vazi.