Aina ipi ya fan itanifaa?

Kilangi masanja

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
4,196
4,552
Habari wanajukwaa nahitaji msaada wa kupata fan nzuri ambayo itadumu na inafanya kazi kwa ufanisi mkubwa, awali nilipata dolphin model yake nimeisahau ila ni mwaka wa tano huu inafanya kazi vizuri na fan ni imara kabisa, sasa nahitaji kujua kwa sasa fan aina ipi ni nzuri na imara inapatikana kwa uharaka hapa Dar?

Bajeti yangu isizidi laki 2
 
Back
Top Bottom