Kati ya nguo za mtumba na za dukani zipi nzuri?

cold water

Senior Member
Oct 6, 2021
175
618
Nguo za dukani vs mtumba zipi nzuri ili nipendeze jamani, najiona nipo local sana!

Muonekano wangu ni mwembamba wa wastani, mrefu wa kati maji ya kunde, nina kashepu kwa mbali, napenda magauni yanayonionesha figure kwasababu kiuno kimejikata kidogo hakijaunganika na mgongo na sina kifua, nina kifua kidogo tu lakini sibahatiki kupata hizi nguo mtumbani zinanazovotika na kuni shape.

Wapii naweza pata vigauni vya mpira? Vitenge sipendi kushona, sketi na shirt sipendelei sana labda ziwe muundo wa charanga au ziwe za mpira, yaani material ya kuvutika.

Kama hapo kwenye picha nguo inishike mwilini. View attachment 2716189
 
Nguo za dukani VS mtumba zipi nzuri ili nipendeze jamani najiona nipo local sana !!! Muonekano wangu ni mwembamba wa wastani mrefu wa kati maji ya kunde Nina kashepu kwa mbali,napenda magauni yanayonionesha figure kwasababu kiuno kimejikata kidogo hakijaunganika na mgongo na sina kifua ,nina nyonyo ndogo tu lakini sibahatiki kupata izi nguo mtumbani zinanazovotika na kuni shape.wapii naweza pata vigauni vya mpira? Vitenge sipendi kushona sketi na shirt sipendelei sana labda ziwe muundo wa charanga au ziwe za mpira zinazovutika.
Kama hapo kwenye picha nguo inishike mwilini.View attachment 2716189
Lipia tangazo lako, harafu hakuna mtu mwenye rangi ya Maji ya kunde sema wewe ni cheusi tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom