lionhard
Senior Member
- Jul 16, 2015
- 194
- 43
Habari wana jf,
Nina simu yangu nokia 2690. Naipenda sana. Ila nilikua na install apps kubwa kubwa inakubali. Nili install opera mini hadi 8.1 ikakubali ila haikuchukua mda ikacollapse, imefuta apps zote hadi uwezo wa internet.
Naomba kwa mwenye uelewa ni install application gani kwenye computer ili niweze kuiflash???
Nataka nifanye mwenyewe.
Ahsante naomba kuwasilisha.