Mkuu davynemes,kwanza inabidi ujue kama hiyo epad yako ni model gani ili uwezo kudownload firmware yake.
1. Download na install ADB drivers kwenye PC yako.Hapa unatakiwa kuchomeka epad yako kwenye PC kwa kutumia USB Cable na kisha unainstall hiyo ADB drivers zinazopatikana
HAPA.
2. Download na ui extract LiveSuit Application katika PC yako.LiveSuit Pack inapatikana
HAPA.
3. Tafuta LiveSuit.exe kwenye files ulizo extract na uifungue.
4. Ukishaifungu na kufunguka,bonyeza YES ili kuendelea na Upgrade Wizard
5. Zitatokea chaguzi mbili,General Mode na Mandatory Mode,wewe bonyeza Mandatory Mode.
6. Baada ya hapo disconnect epad yako toka kwenye PC kama ulikuwa umeiconnect,halafu bonyeza YES.
7. Bonyeza Next,hapo sasa unatakiwa kuchagua lile file lako la firmware uliyoi dowmload (.img firmware) then unabonyeza YES na kuichagua hiyo .img firmware yako.
8. Usibonyeze FINISH tafashali mara baada ya kuadd .img firmware yako.
9. Hapa inatakiwa uconnect epad yako ikiwa imezimwa.Kwanza chomeka epad yako kwenye USB cable then ndio uichomeke kwenye PC yako.Wakati unachomeka epad yako kwenye PC,hakikisha unabonyeza na kushikilia VOLUME DOWN button huku wakati huo huo ukibonyeza kwa haraka POWER OFF button mara 10 ili kifaa chako kiweze kutambuliwa na PC yako.
Maelezo zaidi na Picha tafadhali
BONYEZA HAPA.