kcamp
JF-Expert Member
- Aug 31, 2014
- 8,526
- 8,031
Pamoja mkuu...ukifanya hivyo wengi wananufaika...jf inazid kukuaSasa chomeka simu yako ktk usb na pc.bonyeza flash ..weka battery yako hapo itaanza kuflash
Pamoja mkuu...ukifanya hivyo wengi wananufaika...jf inazid kukuaSasa chomeka simu yako ktk usb na pc.bonyeza flash ..weka battery yako hapo itaanza kuflash
Kaka wewe ni jembe,Tatizo kama toka asubuhi saa 3 hadi midaa hii kuna msele wetu humu aliniomba nimuelekeze jinsi ya kuflsh nikokia yake nimemwambia pc yako iwe na WINRAR.akaniuliza nini.download drivers..ni rahisi ila jambo linakua gumu kama aulielewi.nitajitahidi nianze kuandika hatua za kuflash nokia kwa pc hadi asubuhi kesho mungu akipenda.itakua tayar.
Mh man hizo reset code nokia tena zile za zamaniAndika namba *#7370# then ingiza 12345 ntajiflasha itakua kama mpya kabsaq

Iphone rahisi sana kuiflash.ikgoma kwa itune.unaipiga kwa saras soft box.ila clouid sifahamu kabisaKaka wewe ni jembe,
Kuflash i phone ni issue?
Andika namba *#7370# then ingiza 12345 ntajiflasha itakua kama mpya kabsaq
Mkuu imecollapse yaani haiwaki kabisa au inawaka ila haiko normal??...nijibu hapo nikupe msaada fasta.Habari wana jf,
Nina simu yangu nokia 2690. Naipenda sana. Ila nilikua na install apps kubwa kubwa inakubali. Nili install opera mini hadi 8.1 ikakubali ila haikuchukua mda ikacollapse, imefuta apps zote hadi uwezo wa internet.
Naomba kwa mwenye uelewa ni install application gani kwenye computer ili niweze kuiflash???
Nataka nifanye mwenyewe.
Ahsante naomba kuwasilisha.
PoaMkuu imecollapse yaani haiwaki kabisa au inawaka ila haiko normal??...nijibu hapo nikupe msaada fasta.
Iphone rahisi sana kuiflash.ikgoma kwa itune.unaipiga kwa saras soft box.ila clouid sifahamu kabisa
wewe ziandike halafu uoneMh man hizo reset code nokia tena zile za zamani![]()
Kaka simu pad zote zinazotumia battery za ndani battery ikiisha kabisa ukuwa unalazimisha kuiwasha washa ikiisha kabisa lazima matatizo ya kuishia njiani yanajitokeza.ukiondoa aphone na ipad.sasa nenda kwa fundi mwambie afungue hiyo e pad apime battery lisipungue volt 3.7.kama litakua chini ya hapo ungalie jinsi ya kulistua hilo battery.likishindikana nenda d test battery kama battery iko sawa ina charge zaidi volt 3.7.nitafute tutajua la kufanya.hayo matatizo tunakutana nayo na wateja wengi wamefanikiwa.KAMA KUNA LINGINE NICHECK 0754604567Wakuu nina e-pad (Android) imezingua kuwa, nkiwasha inaishia kuandika android then haiendelei na haitazima taa mpak charge ikate ndo itazima...
Nlipeleka kwa fundi km wawil wakashindwa kui flash, naomba msaada ni download software gani niifanyie ufundi mwenyew geto!!!
Ntashukuru kwa ufumbuzi....nawasilisha
Fimware za nokia zipo nyingi sana.mkwawa nokia kama inashia njiani ukiweka line.hapana kwa reset aiwezi amka kamwe.ukiitaji jinsi ya kudownlod fimware za nokia nenda google andika mf.nokia x2-01 rm 709 itakupa njia rahisi sana ya kudownload fimware.au nenda saigonmobile hao nokia simu yoyote utapata flash file na flash tools.IPO katika hali gani? Ukiwasha inasema nini?
Wakuu nina e-pad (Android) imezingua kuwa, nkiwasha inaishia kuandika android then haiendelei na haitazima taa mpak charge ikate ndo itazima...
Nlipeleka kwa fundi km wawil wakashindwa kui flash, naomba msaada ni download software gani niifanyie ufundi mwenyew geto!!!
Ntashukuru kwa ufumbuzi....nawasilisha
Jaribu na hio phoenix ILA toka navifirm ifungwe kupata firmware za Nokia Ni issue.
Pia jaribu kudownload Nokia suite then connect simu na pc halafu halafu update firmware au re install firmware inaweza saidia
Mkuu davynemes,kwanza inabidi ujue kama hiyo epad yako ni model gani ili uwezo kudownload firmware yake.Wakuu nina e-pad (Android) imezingua kuwa, nkiwasha inaishia kuandika android then haiendelei na haitazima taa mpak charge ikate ndo itazima...
Nlipeleka kwa fundi km wawil wakashindwa kui flash, naomba msaada ni download software gani niifanyie ufundi mwenyew geto!!!
Ntashukuru kwa ufumbuzi....nawasilisha
Inawezekana mkuu Petronfrancis kuiupdate TECNO Y6 yako kupata Lollipop (Android 5.0)Samahani mkuu nina tecno y6 ambayo ni 4.4. Je naweza badili ikawa 5.0? Naomba maelekezo kama yawezekana.