Petronfrancis
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 329
- 130
Nafanyaje mkuu naomba msaada nami nijidai
Fuata haya maelekezo HAPA mkuu.Nafanyaje mkuu naomba msaada nami nijidai
Procedure to re-install Nokia s40Waungwana mi nokia yangu 206 kila nikitaka kuingia internet inasema no certificates na inaonekana zimefutika kama mwenye kujua anijuze
Amen,tubarikiwe sote mkuu.Duh! Mkuu Mungu akubariki sana
Mkuu, na mimi nna huawei y360 nawezaje kui update iwe kwenye lollipopInawezekana mkuu Petronfrancis kuiupdate TECNO Y6 yako kupata Lollipop (Android 5.0)
Mkuu Kaudunde Kautwange,fuata njia hizi ili uweze kupata Android lollipop kwa Huawei Y360.Mkuu, na mimi nna huawei y360 nawezaje kui update iwe kwenye lollipop
Kiongozi, nimefuata taratibu zote, lakini kwenye play store hakuna compatible cwm recovery ya Y360...kuna mbadala wowote?Mkuu Kaudunde Kautwange,fuata njia hizi ili uweze kupata Android lollipop kwa Huawei Y360.
1. Kwanza Download Android Lollipop ROM kwa ajili ya simu yako Huawei Y360 HAPA.
2. Now install completely the ROM Manager into your device. You can get that from Google Play store. Then install the clockwork mod recovery.
3. Connect the device to your PC by the USB cable. Now copy the ROM.zip file you have already downloaded into your memory drive.
4. Now restart your Huawei Y360 in recovery mode. You need to use ROM Manager for this operation.
5. Erase the total data including Delvik Cache from the recovery menu. After completing, come back in the recovery main menu. Then choose the Flash ROM from your memory drive. Now navigate the address where you put the ROM.zip file. It is the time when you need to follow the directions to install Android 5.0 Lollipop and to Update Huawei Y360 To 5.0 Lollipop. As early as the total installation is done, only reboot your Huawei Y360 .
Here you go now. All done!
Download CWM Recovery kwa Huawei Y3 (360) yako HAPA.Kiongozi, nimefuata taratibu zote, lakini kwenye play store hakuna compatible cwm recovery ya Y360...kuna mbadala wowote?
Mkuu lionhard,fuata haya maelekezo HAPA.Naomba msaada na kwa hii huawei yangu 330, naweza para lollipop???
Mkuu naomba msaada wako simu yangu ni Samsung galaxy S3 kuna wakati iliniletea shida ilikuwa inajirestart yenyewe wakati naitumia afu ilikuwa haimalizi mpaka nitoe betri afu niwashe tena ndo inawaka ndipo nikaamua kutoa memory kadi (sd card) ikaanza kupiga kazi vzr, lkn baada ya muda tatizo likajirudia nikafanya factory reset hapo ikakaa siku kadhaa sasa kuna muda huwa inaendelea kurestart afu haimalizi. Nifanyaje?Kwanini usifanye factory reset mwenyewe? Nenda setting then nafkiri setting ya mwisho ndiokureset
Mkuu Burton86jm,fuata haya malekezo HAPA.Habari wadau?...mi Nina Simu yangu Tecno H5 iliisha nishinda ujanja,ukiiwasha inawaka kwa kudisplay neno TECNO tu kwa asili ya mwanga wa kumetameta.Naomba msaada wenu.
Mkuu LUMIA 520 yangu imezingua baada ya upgrade ya windows 10...ukiwasha inaleta dark screen kwa juu inaandika ..Flash nokia bila box..
1.Download nokia usb driver.
2.Donwload nokia connectiv usb driver.
3.zi install zote mbili.
Tutakua tumemaliza hatua ya kwanza.Hatua ya pili
1.Download infinity best box v1.51 .
2.download Mf.nokia x2-01 rm 709
3.Utabonyeza hilo file likifunguka utaona picture simu chini utaona file ziko tatu.MCU.PPM.CNT.Utazi downlod
[![]()
![]()
![]()